Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.
Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe kabla ya mkutano huo?
Ikumbukwe kuwa CHADEMA ndio chama cha siasa chenye wanachama wengi zaidi na ushawishi mkubwa baada ya CCM, hivyo itakuwa ni maigizo na vichekesho kufanya mkutano huo bila CHADEMA
Kama hatofutiwa, CHADEMA watakubali kushiriki kwenye mkutano huo? Sijasikia msimamo wa chama so far.
Kuna negotiations zozote chini ya kapeti baina ya serikali, msajili wa vyama na vyama vya siasa?