Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?


You are absolutely right!
 
Tukiacha ushabiki mchango wa Dimond katika taifa siuoni ila madhara yake ni mengi na makubwa sana.
Nyimbo zake huchochea kuharibu maadili.
Ni mtu wa kuoa na kuacha (play boy)

Hajawai hamasisha chochote cha msingi mfano maswala ya elimu nk
 
Hujui chochote kuhusu Wamarekani wala siasa zao.
Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,
Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
 
Hujui chochote kuhusu Wamarekani wala siasa zao.
Kheri yako ww unaejua ya wenzako ikiwa ya kwako yanakushinda 😃😃 sasa jiulize ivi ukimtoa Diamond Je kuna wasanii wangapi wali support awamu ya mwendazake ...utagundua ni wasanii woteee wa muviez na muziki ....acheni ujinga fanyeni kazi politics zenu msitake kuwaharibia na vijana wengine

Assume ww una kaduka kako ..kisa ulibamdika picha ya mwendazake pale dukan kwako nje bac wananchi wa vyama vingine wasifike dukan kwako kisa ww uli support awamu ya mwenda zake.

Acheni UPUUZI
 


unadhani watu wote hawa ni wajinga na kwamba hawajui wanalolifanya,jana saa kama hii zilikuwa 11,000 sasa hivi tizama hapo nini kinaendelea,na kama hujui hii inaenda kummaliza mtu kimataifa,anapaswa kutoka nje awaombe radhi aliowaumiza wamsamehe waachane na hiki kitu tofautina hivyo subiri matokeo yake utaona.
 
Hao "wanaharakati" waliosimama upande wa haki ni akina nani? Wako wapi? Lissu alipoitisha maandamano hayo pichani walitokea?
 
 
Huwezi kuitenganisha sanaa ya muziki na siasa. Kampeni za democratic party na republican huwa haikosi muziki pale jukwaani.

Na ni vyama viwili vilivyo hai na haijulikani vitakufa lini, kusema kuwa mwisho wa CCM umekaribia kwa kigezo cha kifo cha JPM ni hoja hafifu sana yenye msingi wa ushabiki wa kisiasa.

Diamond ni mtafutaji wa maisha kama wewe na mimi, kumbuka Chadema imeshawahi kuwa na wanamuziki wenye kuimba jukwaani siku za kampeni. Hata ukiwasikiliza baadhi ya wanamuziki wa nyimbo za kufoka ujumbe wao unaenda sambamba na sera za Chadema.

Mwisho wa kila mtu upo, wa kwangu upo na wa kwako upo. Lakini Diamond kwa mikakati yake ya muziki yenye ubunifu mwingi hawezi kupotea kwa matakwa yako na nia zako.
 

Wewe huwezi kuitenganisha...

Lakini the true professional music artists hawawezi kujifungamanisha na siasa za moja kwa moja...

Vyama vya siasa vinaweza kuwa na wanamuziki wao. Hilo wala hakuna shida...

Hii ni tofauti na Diamond Platimuz. Anayetaka kotekote. Apige siasa za ki - CCM na wakati huohuo anataka apate toka kwa hadhira yenye mchanganyiko wa itikadi za kisiasa. Impossible..!!

Huko huko Marekani ulikotolea mfano. Unamfahamu Kanye West? Moja ya kilichochangia anguko lake ni kukosa na kushindwa kuheshimu professional kwa kujiungamanisha na siasa za Trump na Republican Party....!!

Huko ndiko anakoelekea Diamond. Hawezi kupata vyote. Lazima akose kimoja..
 
Hapa ninyi mnafaidikaje au namna tu kumkosesha risk mtanzania mwenzenu. Hatukuyatygemea Kama mtakuwa watu wa vusasi namna hii.
 

Faida kubwa sana. Unafiki umefanya nchi hii kuchezewa sana!

Wanafiki wote na wajue hawatabakia salama.

Habari ndiyo hiyo.

Cc: Suchu na wenzake wakiwamo kina choti na nyanja.
 
Kwahiyo Bwana Diamond anapotea kwa kuwa yupo CCM, hii ni wishful thinking. Wanaharaki ambao ni cowards wamejificha ikiwa pamoja na wewe ila yeye mnataka ajitokeze kuwapambania.

Who are those professional music artists? Na Kanye West hajapotea.
 
Kwa mtu mwenye followers m. 10 kujisifia umefikia sahihi 25000 kwa siku au siku mbili ni upunguani.
 
Hujui chochote kuhusu Wamarekani wala siasa zao.
Kheri yako ww unaejua ya wenzako ikiwa ya kwako yanakushinda 😃😃 sasa jiulize ivi ukimtoa Diamond Je kuna wasanii wangapi wali support awamu ya mwendazake ...utagundua ni wasanii woteee wa muviez na muziki ....acheni ujinga fanyeni kazi politics zenu msitake kuwaharibia na vijana wengine

Assume ww una kaduka kako ..kisa ulibamdika picha ya mwendazake pale dukan kwako nje bac wananchi wa vyama vingine wasifike dukan kwako kisa ww uli support awamu ya mwenda zake.

Acheni UPUUZI
Binafsi naona wote ni WAJINGA narudia tena ktk kampeni za UCHAGUZI karibia WASANII woteeeeeeeee walikuwa upande huo
sasa JE ? Mpo tayari kutoku support kazi za wasanii woteeee ?
viongozi wa nyumba za IBADA wa madhehebu karibia yote walikuwa upande huo ..Je upo tayari kuto kwenda ktk nyumba ya ibada yako kisa tu mnachokiita movement

ACHENI UZWAZWA
 

sidhan kama hawa ni real people, nna wasiwasi na harakati znazofanyika!
 
Kwa mtu mwenye followers m. 10 kujisifia umefikia sahihi 25000 kwa siku au siku mbili ni upunguani.
Kusaini petition sio kugonga like mwanangu,Kama hujui hiyo petition no Kati ya petition 4 zinazo trend duniani,imeushitua ulimwengu huenda Diamond akawa mtanzania maarufu zaidi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…