binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mimi hadi leo ni shabiki yake, na nina appreciate sana alipofikia, lakini kikombe anachokinywea anastahili! Nchi kuna watu wanapaswa kutusemea ila kwa makusudi kabisa wanaamua kukaa kimya au kuungana na wanyanyasaji.Shabiki kitambo 😁
Mi bado ni shabiki wake, ila anayopitia anastahili.
Hatukatai yeye kuwa mwana CCM, lakini kwani ukiwa mwanaCCM ndio huruhusiwi kutetea maslahi ya wananchi?