Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

Kahe, chekereni, mabogini, new land kule Kuna wapare wengi, japokua pia Kuna makabila mengine kama wamasai

Wakahe na wagweno wengi wanapenda kujitambulisha kama wapare sababu tamaduni za kipare wanazitumia sana japokua Wana lugha zao
Wagweno hawapendi kujitambulisha kama wapare, Ila maeneo hayo ya Kahe, Mabogini, Nyumba ya Mungu, Msitu wa Tembo kote huko ni mchanganyiko wa makabila mengi wakiongozwa na wapare.
 
Ukisoma uzi wa Paschal Mayalla kaelezea alikuwa Mc wa Harusi ya DR.Mwele,inaonekana aliolewa kisha akaachika ndiyo akaja kuwa Mistress wa Baba yake Mange.

Okay
 
Punguza uongo Mkuu,hayo maneno ya kejeli hayasaidii uongo wako kuwa ukweli.
uongo gani wakati nimesema nasikia ina maana zilikua tetesi.ni zamani ilisemwa hivyo sio mimi niliyesema
 
Wagweno hawapendi kujitambulisha kama wapare, Ila maeneo hayo ya Kahe, Mabogini, Nyumba ya Mungu, Msitu wa Tembo kote huko ni mchanganyiko wa makabila mengi wakiongozwa na wapare.
Wanajitambuliasha wagweno wengi wanajua kipare, wapare wengi hawajui kipare nakuambia kwa sababu nimeshakaa ugweno kipindi flani

Wagweno tamaduni zao ni za kipare mfano majina wanatumia ya kipare kama kanyika, kisakeni, kimako, mcharo, kazeni, mrutu, enea, kajiru n.k na ya kike wnatumia ya kipare
 
Huyu na yule mzee mwingine mchaga aliemiliki ule mgahawa nyuma ya posta mpya walikuwa washikaji wakubwa.

Aisee, pale palikuwa na supu na mtori wa kukutoa jasho asubuhi na mchana.
 
Tofaut kat ya wagweno na wapare ni ipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…