Sawa vingine anavyofanya huyu bint ni vya common sense tuu, Kuna lugha anaongea za hovyo zisizo na mantiki kabisaWazazi Wana mchango mtoto aje kuwa wa aina gani ukubwani
N kweli ila mtoto anaweza kurekebisha palipokosewa kwa 100%Wazazi Wana mchango mtoto aje kuwa wa aina gani ukubwani
Kama kweli bibi yake Gigy ndiye alimsimulia mjukuu wake hivyo,basi ni mchonganishi sana au uzee ulimsahaulisha kumezea mambo.Kwamba mama gigy alitoa mimba ya gigy ikiwa na miezi 7/8/9.?
Aisee
Bibi amesema mimba ilitolewa, hvy hapa ishu sio kujifungua bali n kutoa mimba.Kama kweli bibi yake Gigy ndiye alimsimulia mjukuu wake hivyo,basi ni mchonganishi sana au uzee ulimsahaulisha kumezea mambo.
Ni matokeo ya malezi,makuzi,mazingira,aliemlea,alivyomlea.Sawa vingine anavyofanya huyu bint ni vya common sense tuu, Kuna lugha anaongea za hovyo zisizo na mantiki kabisa
Ndo maana kila siku nawaasa wanawake wawe na akili, za kuona kuwa actions zao za kijinga zina impact kubwa sana kwa mtoto. Ila sikio la kufa halisikii dawaWazazi Wana mchango mtoto aje kuwa wa aina gani ukubwani
Msimuliaji hakuwa anamalizia na kukamilisha sentensi zake sababu ya uvutaji wa goso.Yawezekana alitaka kueleza kwamba,bibi yake alimwambia mama yake alijaribu kuitoa mimba na kushindwa.Na,alipomzaa alimtupa chooni kumpoteza.Bahati yake wasamaria wema walimuokoa kama siyo kumuopoa.Bibi amesema mimba ilitolewa, hvy hapa ishu sio kujifungua bali n kutoa mimba.
Yn mm nachoshangaa n mimba kutolewa then mtoto awe Hai afu ndo huyu gigy, maana ake mtoto alikuwa hai kabisa hvy mimba ilikuwa na miezi 8 au 9🙌
Kvp mtu aweze kutoa mimba ikiwa na umri huo?
Huyo bibi kama vile ametupiga
Gigy money sio kichaa ana deep layers za trauma ambazo hata namna ya kuzijua inakuwa ngumu sanaMsanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.
Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati nzuri watu walipata habari wakaenda kumtoa chooni akiwa bado ana pumua.
Gigy ameendelea kusema kuwa, hizo habari zote alipewa na bibi yake na akaongeza Kwa kusema, mama yake na Gigy alipalalaiz baada ya kutoa mimba hiyo.
Mbali na hivyo pia, Gigy amesema ameanza kufukuzwa nyumbani akiwa na miaka 12 tu huku mama yake akimsingizia kuwa anatoka na bwana wake (baba wa kambo).
Halafu mwanamke atoe mimba mtoto abaki hai hii haiingii akiliniKwamba mama gigy alitoa mimba ya gigy ikiwa na miezi 7/8/9.?
Aisee
Anaweza.ndio kama hivyo kaamua kuolewa atulie.kaamua kuzaaN kweli ila mtoto anaweza kurekebisha palipokosewa kwa 100%
Tuachane na mama, gigy nae n mwehu tuu
Gigy yeye amesema nn kutoka mdomoni mwake.?Msimuliaji hakuwa anamalizia na kukamilisha sentensi zake sababu ya uvutaji wa goso.Yawezekana alitaka kueleza kwamba,bibi yake alimwambia mama yake alijaribu kuitoa mimba na kushindwa.Na,alipomzaa alimtupa chooni kumpoteza.Bahati yake wasamaria wema walimuokoa kama siyo kumuopoa.
Inaonyesha alimzaa akamtupa chooni.Halafu mwanamke atoe mimba mtoto abaki hai hii haiingii akilini
Kwamba gigy katulia?Anaweza.ndio kama hivyo kaamua kuolewa atulie.kaamua kuzaa
Maisha na misukosuko pia mahangaiko ndio yanachangia kutushape ukubwani.Lakini tukituliza akili na kujua hapa nakosea sio sahihi,ukiamua kubadilisha binafsi inawezekana.Lakini sio rahisi Kwa Kila mtu.
Bibi katupiga hapo aiseeHalafu mwanamke atoe mimba mtoto abaki hai hii haiingii akilini
Mtoa taarifa ana meno makubwa na mdomo mnene ndiyo maana maneno hayasikiki vema.Halafu mwanamke atoe mimba mtoto abaki hai hii haiingii akilini