proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Poor Brain dronedrake Mbaga Jr hawa vijana wakipata fursa kama hii watashukuru sanaMi pia nisha wahi kukutana na hali hiyo kwenye taasisi fulani, ila kwa sasa rushwa ya ngono sio wanawake tuu kuwapa wanaume kuna baadhi ya wanawake wenye nafasi mbalimbali huwa fanyia hivyo wanaume, wanao hitaji either ajira.
Ila ngono nayo ina namna yake ukifanya kwa ajili ya kitu hata hufaidi
Yaan ufanye huku umefumba macho🤣🤣
Ma CCM yana tunyoosha
Yanatumia weakness zetu za uoga kujinufaisha
Exactly
Hujajua tu raha ya Ile kitu ShesRise_1Ni kuonesha kama sijaipenda
Mna Hatari Sana Ninyi Yaani...🍎Sema Wallah bibi 😅😅
wanawake nao wanapenda rushwa ya ngono?Pia ukijichanganya kwa mwanamke ndio hivyo hivyo kiufupi watu hutumia matatizo ya wengine kujinufaisha haijalishi ni jinsia ipi.
Ili kupata kitu lazima utoe kitu
🔥 mna mbingu yenu Wanaume lol 😆Yani ngono kwa mwanaume ni one kick yani, kaumbwa na kuagizwa akaujaze ulimwengu kumbuka, ndio maana mwanaume ana mbegu zaidi ya milioni 10+ kwa mshindo mmoja wakati mwanamke ana yai moja tu kwa mwezi!
Yani anakula asbh mchana na jioni na akitoka kwenda baa pia akaona sketi anataka tena! Ndio maumbile yetu yani Mungu hakusema tukajicontrol na mke mmoja hamna andiko la namna hiyo popote ni utamaduni tu, ila mwanaume ana nguvu za kutosha yani, hivyo!
Kila la kheriHujajua tu raha ya Ile kitu ShesRise_1
Mimi sijui kitu aiseee 😆Mna Hatari Sana Ninyi Yaani...🍎
Walahi hadi umeniita bibi 🤣🤣🤣 hii ni dalili kuwa enzi zangu zimekwisha kabisaSema Wallah bibi 😅😅
Jamani kwa vile umesema ulikua na enzi maana ake sio binti tenaWalahi hadi umeniita bibi 🤣🤣🤣 hii ni dalili kuwa enzi zangu zimekwisha kabisa
hata wewe uliyekula ni Poor BrainKuna jirani yangu alikosa pesa ya chumvi sh 500 tu nikampatia nayeye akanipatia just imagine chumvi tuu mtu anavua nguo nilivomaliza nikamwambia wewe ni zero brain
Bora umemwambia anajiona mjanja😅hata wewe uliyekula ni Poor Brain
Umemsahau mzabzab proton pump
Sawa acha nikubali nafanyaje sasa 🤣🤣Jamani kwa vile umesema ulikua na enzi maana ake sio binti tena
Ila hicho ni kibwagizo diha bibi😆😆
Wewe je 🤣🤣
Asante kukubari sweetie 😘Sawa acha nikubali nafanyaje sasa 🤣🤣
NomaAiseee
HatariNoma