Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #361
Utupishe kwasababu unajiongelesha mwenyewe tuUsingeleta humu kama unataka upishwe ungepeleka msikitini ungepata maoni unayoyataka wewe sawa bwamdogo, pili hiyo dini imeletwa kwa watu wenye akili timamu kwa hiyo tumia akili yako vizuri usiwe kama kondoo.
Kwahiyo Kwa ufahamu wako wewe,sheria za zamani na sasa ziko Sawa,au unadhani ndoa za Manabii na Mitume zote zilikuwa Sawa?Alimk1bithi kama mke kwa idhini ya nani?
Piga 📌📌 chiefUmetoa povu jingi hapo pasina hata moja la msingi kwanza aliekuambia nabii Ismail ni mtoto wa nje ya ndoa ni nani ? mbona mnakua madondocha wa fikra kiasi hicho we unapo sikia akitajwa Mtume wa Mungu Ibrahamu baba wa mataifa unafikiria kwa akili za kindodocha anaweza akafanya zinaa kumuasi Mungu wake hebu tulizeni akili zenu sio kila matongo pori mkitupiwa mnameza kama majuha.
Lapili elewa katika viumbe wote alioumba Allah na kuwapa makazi hapa Ardhini. Binaadam ndio kiumbe pekee aliowekewa sheria na mipaka katika kuinjoy sex nafouti na viumbe wengine. ili pawepo na mtiririko maalumu na mpango maalum katika utambulikano wa familia na uzao. ndio maana binaadamu atakapo ingiliana kimwili na dada yake au mama yake huwa hatiani hata kwa sheria za serikali za nchi. kwa nini viumbe wengine wanapo pandana na mama zao au dada zao wasiwe hatiani?
Binaadamu haiwezekani wapandane ovyo kama wanyama na kuziliana hovyo bila utaratibu.
Hili andiko ni batili kabisaMatango pori au husomi maandiko kasome kuanzia mwanzo 29:30 nakuendelea View attachment 2583552
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dini zenu na nani, usiwe boya wewe sema dini zao. Nyie dini zenu hazikutambua mtoti haramu ebooo!
Ndio maana nikwambia matango pori hivi wewe Vitalisi kwa akili yako kweli Mtume alietumwa na Mungu wa mbigu na Ardhi kuja kuwafudisha watu na kuwaelekeza njia sahihi ya kumjua muumba wao.Matango pori au husomi maandiko kasome kuanzia mwanzo 29:30 nakuendelea View attachment 2583552
Kwahiyo hapo tangopori ni biblia iliyoandika hayo au habari yenyewe maana habari hiyo ipo kwenye maandiko matakatifu. Lakini tusiende mbali tuungane kuwaheshimisha binadamu wenzetu ambao wamezaliwa kwenye familia zisizo za ndoaNdio maana nikwambia matango pori hivi wewe Vitalisi kwa akili yako kweli Mtume alietumwa na Mungu wa mbigu na Ardhi kuja kuwafudisha watu na kuwaelekeza njia sahihi ya kumjua muumba wao.
anaweza akafanyiwa upuuzi huo Halafu Mungu akaubariki akimwachia tu sasa utakua wapi ufalme wa Mungu? mbona mnarahisisha mambo kiasi hiko? na kuwakosea adabu Mitume wa Mwenyezi Mungu?
Kwahiyo hapo tangopori ni biblia iliyoandika hayo au habari yenyewe maana habari hiyo ipo kwenye maandiko matakatifu.
Kama unahisi kwenye maandiko matakatifu Kuna mawazo yakibinadamu ndani yake basi hata hili la watoto wakando limechukuliwa kibinadamu maana naamini Mungu hakumuumba mtu na kumruhusu Aishi Ili aitwe majina ya laaana. Majina na Mambo mnayoyapigania mkiamini ni maagizo ya Mungu mjue waliongeza wanadamu wenye mwili wa nyama na sio mwenyezi Mungu muumba wa mbingu, nchi na vitu vyote vilivyomo.Chanzo chake mauudhui yake vyote haviingi akilini nawala haviwezikua maneno matakatifu kutoka kwa M/Mungu ni uzushi uliozuliwa na wazushi wakitumia kalamu zao na kupakwa rangi ya utakatifu.
