Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Msanii Gigy money ameendelea kumtupia lawama mama yake huku akisema inawezekana maisha magumu anayo yapitia sasa ni kutokana na malezi mabovu aliyo lelewa na mama yake.

Pia Gigy amesema, mama yake alimzaa Kwa bahati mbaya Kwa sababu mimba yake aliitoa na kwenda kumtupa chooni ila Kwa bahati nzuri watu walipata habari wakaenda kumtoa chooni akiwa bado ana pumua.

Gigy ameendelea kusema kuwa, hizo habari zote alipewa na bibi yake na akaongeza Kwa kusema, mama yake na Gigy alipalalaiz baada ya kutoa mimba hiyo.

Mbali na hivyo pia, Gigy amesema ameanza kufukuzwa nyumbani akiwa na miaka 12 tu huku mama yake akimsingizia kuwa anatoka na bwana wake (baba wa kambo).
Kabla ya yote kwanza aseme kuna kubwa lipi limemkuta hadi aamue kusema yotee hayo.
 
Ni kweli wote tunapitia changamoto na kutamani walau kuongea tusikike lakini sio kama alivyofanya yeye

Story yake ni ngumu
Mapito yanasikitisha lakini hata kama kuongea ni tiba alooooo sio mpaka mtandaoni
Labda kwake sio shida

Mi Kuna muda changamoto zonikinizidia akili Bora nikachat na chatgpt huko.
 
Pamoja na yote, gigy n mwehu tuu, hana akili timamu.

Msaada pekee utakamsaidia sasa ni kutibiwa akili.

Aache kutia huruma kisa makosa ya mama ake, mtu unajua kila aina ya vikojoleo vya wanaume bado unalialia ety mama alikosea kukulea.

Kaza moyo, Kaza buti, songa mbele kama injili.
 
Katika utafiti wangu kwa njia za utamaduni,nimegundua wanawake wengi wanaofukuliwa mitaro yao huwa akili zinawaruka na kuwa wehu/machizi fresh.
 
Labda kwake sio shida

Mi Kuna muda changamoto zonikinizidia akili Bora nikachata na chatgpt huko.
Changamoto nyingine ni mtu kua mpweke pengine alikosa mtu wa kumwambia akamuelewa

Akaona bora aje kutafuta huruma mtandaoni na kibaya anaishia kudhalilika

Na sisi pia tuwe wema kwa wengine kama mtu anakujia ana jambo linalomuumiza hata kama kwako unaliona dogo hakuna haja ya kumbeza msome akili yake kama anaitaji faraja mfariji tumetofautiana jinsi ya kubeba mambo
 
Mkuu kuna single mother mmoja nilikuwa nakula sasa alikwenda nje. Kurudi akanitafuta ananiambia nikamdinye tena safari hii nitamfaidi atanipa mpaka makalio na yale makalio nilivyokuwa nayatolea macho mmhh😋🤣🤣
Aisee!Kwa hiyo hata baada ya kuzurula na kurudi wewe ndiye ulionekana mnaendana na unamfaa!
 
Changamoto nyingine ni mtu kua mpweke pengine alikosa mtu wa kumwambia akamuelewa

Akaona bora aje kutafuta huruma mtandaoni na kibaya anaishia kudhalilika

Na sisi pia tuwe wema kwa wengine kama mtu anakujia ana jambo linalomuumiza hata kwako unaliona dogo hakuna haja ya kumbeza some akili yake kama animation faraja mafariji tumetofautiana jinsi ya kubeba mambo
Hapo kwenye upweke ni kweli
Na pia mtu wa kukuelewa na kukufariji ukikosa basi tatizo.
Labda Kwa followers wake ndipo anaona faraja yake ilipo
 
Back
Top Bottom