Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Ni kweli lakini kwenye scenario kama hii mwenye nyumba na ana nyumba na mpangaji ana hela...kuna haja gani ya kuhusisha nyuchi?
 
Kwenye shida lazima tamaa iwepo na kwa wanaume baadhi huchukua nafasi hiyo kwaajili yao, pale Mwanamke atapoonekana anashida ndo chance kwake kupata alichokuwa anatamani muda tu so kikubwa ni tamaa ilikuwepo lakini pale Mwanamke anapokuja na shida ndio anatumia kama kisingizio kuipata.
 
Ex girlfriend wangu imewahi kumkuta hili mwanzo aliniambia na nikampa solution iweje ila baada ya muda nikajua Manager anamla girlfriend wangu ndipo mahusiano yangu na yeye niliyamaliza siku hiyo hiyo
 
Ukiwa na maana hayo mawazo yake ya upuuzi yalikuepo kitambo

So kumuelezea shida umempa chance?
 
Ni kweli lakini kwenye scenario kama hii mwenye nyumba na ana nyumba na mpangaji ana hela...kuna haja gani ya kuhusisha nyuchi?

Mkuu mpangaji alienda mile moja nje ya ratiba so situation ilichange, so ikawa fursa mpya! Kila muda kila kiumbe kinaangalia loose balls yani, kumbuka the stronger survives, kupita fursa za the weaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…