Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

Kesi ya Mbowe inatarajiwa kutajwa tena mahakamani tarehe 14 Desemba.

Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.

Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CDM ndugu Freeman Mbowe kabla ya mkutano huo?

Ikumbukwe kuwa CDM ndio chama cha siasa chenye wanachama wengi zaidi na ushawishi mkubwa baada ya CCM, hivyo itakuwa ni maigizo na vichekesho kufanya mkutano huo bila CDM.

Kama hatofutiwa, CDM watakubali kushiriki kwenye mkutano huo? Sijasikia msimamo wa chama so far.

Kuna negotiations zozote chini ya kapeti baina ya serikali, msajili wa vyama na vyama vya siasa?
Ccm Haina ushawishi wowote Ni mabavu tu.
 
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
 
Nguvu inayotumiwa na chama tawala kukabiliana na chama pinzani ndiyo inaonesha utofauti wa vyama vilivyopo.
 
Hakuna Serikali duniani itavumilia michezo ya hovyo kama ambavyo walikuwa wameanzisha
 
Hizi siasa za TZ zimeja unafiki mtupu hamna lolote la maana, wengi wanajali matumbo yao msimamo haupo, wewe unadhani Zitto au mbatia wanaweza kugomea hicho kikao kisa mbowe iko gerezani sio rahisi........kila kitu kitaendelea vizri kama serikali inavo penda
Na hapa ndio kuna kosa kubwa lakuwapa MaCCM nafasi ya kuvuruga nchi watakavyo.
upinzani unaotengenezwa na CCM ndio watakua kimbere mbere kwenye uharibifu wa demokrasia.
 
Na hapa ndio kuna kosa kubwa ,lakuwapa MaCCM nafasi ya kuvuruga nchi watakavyo.
upinzani unaotengenezwa na CCM ndio watakua kimbere mbere kwenye uharibifu wa demokrasia.
Bahati nzuri tabia huwa haijifichi, wananchi tunawajua vizuri sana wachumia tumbo ni akina nani.
 
Ni aibu na kuoondoa nchi kwenye ustarabu na kuwa nchi ya kimra.
 
Kesi ya Mbowe inatarajiwa kutajwa tena mahakamani tarehe 14 Desemba.

Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.

Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CDM ndugu Freeman Mbowe kabla ya mkutano huo?

Ikumbukwe kuwa CDM ndio chama cha siasa chenye wanachama wengi zaidi na ushawishi mkubwa baada ya CCM, hivyo itakuwa ni maigizo na vichekesho kufanya mkutano huo bila CDM.

Kama hatofutiwa, CDM watakubali kushiriki kwenye mkutano huo? Sijasikia msimamo wa chama so far.

Kuna negotiations zozote chini ya kapeti baina ya serikali, msajili wa vyama na vyama vya siasa?
Negotiations nje sheria nikubaka Demokrasia.
Anayekiuka katiba awajibike
 
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
Chadema ni maarufu kama hutaki kunywa sumu ufe tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom