Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Nimesoma mahali flan kuwa Dr.Mwele aliolewa na Mzee Kimambi ambaye ni Baba yake Mange kwahiyo alikuwa ni Step Mom wake.
Mzee malechela alimuoa Anne kilango malechela mke wa pili ambaye ni mpare, na mange ni mpare. Hili Pia linawezekana
 
Actually Jumanne Kimambi umaarufu wake ulianzia tangia kipindi mzee wa msoga anautafuta ubunge. Kimambi ndiye alikuwa muongoza timu ya kampeni enzi hizo kwani alikuwa na mpunga wa kutosha. JK aliyoingia kwenye uwaziri pia ilimsaidia Sana Kimambi kupata contracts mbalimbali serikalini kama kujenga majumba, fumigation, barabara etc... Hata alivyofariki JK alikuja kumzika Kijijini kwao ORIA, kata ya Kahe, Moshi Vijijini. Huyu mwamba pesa ilimtembelea mapema Sana miaka hiyo mpaka watu wakawa wanasema anauza mapoudaaa...
 
Madogo wamekosa adabu sana mkuu, yaani mtu umeshuhudia Nyerere alikabidhiwa uhuru na mkoloni halafu dogo anazingua?!!
 
Tango pori hili... Huyo mama wa kimakonde hakuwa kapuku.. Uzuri ni kwamba Mange yumo humu na nimjuavyo ataibuka kujibu hizi maneno aidha humu au kwenye app yake..
 
Acha ligi za Kijinga, mimi namjua mpaka Babu yake Mange... Kimambi, wadogo zake, Kaka yake Kimambi wote ni wapare wako hapo Kijiji cha ORIA...
Kahe, chekereni, mabogini, new land kule Kuna wapare wengi, japokua pia Kuna makabila mengine kama wamasai

Wakahe na wagweno wengi wanapenda kujitambulisha kama wapare sababu tamaduni za kipare wanazitumia sana japokua Wana lugha zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…