Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Kwanza ujue unazungumza katika muktadha gani?

Mada imejikita katika sheria za Dini ya kiislamu.

Sasa kama una mambo yako mengine naomba utupishe
Usingeleta humu kama unataka upishwe ungepeleka msikitini ungepata maoni unayoyataka wewe sawa bwamdogo, pili hiyo dini imeletwa kwa watu wenye akili timamu kwa hiyo tumia akili yako vizuri usiwe kama kondoo.
 

Umetoa povu jingi hapo pasina hata moja la msingi kwanza aliekuambia nabii Ismail ni mtoto wa nje ya ndoa ni nani ? mbona mnakua madondocha wa fikra kiasi hicho we unapo sikia akitajwa Mtume wa Mungu Ibrahamu baba wa mataifa unafikiria kwa akili za kindodocha anaweza akafanya zinaa kumuasi Mungu wake hebu tulizeni akili zenu sio kila matongo pori mkitupiwa mnameza kama majuha.

Lapili elewa katika viumbe wote alioumba Allah na kuwapa makazi hapa Ardhini. Binaadam ndio kiumbe pekee aliowekewa sheria na mipaka katika kuinjoy sex nafouti na viumbe wengine. ili pawepo na mtiririko maalumu na mpango maalum katika utambulikano wa familia na uzao. ndio maana binaadamu atakapo ingiliana kimwili na dada yake au mama yake huwa hatiani hata kwa sheria za serikali za nchi. kwa nini viumbe wengine wanapo pandana na mama zao au dada zao wasiwe hatiani?
Binaadamu haiwezekani wapandane ovyo kama wanyama na kuziliana hovyo bila utaratibu.
 
Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote zaidi ya binadamu wenye roho mbaya kusingizia Mungu. Kila kitu Cha ovyo hufanyika Kwa kigezo Cha Mungu, Mauaji ya kujitoa mhanga(MUNGU).

[emoji15][emoji15][emoji15] huyu anahatari !!!!!! ikosiku atakuja mparamia mzazi wake na kujitetea kua Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote
 
Mama ajazaa peke yake kashiriki na mtu. kwa kigezo hiko ni kujifunga.
mfano mzuri umeona leo watu wakijipendekeza kwa walifanikiwa ambao kama wengekuwa maskini basi wasinge wajua. Mimi na sema hizi dini zipo kwa ajili ya maskini si tajiri

wewe kwa akili yako na ufinyu wa mawazo ulishaona hata siku moja jogoo likarudi nyumbani na vifaranga? kwanini wakati jogoo hufanya kazi kubwa sana katika kwatafuta viranga kama kutafuta chakula na kumwitia jike wakati mwingine anamkimbiza wakati mwingine anapigana. lakini hatimae kuku jike ndio mwenye vifaranga
mifano kama hiyo muwe mnaweka akili ili muweza kua na fikra njema
 

Kwa asili mwanamke ndio huwa wa kwanza kumshawishi mwanamume na hata aya inayo elezea masuala ya zinaa akanza tajwa mwanamke kama (Azzaniyatu) mwanamke hutumia matendo kushawishi zinaa na mwanamume hufuatisha kwa kutumia maneno, na kama mwanamke hajaanza ishara za uzinifu kwako humpati ng'o. unawaona kutwa wanapita wakizurura uchi mchana na usiku wakikosa aibu kwa hiyo chumo linalopatikana katika vichocheo vyao vya zinaa ndio malipo yao hilo zigo walibebe wana stahili
 
Mkuu ni wapi ulisikia watoto wa adammu walizaa na dada zao?. Adamu alipata watoto watatu tu wote wa kiume inamaanisha kulikuwa na jamii nyingine tofauti na mwanzo wa uzao wa adamu.

Hiyo jamii ilikua ni ya nani? ilio kuwepo kabla ya uzao wa Adam.
 
