Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

Under normal circumstances DOMO Asingeweza kutoa kauli yoyote kupinga uonevu kwenye ile awamu hata kama ungekuwa wewe asilani usingejaribu yani…as we speak angekua kesha potezwa vbaya sana..avune alichopanda ila hakua na namna
 
Hujaelewa au huelewi kabisa...

Jamii inatazama unayoyafanya hadharani ni kuonekana na kila mtu...

Hayo ya kupewa milioni 100 unayajua wewe na yamefanyika sirini huko...

By the way, siyo kila sehemu/mahali palipo na pesa utakwenda kuchukua pesa hizo hata kama itabidi "uvuje jacho" uzipata eti tu kwa sababu untafuta pesa...!

Au hujui kuwa hata ujambazi wa kutesa na kupora watu na kujipatia pesa kama wa akina Ole Sabaya nayo ni kazi..??

Alichofanya Diamond Platnumz na kujipatia hizo usemazo milioni 100 ni ujambazi tu dhidi ya utu na haki za raia kwa kutumiwa na utawala katili wa CCM...

The guy doesn't deserve any internationally recognition under this circumstances and we are going to make sure that is happening...!!
Jamii ipi
 
Msanii anayeshirikikiana na Wauaji kuna nchi zingine zikishamfahamu anapigwa marufuku kukanyaga wala kufanya maonesho .

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Mnadeal na msanii aliyeshirikiana na wauwaji ila aliyekuwa makamu wa rais kwenye huo utawala wa wauwaji yeye hamna tatizo naye, ni mambo ya kushangaza.
 
Under normal circumstances DOMO Asingeweza kutoa kauli yoyote kupinga uonevu kwenye ile awamu hata kama ungekuwa wewe asilani usingejaribu yani…as we speak angekua kesha potezwa vbaya sana..avune alichopanda ila hakua na namna
Hoja hiyo ndio inatumika kumtetea Mama samia ambaye nae alikuwa makamu wa rais ila hakuweza kumkosoa mkubwa wake, ila nashangaa kwa Diamond hoja hiyo haitumiki.
 
Hoja ya hao wanaharakati ni kwamba Diamond hakusimama upande wa haki pindi uongozi wa awamu ya tano ukitekeleza uovu kwa watanzania na badala yake diamond alitumia title/platform alonayo kuwasafisha na kuwapigia debe hao wanaoitwa madhalimu wa utawala wa awamu ya tano

Sasa kabla ya kuja heading yako ilikua kwanz uhoji ni faida zipi walizopata watanzania wakati diamond amesimama upande dhalimu
Asante kwa maoni yako lakini kwa nini isiwe hasara iliyopatikana kutokana na matendo yake?
 
Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,
Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
haya ni mambo mawili yasiyo fanana kabisa soma vizuri pingamizi lote kwa nini Diamond anashutumiwa.
 
Kachagua side au kachagua pesa? CCM walimlipa 100m ili aburudishe na kuburudisha ni kazi yake huyo diamond hata kadi ya CCM Hana na Wala sio mwanachama wa CCM na pia si mwanaharakati wewe ungekuwa ndio yeye hiyo million 100 ungekataa? Na onyesha wapi aliwahi kusapoti mauwaji badala ya Chadema waliumia Diamond kuwafanyia burudani CCM kwenye mikutano ya siasa kwanini na wao wasimlipe waone kama hatawafanyia kuliko kuendesha kampeni za kipuuzi
Katika eneo la kuchagua na kuhiari ndio sehemu ambazo binadamu amekuwa akifeli sana, mara nyingi binadamu hutanguliza matamanio na si uhalisia na ukweli
 
Sio kila pambano lazima liwe na faida kwa nchi. Mfano hili la sasa ni funzo tu kwa wasanii wetu wenye vichwa vilivyojaa hewa na Uchawa.
 
Ukiwasikiliza wanaharakati unaweza kudhani kuwa muda wowote ule huko mtaani watu wataanza kuchinjana.

Diamond ni mtafutaji wa riziki kupitia muziki, anayo haki ya kuipamba CCM kama wanamlipa pesa nzuri.

Sasa kama kuna unyama umefanyika wenye kuihusu CCM Diamond kama mwanamuziki hata asingeimba nyimbo za siasa bado angekuwa hana ubavu wa kuufanya unyama huo usifanywe popote ulipofanyika.

Hao watu 15,000 ni wachache sana kulinganisha na mamilioni ya watu waliosimama barabarani kumuaga JPM na wengine wakatandika kanga zao ili matairi yazikanyage.

Diamond anaweza kushinda hiyo tuzo na akaendelea kuimba nyimbo za CCM na bado hizi harakati za wanaharakati zisiathiri muziki wake.

Nongwa za kipuuzi kama hizi za activists ni sawa sawa na zile za miaka ya 1980 mwanzoni wakati Nico Njohole alipotakiwa kufanya majaribio Arsenal halafu viongozi wa FAT wakamuwekea mizengwe.

Nongwa kama hizi zilimnyima Mwameja nafasi ya kucheza timu ya ligi daraja la kwanza Uingereza.
 
Hiyo ni faida moja wapo inayopatikana bila kutumia rasilimari zetu kuielimisha jamii madhara ya uchawa wa kijinga
 
Ukiwasikiliza wanaharakati unaweza kudhani kuwa muda wowote ule huko mtaani watu wataanza kuchinjana.

Diamond ni mtafutaji wa riziki kupitia muziki, anayo haki ya kuipamba CCM kama wanamlipa pesa nzuri.

Sasa kama kuna unyama umefanyika wenye kuihusu CCM Diamond kama mwanamuziki hata asingeimba nyimbo za siasa bado angekuwa hana ubavu wa kuufanya unyama huo usifanywe popote ulipofanyika.

Hao watu 15,000 ni wachache sana kulinganisha na mamilioni ya watu waliosimama barabarani kumuaga JPM na wengine wakatandika kanga zao ili matairi yazikanyage.

Diamond anaweza kushinda hiyo tuzo na akaendelea kuimba nyimbo za CCM na bado hizi harakati za wanaharakati zisiathiri muziki wake.

Nongwa za kipuuzi kama hizi za activists ni sawa sawa na zile za miaka ya 1980 mwanzoni wakati Nico Njohole alipotakiwa kufanya majaribio Arsenal halafu viongozi wa FAT wakamuwekea mizengwe.

Nongwa kama hizi zilimnyima Mwameja nafasi ya kucheza timu ya ligi daraja la kwanza Uingereza.
Huna akili
 
Jiulize kwanz Diamond alikua na manufaa gan aliponyamazia mauaji ya coco akaimba BORA AKAE KIMYA
 
Back
Top Bottom