ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mama yake alifanya jaribio la kutoa mimba na kukwama.Gigy yeye amesema nn kutoka mdomoni mwake, kwamba bibi alimwambia mama alitoa mimba au mama alijifungua then akatupa mtoto
Mbaga Kwa Sasa naona katulia angalau🤣Kwamba gigy katulia?
Haya 😂
Mtu ananyonya vikojoleo vya wanaume tofauti tofauti, lazima domo liwe kubwa 😎Mtoa taarifa ana meno makubwa na mdomo mnene ndiyo maana maneno hayasikiki vema.
Ngoja tuamini tuu, hakuna namna 😂Mbaga Kwa Sasa naona katulia angalau🤣
Kuna watu hawajui maana ya mipaka na matumizi yake.Kuna mambo,kama binadamu hutakiwi kuyasema hata ulambishwe Moto.Gigy ameshafyonza tabia za kiswahiliswahili na kujidai muwazi mnoo hadi anaonekana zuzu wahed!Yaani Gigy kwa umri alionao baado analalama tu kwamba alilelewa vibaya?
Kama mtu unafikia hatua ya kutambua kua hukupata malezi bora basi na kubadilika inawezekana tena kwa kubadilika mwenyewe bila shinikizo
Ameongea mambo mengi ya kugusa na kuumiza sana lakini hakukua na ulazima wa kuyaanika
Nilitaka kuandika hivi, ila nikaacha mana wanawake wa humu hawachelewi kukushambulia kisa umeongelea single mother 😂Mtoto wa kwanza wa mwanamke single mother/mjane huishia umalay..a kwasababu ya mama yake anahitaji usaidizi nyumbani ndio humtoa mtoto wake wa kwanza kuwa kitega uchumi nyumbani kwao.
Inasikitisha sana aisee huyu dada alooo amemwagika kupita kiasiKuna watu hawajui maana ya mipaka na matumizi yake.Kuna mambo,kama binadamu hutakiwi kuyasema hata ulambishwe Moto.Gigy ameshafyonza tabia za kiswahiliswahili na kujidai muwazi mnoo hadi anaonekana zuzu wahed!
Kuna watu mambo yanawaelemea.wanajikuta wanafunguka tu automatically kupunguza mzigo wa machungu.Yaani Gigy kwa umri alionao baado analalama tu kwamba alilelewa vibaya?
Kama mtu unafikia hatua ya kutambua kua hukupata malezi bora basi na kubadilika inawezekana tena kwa kubadilika mwenyewe bila shinikizo
Ameongea mambo mengi ya kugusa na kuumiza sana lakini hakukua na ulazima wa kuyaanika
Ana akili mnemba.Anaongea hovyo kama mwanasesere/puppet aliyetiwa ufunguo.Ila huyu Gigy money akili zake za kukodisha kabisaaa😂🤣
Mimba haikukwama, c umeona hapo amesema mimba ilitolewa akatupwa, au mm ndo cjui kusoma?Mama yake alifanya jaribio la kutoa mimba na kukwama.
Ni kweli wote tunapitia changamoto na kutamani walau kuongea tusikike lakini sio kama alivyofanya yeyeKuna watu mambo yanawaelemea.wanajikuta wanafunguka tu automatically kupunguza mzigo wa machungu.
Unaweza kumuona mtu anafurahi ila akili yake inaelemewa na mambo
Ila kufunguka mambo mazito ya familia mtandaoni mhh🙂↔️
Hapana
Mkuu wanaume wengi wanaofirw…a wamelelewa na single mother au wizi,vibaka na majambazi. Kuna single mother ana watoto wawili wakike anajifanya dume na dume amekuwa jike. Kuna siku alikuwa analiwa na mwanaume mwenziwe kwenye jumba la gorofa akapita mbele yetu nikasema unanuka mav..i gese wewe🤣😂Nilitaka kuandika hivi, ila nikaacha mana wanawake wa humu hawachelewi kukushambulia kisa umeongelea single mother 😂
Huyo muda wote anaonekana huwa yupo kamnyweso.Pombe huwa haipendani na uongo.Mtu akilewa huongea ukweli wake wa moyoni halafu pombe zikimuisha anakana alichosema.Inabidi umpe questionnaire nyingine muanze upya.Kuna watu mambo yanawaelemea.wanajikuta wanafunguka tu automatically kupunguza mzigo wa machungu.
Unaweza kumuona mtu anafurahi ila akili yake inaelemewa na mambo
Ila kufunguka mambo mazito ya familia mtandaoni mhh🙂↔️
Hapana
Kuna watu wanapitia magumu na wanafunguka unaona feeling ya kuumia kweli na sio kutengeneza content, mpaka mtu anaweka camera na anaiset vzr aonekane jua huyo n mwehu anayepita magumu + matatizo ya akiliKuna watu mambo yanawaelemea.wanajikuta wanafunguka tu automatically kupunguza mzigo wa machungu.
Unaweza kumuona mtu anafurahi ila akili yake inaelemewa na mambo
Ila kufunguka mambo mazito ya familia mtandaoni mhh🙂↔️
Hapana
Astakafirilah mtumishi wa Mungu 😂Mkuu wanaume wengi wanaofirw…a wamelelewa na single mother au wizi,vibaka na majambazi. Kuna single mother ana watoto wawili wakike anajifanya dume na dume amekuwa jike. Kuna siku alikuwa analiwa na mwanaume mwenziwe kwenye jumba la gorofa akapita mbele yetu nikasema unanuka mav..i gese wewe🤣😂