I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,773
- 3,215
Both are stupid cunts
What's your favorite type of music?Mie si mpenzi wa movie niulize music
Na ikishafikia hatua huna cha kupoteza ni mbaya sana, unaweza fanya lolote, niliona BBC wanawahoji sijui waasi huko uarabuni, wale waasi wanasema tuna watu wanaopenda kufa kama nyie mlivyo na watu wanaopenda kuishi, nikasema hii hatari.Ni matokeo ya malezi,makuzi,mazingira,aliemlea,alivyomlea.
Mengine anafanya Kwa utimamau wake ila mengine ni out of her control.yuko traumatized na makuzi aliyopitia.
Mtu unapitia magumu kiasi kwamba una uwezo wa kufanya lolote ukiwa na attitude ya "Sina Cha kupoteza"
Huna baba tangu uzaliwe mambo ya aibu kuyafanya umuonee nani aibu?
Mamako mcharuko kwanini nawe usiwe mcharuko?
Huna Cha kupoteza
Wanakuwa tayari kwa loloteNa ikishafikia hatua huna cha kupoteza ni mbaya sana, unaweza fanya lolote, niliona BBC wanawahoji sijui waasi huko uarabuni, wale waasi wanasema tuna watu wanaopenda kufa kama nyie mlivyo na watu wanaopenda kuishi, nikasema hii hatari.
Watu tumepitia magumu kuliko huyo GIGY na hatujawa wapuuzi.Mzee, Kila mtu kapitia maisha magumu
YAH mzee, watu tumekausha na matatizo yetuWatu tumepitia magumu kuliko huyo GIGY na hatujawa wapuuzi.
Ngoja amuaibishe mama yake ili iwe fundisho kwa yeyote anayechukulia mimba kama mzaha,wakati hiyo ni hatma ya maisha ya kiumbe utakachokileta duniani.Gigy ana matatizo ya akili, aache kutia huruma na kumuona mama ake ndio chanzo cha yeye kupotea wakati hapo alipo bado ana nafasi ya kurekebisha mana bado yupo hai.
Kwanini ayafiche ili iweje???Yaani Gigy kwa umri alionao baado analalama tu kwamba alilelewa vibaya?
Kama mtu unafikia hatua ya kutambua kua hukupata malezi bora basi na kubadilika inawezekana tena kwa kubadilika mwenyewe bila shinikizo
Ameongea mambo mengi ya kugusa na kuumiza sana lakini hakukua na ulazima wa kuyaanika
Mbona una panic kwenye comment yangu kwema usalama upo?Kwanini ayafiche ili iweje???
Kwnini mnapenda kuficha ujinga alafu mnataka kila mtu aamini upumbavu kama huo.
Huyo mama anatakiwa aanikwe live ili iwe funzo na kwa wengine wanaovitembezacvikojoleo vyao bil huruma kwa watoto ambao watawazaa baada ya uzinzi na ukahaba.
Dogo ni mwambaMsanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.
Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati nzuri watu walipata habari wakaenda kumtoa chooni akiwa bado ana pumua.
Gigy ameendelea kusema kuwa, hizo habari zote alipewa na bibi yake na akaongeza Kwa kusema, mama yake na Gigy alipalalaiz baada ya kutoa mimba hiyo.
Mbali na hivyo pia, Gigy amesema ameanza kufukuzwa nyumbani akiwa na miaka 12 tu huku mama yake akimsingizia kuwa anatoka na bwana wake (baba wa kambo).
📌Huna akili!Mbona una panic kwenye comment yangu kwema usalama upo?
Nimesema kwa upande wangu na ni haki yangu kusema hivyo
Sawa nimekuelewa mkuuSina akili 📌
Kuwa muwazi sana ni upumbavu ila yeye ndo anaona ujanjaKuna watu hawajui maana ya mipaka na matumizi yake.Kuna mambo,kama binadamu hutakiwi kuyasema hata ulambishwe Moto.Gigy ameshafyonza tabia za kiswahiliswahili na kujidai muwazi mnoo hadi anaonekana zuzu wahed!
Kuna watoto wengi wa kike wana ya pitia mengi magumu kama anayo ya pitia Gigy,akili zao hazipo sawa na wana maumivu makali yani mioyo yao kama imepigwa mihuri ya chuma kilichopata moto, kovu lake kuliondoa ni kazi. Gigy analamika bi mkubwa wake anamatumizi mabaya ya hela mpaka kauza viwanja vya kwa bei ya kutupa, analamika kufanyiwa vitendo vibaya na mabawana wa bi mkubwa wake na bado anadai bi mkubwa wake anaruka na kubadilisha vijana wadogo kila siku na tokea ujana wake bi mkubwa wake ni akakitembeza na kuandilisha mabwaa. Giggy anapitia maumivu makali.Ukimsikiliza Gigy ndio wale mabinti wakishavunja ungo wanambiwa ,hapa chai tu ila vitafunio na milo mingine utajitegemea, hizi type uswahili zipo kibao.Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.
Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati nzuri watu walipata habari wakaenda kumtoa chooni akiwa bado ana pumua.
Gigy ameendelea kusema kuwa, hizo habari zote alipewa na bibi yake na akaongeza Kwa kusema, mama yake na Gigy alipalalaiz baada ya kutoa mimba hiyo.
Mbali na hivyo pia, Gigy amesema ameanza kufukuzwa nyumbani akiwa na miaka 12 tu huku mama yake akimsingizia kuwa anatoka na bwana wake (baba wa kambo).