Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Yaani Gigy kwa umri alionao baado analalama tu kwamba alilelewa vibaya?

Kama mtu unafikia hatua ya kutambua kua hukupata malezi bora basi na kubadilika inawezekana tena kwa kubadilika mwenyewe bila shinikizo

Ameongea mambo mengi ya kugusa na kuumiza sana lakini hakukua na ulazima wa kuyaanika
Hamna kazi ngumu kama kureverse na kumrekebisha mtoto, aliyelelewa vibaya utotoni maana huyo kaona vimbwanga vya wazazi wake, kasimuliwa na wazazi wakawaachia walimwengu wamlee mtoto,wao wakakataa kuwajibika kulea. Gigy kakulia mtaani ,bi mkubwa wake ni zile type zinazopenda shughuli na kufunga mtaa nazani vigoma vile unavijua vinavyokuwa gongo,watu kukaa uchi kawaida...... sasa yeye kaviona tokea akiwa mtoto.

Kureverse tabia ya mtu kama Gigy ni ngumu mnoooooo........ Ndio hapo ninarudi palepale hawa watoto tunaopewa ni wajibu wetu kuwalea na kuwakuza kimwili na kiroho na kuiongoza akili yake itambue mazuri na mabaya.
 
Gigy anatafuta pa kubebesha ujinga na utovu wake wa nidhamu
Nyie watu.!

Yeye mwenyewe kasema mimba ilitolewa.! Kuna mimba ya miezi tisa inatolewa.!?

Kwa ufupi hakukaa muda kamili tumboni na ulemavu wake wa akili si kosa lake.. Itoshe kusema yeye ni mlemavu
 
Nyie watu.!

Yeye mwenyewe kasema mimba ilitolewa.! Kuna mimba ya miezi tisa inatolewa.!?

Kwa ufupi hakukaa muda kamili tumboni na ulemavu wake wa akili si kosa lake.. Itoshe kusema yeye ni mlemavu

pengine yeye "kutoa" anamaanisha kwamba mama yake hakuitaka mimba yake akaanzisha uchungu kabla ya miezi 9 kisha alivyomzaa akamtupa chooni,, kitu ambacho kinafanyika na watu wengi tu...

shida hajataja huyo mama yake aliitoa hiyo mimba ikiwa na umri gani.. kwasababu kuanzia miezi 7 kwa maisha yetu ya dunia ya 3 ndo mtoto anaweza kuishi..
 
Nyie watu.!

Yeye mwenyewe kasema mimba ilitolewa.! Kuna mimba ya miezi tisa inatolewa.!?

Kwa ufupi hakukaa muda kamili tumboni na ulemavu wake wa akili si kosa lake.. Itoshe kusema yeye ni mlemavu
Ni kichaa?
 
Back
Top Bottom