Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Niliona hiyo video mtandaoni, wote hao ni vichaa. Mmoja ana kichaa cha paka mwingine ana kichaa cha mbwa, Yule binti ndio ana kichaa cha mbwa kabisa na anahitaji msaada so anaweza kusaidika kama akiwa tayari Kwa Hilo, binti Yule ana shida kubwa ya akili, n mgonjwa.
 
Ukichanganya na sembe nasikia huwa ana vuta vuta kiaina ndo kabisa kichaa pro max
 
Tumuombee na kuombea vizazi vyetu...dunia inajua kuharibu
 
Yaani Gigy kwa umri alionao baado analalama tu kwamba alilelewa vibaya?

Kama mtu unafikia hatua ya kutambua kua hukupata malezi bora basi na kubadilika inawezekana tena kwa kubadilika mwenyewe bila shinikizo

Ameongea mambo mengi ya kugusa na kuumiza sana lakini hakukua na ulazima wa kuyaanika
The people who think it's easy are the ones in it...

Kama una trauma, ni rahisi sana kidogosha experience ya mtu mwingine maana subconsciously unakuwa unaji compare na Mapito yake na kuyaona ya kawaida.

Ila ni kheri yeye anaye teseka Saizi kuliko yule anaye mponda na kuficha za kwake.
 
Lala tena usiku saivi
 
Back
Top Bottom