Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Mkuu mpangaji alienda mile moja nje ya ratiba so situation ilichange, so ikawa fursa mpya! Kila muda kila kiumbe kinaangalia loose balls yani, kumbuka the stronger survives, kupita fursa za the weaker
We jamaa aisee πŸ˜…
 
Ila ni dhambi kubwa sana unapoona mtu ana shida na wewe unaona ndio muda wa kutatua shida zako
 
Binafsi sihitaji ngono kama fidia kwa mwanamke atakayehitaji msaada toka kwangu

Mipaka yangu wanawake wote niliowakopesha wananilipaga wenyewe bila mitego yoyote aseeh...

Vilevile nikaelekezwa msaidie mtu bila kuhitaji fidia hasa hizi za ngono kama huwezi usimsaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…