ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
SafiiiWanaume tujikite ktk kazi,tusitumie jinsia zetu kujinufaisha. Nataka niwaambie wanaume wenzangu wenye tabia hizi mbovu na ambazo hazikubaliki ktk jamii tuache mara moja,kwani licha ya kuwa zinakiuka miongozo,kanuni,taratibu na sheria za utumishi wa umma bali pia ni fedheha kuwa ipo siku moja utakamatwa,utawekwa zizuizini na utaadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Lazima watanzania hasa nyie watumishi wa umma mfanye kazi kwa weledi.
Both teams to scoreπNa siri ya mwanaume kuishi miaka mingi ni kukaa mbali na mwanamke. Period
Kwamba Huu mtego uliutegua???? Hahaha au kina kitu umeruka?
Wewe hunijui kabisa mimiKwamba Huu mtego uliutegua???? Hahaha au kina kitu umeruka?
Wewe unaonaje?Hili swali nani anatakiwa kujibu ? Mwanamke ama mwanaume.
Mambo yana enda kasiMi pia nisha wahi kukutana na hali hiyo kwenye taasisi fulani, ila kwa sasa rushwa ya ngono sio wanawake tuu kuwapa wanaume kuna baadhi ya wanawake wenye nafasi mbalimbali huwa fanyia hivyo wanaume, wanao hitaji either ajira.
Waswahili husema kila neno nenoPia ukijichanganya kwa mwanamke ndio hivyo hivyo kiufupi watu hutumia matatizo ya wengine kujinufaisha haijalishi ni jinsia ipi.
Ili kupata kitu lazima utoe kitu
Ukiendekeza tamaa mwanamke utaliwa mpaka na mbwaaAlidhani na ww ni kama Wale wengine wapenda kitonga. Alidhani you're cheap, hapo mengine angeona hiyo ni fursa. So he was shooting his shot, kama mwanaume mwenye tamaa, kwa mwanamke mwenye tamaa pia
Kwa sababu zipiNipigie bs π
Ni huzuniWanawake wenyewe wengi wana tabia ya kujitegesha na kutumia mbunye kupata kipato.
Za kiusalama zaidi πKwa sababu zipi
Watu kama wewe hawakosekaniUkisoma hapa unaweza sema watu mpo serious sana kumbe mtaaani ndo michezo yenu online mnalalamika.
"Kulombana sio anasa" ShesRise_1(2026)
Kutaka kuchovya kila sehemu ni ushamba tu na urohoHiyo mala nyingi naona ni tabia pia aina ya maisha ambayo mtu amepitia, mwingine unakuta kakua hivyo tamaa nyingi, mwingine alikuwa kijana smart tu lakini baadhi ya wasichana aliokutana nao wamejeruhi moyo wake, hivyo naye anakuwa ameazimia moyoni mwake kuwa yeyote atakae jichanganya ameisha na hii hutokea katika uhitaji wa mtu
Umeeleweka sweetieAsante
Si sehemu zote utatoa mbunye,, na sijasema itolewe tu sio nyanya hiyo iungiwe kila mboga.
Lakini tambua nafasi yako
Yaani hao na mbunye ni sawa na mgonjwa na uji
π π π nomaSi support huyo mwenye nyumba wako alichofanya kuwa ni sahihi, ila nina mtizamo tofauti.
Huyo mwenye nyumba wako umemuanzishia uzi sababu hujamtamani kingono, ungekua umevutiwa nae, hapo alivokupiga vocal kimoyomoyo ungeshukuru na kumtunuku chap..usingesema ohh kwa vile una shida ya kodi ndo maana ana take advantage
Au nasema uongo dada zangu Seran ShesRise_1 leo dada Suhendra
Nimekunywa supu ya kukuUmekunywa chai?
Sawa sawaHata wanawake hutaka kujinufaisha ukiwaomba Mbunye.
So kila mtu atumie alichobarikiwa kupata asivyo navyo.
Dunia imekaa hivyo.
Ila kwenye mambo ya serikali hapo kwa kweli hoja unayo.
Ila kampuni binafsi kila mtu apambane na hali yake.
Sawa sawaZa kiusalama zaidi π
Hayo makebo mnayaendekeza sanaNi tamaa tu zinatusumbua ndugu mtoa mada, ukiona mwanamke ana makebo basi akili inahama, tusamehe sana kama tumekukwaza
Mwanamke anaomba mkopo unamkopesha vizuri tu, sasa kwenye kulipa anataka akulipe interms of mbunye. Sometimes mnayataka wenyewe.Mdogo wangu we jifunze tu kutumia mwanaume!!!!
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kukusaidia au kukupa dili bila kutoka mbunye.
Hao kwenye tamaa za kimwili hawanaga ustaarabu