Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimk1bithi kama mke kwa idhini ya nani?Baada ya mama Sara kumkabidhi hajara Kwa Ibrahim alimkabidhi kama mke tayar
Je Una shida na Hilo chief?
Usingeleta humu kama unataka upishwe ungepeleka msikitini ungepata maoni unayoyataka wewe sawa bwamdogo, pili hiyo dini imeletwa kwa watu wenye akili timamu kwa hiyo tumia akili yako vizuri usiwe kama kondoo.Kwanza ujue unazungumza katika muktadha gani?
Mada imejikita katika sheria za Dini ya kiislamu.
Sasa kama una mambo yako mengine naomba utupishe
Hizi dini za kuletewa hizi zinavioja Sana. Mungu mlikutana nae wapi akayasema yote hayo? Au utashi wa binadamu ndio umepelekea kuyaandika hayo? Labda tuwaulize Ismail ni mtoto wa nani? Maana Abraham alimpata nje ya ndoa.
Masuala ya kusema ndoa ya kanisani au msikitini ni halali na nje ya hapo ni haramu yanaudhi Sana. Yaani mwanangu asirithi Mali au asitumie jina langu kisa dini! Basi Bora niachane na hiyo dini kuliko kupoteza uhusiano wa damu baina yangu na mtoto.
Jambo la kushangaza mtoto huyo huyo anakua na majina meeengi ya kumlaani. Lakini iwapo mama yake ukafunga nae tu ndoa japo Kwa kuchelewa yanabadilika. Kwahiyo kumbe shida sio mtoto Bali mnataka mwenye mtoto afunge ndoa na baba wa mtoto bila kujali ni mke wa pili, tatu au nne Sasa ndio Nini?
Waliowaletea dini wenyewe juzi wametengua kauli inayosema kuishi bila ndoa ni haramu na adhabu yake ni kifo. Walitengua Ili Ronaldo na mchumba wake waendelee na maisha, je nao waliambiwa na Mungu kuwa iwapo mtu ni maarufu Sheria haimhusu? Na wewe ambae upo kwenye familia ya kindoa utasema maneno hayo hayo iwapo mama Yako akisema huyo sio baba Yako? Muache kukalili na kuita binadamu wenzenu majina mabaya.
Kanuni zenu hizo hizo zimepelekea mabinti wengi kupoteza Malinda kabla ya ndoa Kwa hofu ya kupoteza bikra kabla ya ndoa au kuzaa kabla ya ndoa. Sasa unakua unafanya Nini Kama mtu unahofia kuchepuka Ili usizae haramu badala yake unatindua Malinda ya watoto wakiume Ili kutimiza haja zako? Na kanda zenye watu Kama nyinyi magasho wengi kwasababu ya hofu ya kuzaa nje kwahiyo mnaona Bora kujipooza huko .
Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote zaidi ya binadamu wenye roho mbaya kusingizia Mungu. Kila kitu Cha ovyo hufanyika Kwa kigezo Cha Mungu, Mauaji ya kujitoa mhanga(MUNGU).
Mama ajazaa peke yake kashiriki na mtu. kwa kigezo hiko ni kujifunga.
mfano mzuri umeona leo watu wakijipendekeza kwa walifanikiwa ambao kama wengekuwa maskini basi wasinge wajua. Mimi na sema hizi dini zipo kwa ajili ya maskini si tajiri
Tatizo sio ukafiri tatizo ni logic haiji,hiyo dini yenu ni ya kikandamizi kabisa,sasa kwann mzigo aachiwe mama peke yake wakati hiyo zinaa wamefanya wote,tena pengine huyo mwanaume ndio alimlaghai huyo mwanamke mpaka huyo mtoto akapatikana halafu mseme ni wake peke yake.Imagine wewe ndo ungekuwa huyo mtoto na unasikia maneno kama hayo na hukuwah muomba Mungu akulete kwenye familia isiyo ya ndoa?
Mkuu ni wapi ulisikia watoto wa adammu walizaa na dada zao?. Adamu alipata watoto watatu tu wote wa kiume inamaanisha kulikuwa na jamii nyingine tofauti na mwanzo wa uzao wa adamu.
