Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

Umeandika upuuzi mwingi kwa faida ya aliekutuma. Kukosa kwako elimu isiwe sababu ya ww kuja kuanika ujinga wako hapa jukwaani, ukiendelea kuendekeza njaa kuna siku hao waliokutuma watakuomba to.bo la taka.. Shauri yako
 
Huyo alitoa hoja akili Hana hizi ni tuzo za burudani si za siasa
Wewe ndiye huna akili kwa sababu unayatazama mambo mwisho wa magoti yako tu yanapokomea...!!

Yatazame mambo katika upana wake, rusha macho na ufahamu wako maili 1,000 mbele...

Wewe unachojua ni "burudani tu". Kwa Taarifa yako hata ushuhuda wa maisha yake binafsi huyo Diamond Platinum wako ni uchafu na chukizo mwanzo mwisho ktk jamii...

Yaani hakuna lolote jamii inachoweza kujifunza kwake kwa sababu yeye anathamini pesa tu kama ulivyo tu wewe. Na wewe huwezi kuona hili. Unachojua ni " burudani na pesa tu..."

Pole zako..
 
Diamond kwa upande wangu kuwa CCM sio shida ...shida yaanzia yeye kukaa kimya CCM wenzie walipokua wanaminya haki ...

Ikumbukwe miezi ile ile Davido aliingia mtaani na wanachi wa Nigeria kukemea mauaji ya polisi..ajabu huko nyumbani raia walikua wakipitia magumu ila yeye anatweet kuhusu Nigeria na sio kuhusu uonevu wa CCM ilhali yeye ni kioo cha jamii...

Kukaa kimya kwake na wasanii wengine kuliingiza nchi katika rekodi ya udikteta kwa kuzimwa mitandao ya kijamii kwa siku zaidi ya 5! Hakuna mwaccm yoyote alikemea hili hata wale wapambe kina Masanja walibaki kimya na kusifia wapate ugali wao..

Haikuishia hapo mitandao ilirudi ila mtandao uliolengwa ulikua ni twitter ambao ulifungiwa kwa zaidi ya miezi 3 na bila VPN kwa waliokuwepo Tanzania hawakuweza kuipata ! Na kuminya haki ya msingi ya kujipatia taarifa mwisho ! Kwa hili Diamond anastahili adhabu bila kipingamizi na hata yoyote kwangu mimi angekua mshindani kama hakupinga udikteta hafai...

Jana Twitter imefungiwa Nigeria tumeshuhudia Davido akilaani tena suala hilo kutoka serikali ya kiimla kuminya haki ya upataji taarifa kwa raia wake

Silence in the face of injustice is complicity with the oppressor..
 
Wiz kid alizikataa
Diamond si wizkid na wizkid si diamond system ya mziki wa nigeria huwezi kufananisha na bongo na siasa ya nigeria huwezi kufananisha na hapa bongo pesa nyingi za wanamuziki wa bongo wanapata kwenye hii mikutano ya kisiasa mfano mzuri diamond kalipwa show moja tu ya CCM million 100 fanya calculation kama alifanya mikoa 10 alipata shilling ngapi? Wewe lini umewahi kununua kazi za wasanii zaidi ya kuburn kazi zao.Ukiacha na hivyo Diamond amewekeza hapa bongo hiv akiamua kuiponda serikali hali yake ya biashara itakuaje?utamsaidia kulisha familia yake? Wizkid anaweza kufanya harakati za kisiasa dhidi ya serikali lakini nchi yao hawana mambo kama bongo ya kuharibiana au kurudishwa nyuma ndio maana huyo wizkid anajeuri hiyo.
the kind
The Palm Tree
 
Katika hili nimefurahi kuwaona mashabiki wenzangu wa Diamond wa tangu enzi na enzi, nimemuona data Evelyn Salt Phoenix

Hili jambo si personal, labda kama kuna watu wanalitumia pesonally, Mtu ambaye ni celebrity siku zote hatakiwi kuside na oppressors akawaacha wananchi, hii iwe funzo kwao wote wasanii wetu, wautumie umaarufu wao vizuri kwa ajili ya jamii pia maana na wao ni wana jamii.

Movements kama hizi zisiishie kwa Diamond tu, ziende kwa wasanii wote wanaoside na oppressors na wana habari pia.
 
Hapo ndipo utakapokwama kumtetea Diamond wako. Tunaochangia hapa wala siyo CHADEMA lakini tunajua yeye ni CCM...
Yeye ni CCM pale tu analipwa mapene lakini yeye sio CCM Wala Hana kadi ya CCM pia yeye sio Chadema wasanii ambao ni CCM ni steve nyerere, Mwana fa, Babu tale,Shilole, irene uwoya. Diamond yupo kibiashara na ndio maana kikiisha tu kipindi Cha kampeni uwezi kumuona kwenye harakati za CCM.
 
Idadi kubwa ya Ccm ni masikini hata bando ni shida kuipata,,wasiyo jitambua,hata jinsi ya kupiga kura hawajui.
Watapewa free bando pili seminar elekezi kama za wagombea wa ccm
 
Katika hili nimefurahi kuwaona mashabiki wenzangu wa Diamond wa tangu enzi na enzi, nimemuona data Evelyn Salt Phoenix

Hili jambo si personal, labda kama kuna watu wanalitumia pesonally, Mtu ambaye ni celebrity siku zote hatakiwi kuside na oppressors akawaacha wananchi, hii iwe funzo kwao wote wasanii wetu, wautumie umaarufu wao vizuri kwa ajili ya jamii pia maana na wao ni wana jamii.

Movements kama hizi zisiishie kwa Diamond tu, ziende kwa wasanii wote wanaoside na oppressors na wana habari pia.
Shabiki kitambo 😁
Mi bado ni shabiki wake, ila anayopitia anastahili.
 
Siyo kweli ulichoandika watu weusi wengi wameacha kumsupport kwenye products zake nyingi yeye Lill Wayne.

Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,

Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
 
Ndiyo sababu nakupenda hujawahi kuniangusha hata siku moja kwenye chochote unachoandika hapa. 🌹🌹🌹

Back
Top Bottom