Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Hata Paka mzee utamani maziwa, wewe ulishindwa vipi kutumia fursa wakati huo unatoa bure kwa kina Mudy.
 
Ndio iko hivyo sio tu kwenye mahusiano, hapana kwani huoni kwa mwamposa wanaohitaji baraka wanapita mbele kwa mafungu, anaanza wenye elf 50 kimbia mbele, wanakimbia, wenye elf kumi kimbia mbele wanakimbia, haya wenye 1000-5000 simameni hapo mlipo hahahah, changamoto zako ni fursa kwa mwingine
 
Sijui umewaza nini kufananisha na huko kwa mwamposa

Et mwenye 10k 5k simameni hapo mlipo dah😀😀😀
 
Sijui umewaza nini kufananisha na huko kwa mwamposa

Et mwenye 10k 5k simameni hapo mlipo dah😀😀😀
Hahahaha, wanaoenda huko sikiliza shuhuda zao ndio utaelewa changamoto ikawa fursa kwa mtume na nabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…