Kwa asili mwanamke ndio huwa wa kwanza kumshawishi mwanamume na hata aya inayo elezea masuala ya zinaa akanza tajwa mwanamke kama (Azzaniyatu) mwanamke hutumia matendo kushawishi zinaa na mwanamume hufuatisha kwa kutumia maneno, na kama mwanamke hajaanza ishara za uzinifu kwako humpati ng'o. unawaona kutwa wanapita wakizurura uchi mchana na usiku wakikosa aibu kwa hiyo chumo linalopatikana katika vichocheo vyao vya zinaa ndio malipo yao hilo zigo walibebe wana stahili
Kwa asili mwanamke ndio huwa wa kwanza kumshawishi mwanamume na hata aya inayo elezea masuala ya zinaa akanza tajwa mwanamke kama (Azzaniyatu) mwanamke hutumia matendo kushawishi zinaa na mwanamume hufuatisha kwa kutumia maneno, na kama mwanamke hajaanza ishara za uzinifu kwako humpati ng'o. unawaona kutwa wanapita wakizurura uchi mchana na usiku wakikosa aibu kwa hiyo chumo linalopatikana katika vichocheo vyao vya zinaa ndio malipo yao hilo zigo walibebe wana stahili
Conclusion ni kwamba binadamu ni wale waliozaliwa kwenye ndoa tu,, hao wengine wapo kwa bahati mbaya tuu , kulingana na dini ya haki, useng useng tuu, mnatumia dini vibayaa mno
Mmekaa kikandamizi sana,ona lawama zote mnamsukumizia mwanamke…Hata katika mahusiano ya mapenzi kawaida nani huwa initiator kama sio mwanaume? Sasa mwanamke anakujaje hapo?ok sawa na je waliobakwa? Wao ndo wamesababisha?
Hiyi asili alitaka mwenyewe huyo mwanamke?
Maneo kama hayo yaliwaangamiza wengi nawe si wa kwanza kusema akina Farau wa Misry walsemma maneno kama hayoKama ndo uislam huo bora tuendelee kuwa wapagani.
Labda maandiko yalidanganya yaliposema Abraham alizaa na kijakazi wake na mke wake alipata ujauzito katika umri mkubwa Sana.Umetoa povu jingi hapo pasina hata moja la msingi kwanza aliekuambia nabii Ismail ni mtoto wa nje ya ndoa ni nani ? mbona mnakua madondocha wa fikra kiasi hicho we unapo sikia akitajwa Mtume wa Mungu Ibrahamu baba wa mataifa unafikiria kwa akili za kindodocha anaweza akafanya zinaa kumuasi Mungu wake hebu tulizeni akili zenu sio kila matongo pori mkitupiwa mnameza kama majuha.
Lapili elewa katika viumbe wote alioumba Allah na kuwapa makazi hapa Ardhini. Binaadam ndio kiumbe pekee aliowekewa sheria na mipaka katika kuinjoy sex nafouti na viumbe wengine. ili pawepo na mtiririko maalumu na mpango maalum katika utambulikano wa familia na uzao. ndio maana binaadamu atakapo ingiliana kimwili na dada yake au mama yake huwa hatiani hata kwa sheria za serikali za nchi. kwa nini viumbe wengine wanapo pandana na mama zao au dada zao wasiwe hatiani?
Binaadamu haiwezekani wapandane ovyo kama wanyama na kuziliana hovyo bila utaratibu.
Hizi Sheria tumeweka Ili kuwa na ustaarabu. Na ndiomaana mtu anaezaa na ndugu wa damu anaonekana waajabu katika jamii ya wastaarabu na Mila zetu waafrika zinapinga hayo. Lakini Mungu hahusiki na haya ndiomaana aliruhusu Luttu kuzaa na binti zake, hata Dunia yetu Kuna watu wanazaa na ndugu na maisha yanaendelea.[emoji15][emoji15][emoji15] huyu anahatari !!!!!! ikosiku atakuja mparamia mzazi wake na kujitetea kua Mungu hajawahi kuweka utaratibu wowote na popote
Hizi Sheria tumeweka Ili kuwa na ustaarabu. Na ndiomaana mtu anaezaa na ndugu wa damu anaonekana waajabu katika jamii ya wastaarabu na Mila zetu waafrika zinapinga hayo. Lakini Mungu hahusiki na haya ndiomaana aliruhusu Luttu kuzaa na binti zake, hata Dunia yetu Kuna watu wanazaa na ndugu na maisha yanaendelea.
Nyie hiyo dini yenu inayoona mtoto wa nje ya ndoa ni laana na anatakiwa kutengwa na haki za kifamilia ipo sahihi Kwa asilimia mia Moja katika mienendo yake?
Matango pori au husomi maandiko kasome kuanzia mwanzo 29:30 nakuendeleaHayo matango pori ya Nabii Luttu kazaa na mabinti zake mnayotoa wapi nyie mbona mnawachafua Mitume wa Allah namana hiyo?
Halafu wewe Mungu humuelewi nambie na unipe ushahidi wa kutosha ni Taifa gani ulimwenguni linaruhusu dada na kaka wa Damu kuona na ndoa ikabarikiwa kimila au kipagani mambo sasa yako wazi na wapo wapagani kama wewe hata huko ughaibuni nataka nijifunze hili kutoka kwako