Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

Si mlisema kesi itafutwa 14.12.2021? Kumbe mnapiga ramli tu?
 
Bila shaka vyama vya upinzani vitakuwa vya Mamose Cheyo, Lyatonga Mrema na yule mwenye nahau nyingi wa /ADA TADEA na waimba kwaya wa vyama vingine mfu
 
Tarehe sio siku ya kutajwa kesi bali ni siku ya Hukumu (Maamuzi) ya Kesi Ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…