Conclusion ni kwamba binadamu ni wale waliozaliwa kwenye ndoa tu,, hao wengine wapo kwa bahati mbaya tuu , kulingana na dini ya haki, useng useng tuu, mnatumia dini vibayaa mno
 

Kama ndo uislam huo bora tuendelee kuwa wapagani.
 

Hiyi asili alitaka mwenyewe huyo mwanamke?
 
Conclusion ni kwamba binadamu ni wale waliozaliwa kwenye ndoa tu,, hao wengine wapo kwa bahati mbaya tuu , kulingana na dini ya haki, useng useng tuu, mnatumia dini vibayaa mno

Ndio chanzo cha kuwepo kwa watoto wasio na upendo duniani…hivi kama mtoto akisikia hivyo hiyo kauli inatoka kwa mzazi wake utadhani atakuwa na ubinadamu?
 
Mmekaa kikandamizi sana,ona lawama zote mnamsukumizia mwanamke…Hata katika mahusiano ya mapenzi kawaida nani huwa initiator kama sio mwanaume? Sasa mwanamke anakujaje hapo?ok sawa na je waliobakwa? Wao ndo wamesababisha?

Hujui unacho ongea mtizamo wako ni finyu hakuna anaye mkandamiza mwanamke mwanamke katika Uislam anahadhi kubwa kuliko katika jamii nyingine ile ulimwenguni.
1. mwanamke ktk uislam anahaki ya kulindwa kuhifadhiwa akiwa nyumbani kwao na hata akiolewa.
2. mtoto wa kike katika uislam harusiwi kutoka nyubani akiwa peke yake lazime afuatane na kaka yake au nduguye yeyote wa kiume katika matembezi yao. (atabakwa sangapi)

yako mengi sana ya kumlinda mwnamke ktk uislam tatizo linampata mwanamke kukubali kurubuniwa na fkra potofu za kiulimwengu juu ya haki ya mwanamke
 
Hiyi asili alitaka mwenyewe huyo mwanamke?

Ndio kwa kuchupa mipaka aliowekewa na muumba wake,na kama atarejea ktka mipaka yake hiyo Asili itatoweka.
# Zingatia hilo neno asili hapo sio asili ya maumbile kwa kuwa zinaa si maumbile zinaa ni tabia
 
Labda maandiko yalidanganya yaliposema Abraham alizaa na kijakazi wake na mke wake alipata ujauzito katika umri mkubwa Sana.

Kuhusu utaratibu wakujamiiana sijui waviumbe wengine na utaratibu wa binadamu nakuuunga mkono. Lakini hoja ilijikita kwenye mtoto nje ya ndoa yakidini na haki zake za kibinadamu.
 
[emoji15][emoji15][emoji15] huyu anahatari !!!!!! ikosiku atakuja mparamia mzazi wake na kujitetea kua Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote
Hizi Sheria tumeweka Ili kuwa na ustaarabu. Na ndiomaana mtu anaezaa na ndugu wa damu anaonekana waajabu katika jamii ya wastaarabu na Mila zetu waafrika zinapinga hayo. Lakini Mungu hahusiki na haya ndiomaana aliruhusu Luttu kuzaa na binti zake, hata Dunia yetu Kuna watu wanazaa na ndugu na maisha yanaendelea.

Nyie hiyo dini yenu inayoona mtoto wa nje ya ndoa ni laana na anatakiwa kutengwa na haki za kifamilia ipo sahihi Kwa asilimia mia Moja katika mienendo yake?
 

Hayo matango pori ya Nabii Luttu kazaa na mabinti zake mnayotoa wapi nyie mbona mnawachafua Mitume wa Allah namana hiyo?

Halafu wewe Mungu humuelewi nambie na unipe ushahidi wa kutosha ni Taifa gani ulimwenguni linaruhusu dada na kaka wa Damu kuona na ndoa ikabarikiwa kimila au kipagani mambo sasa yako wazi na wapo wapagani kama wewe hata huko ughaibuni nataka nijifunze hili kutoka kwako
 
Matango pori au husomi maandiko kasome kuanzia mwanzo 29:30 nakuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…