Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

Ccm Haina ushawishi wowote Ni mabavu tu.
 
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
 
Nguvu inayotumiwa na chama tawala kukabiliana na chama pinzani ndiyo inaonesha utofauti wa vyama vilivyopo.
 
Nguvu inayotumiwa na chama tawala kukabiliana na chama pinzani ndiyo inaonesha utofauti wa vyama vilivyopo.
Hakuna Serikali duniani itavumilia michezo ya hovyo kama ambavyo walikuwa wameanzisha
 
Na hapa ndio kuna kosa kubwa lakuwapa MaCCM nafasi ya kuvuruga nchi watakavyo.
upinzani unaotengenezwa na CCM ndio watakua kimbere mbere kwenye uharibifu wa demokrasia.
 
Na hapa ndio kuna kosa kubwa ,lakuwapa MaCCM nafasi ya kuvuruga nchi watakavyo.
upinzani unaotengenezwa na CCM ndio watakua kimbere mbere kwenye uharibifu wa demokrasia.
Bahati nzuri tabia huwa haijifichi, wananchi tunawajua vizuri sana wachumia tumbo ni akina nani.
 
Ni aibu na kuoondoa nchi kwenye ustarabu na kuwa nchi ya kimra.
 
Negotiations nje sheria nikubaka Demokrasia.
Anayekiuka katiba awajibike
 
Chadema ni maarufu kama hutaki kunywa sumu ufe tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…