Hivi unajiongelesha mwenyewe au ?Kama unahisi kwenye maandiko matakatifu Kuna mawazo yakibinadamu ndani yake basi hata hili la watoto wakando limechukuliwa kibinadamu maana naamini Mungu hakumuumba mtu na kumruhusu Aishi Ili aitwe majina ya laaana. Majina na Mambo mnayoyapigania mkiamini ni maagizo ya Mungu mjue waliongeza wanadamu wenye mwili wa nyama na sio mwenyezi Mungu muumba wa mbingu, nchi na vitu vyote vilivyomo.
We ni sawa na kopo tupu, kichwani hamna kitu Sasa umeniquote ya nn kama nijiongelesha.Utupishe kwasababu unajiongelesha mwenyewe tu
Sheria ingelenga kumuadhibu baba ningeielewa ila hapa inamwadhibu mtoto asie na kosa lolote , hajazini hakuomba kuzaliwa , hakujileta dunian , hakuomba hao wawe wazazi wake, kwann akose haki yake ya msingi kukaa na wazazi wake na, ndugu zake na kurithi mali ya baba yakeHivi unajiongelesha mwenyewe au ?
Mungu kakataza zinaa au uzinifu,sasa cha ajabu ni nini kutomtambua Baba wa mtoto aliyepatikana Kwa tendo la haramu
Ieleweke mtoto sio haramu Ila njia ambayo alipatikana yeye ndio haramu
Je Mungu anapenda uchafu?
Ahsante kwakuungana nami katika kupinga upuuzi unaoletwa na baadhi ya wanaoujiita wafia dini huku wakibagua binadamu wenzao kisa ndoaSheria ingelenga kumuadhibu baba ningeielewa ila hapa inamwadhibu mtoto asie na kosa lolote , hajazini hakuomba kuzaliwa , hakujileta dunian , hakuomba hao wawe wazazi wake, kwann akose haki yake ya msingi kukaa na wazazi wake na, ndugu zake na kurithi mali ya baba yake
Lakn pia sheria hiyo hiyo inahalalisha dhambi kwamba mwanamke kuzini na kubaki na matokeo ya zinaa ni sawa ila mwanaume hapana
Hiyo bus sipandi , ni ubatili mtupu
Acheni kumuwekea Mungu maneno.Ndoa ni mambo ya binadamu sio Mungu.Mungu hawezi kuweka utaratibu ambao kila mtu anaweza kujifanyia kwa jinsi anavyotaka.Ndoa ungekua ni utaratibu wa Mungu kamwe kusingekua na hivi vituko vya ndoa vya sasa hivi.Mungu aliumba kuzaana na kufa.Na itabaki kua hivyo.Unatakiwa tu uelewe kua wewe na ng'ombe mna agizo sawa lililotoka kwa Mungu ndo maana halibadiliki.Mengine ni bwebwe zetu binadamu.Ngoja nikuelimishe kidogo kila unachokiona duniani kiko chini ya under control hata ww uko chini ya under control.
Mwenyezi mungu kaumba binadamu na kamuwekea na taratibu maalumu ni namna gani aendeshe maisha yake na sio ilimradi tu anaishi.
Mfano leo ww utatafuta pesa kwa nguvu zako utanunua gari lakini hiyo gari huwezi kuiendesha barabarani mpaka upitie utaratibu fulani licha ya kwamba hakuna aliye kusaidia kununua hilo gari.
Au ukitaka kufungua biashara utatakiwa ufuate utaratibu maalumu licha ya sio kufungua kiholela holela.
Hivyo hivyo kwa mungu alikuumba akasema nendeni mkaijaze dunia lakini kaweka utaratibu wa kuzaliana na sio kuzaliana kiholela holela.
Dawa ya kuhepusha haya sio kuukimbia ukweli bali ni sisi kuacha uzinzi wa kiholela, hakika ni ukatiri na ubinafisi mkubwa kwa mwanaume kumpa binti wa watu mimba hali ya kuwa huna mipango ya kumuoa.
Ahsante Kwa kutoa darsa labda wataelewa kuwa walichomezeshwa ni upuuzi wa kibinadamu na sio maagizo ya MUNGUAcheni kumuwekea Mungu maneno.Ndoa ni mambo ya binadamu sio Mungu.Mungu hawezi kuweka utaratibu ambao kila mtu anaweza kujifanyia kwa jinsi anavyotaka.Ndoa ungekua ni utaratibu wa Mungu kamwe kusingekua na hivi vituko vya ndoa vya sasa hivi.Mungu aliumba kuzaana na kufa.Na itabaki kua hivyo.Unatakiwa tu uelewe kua wewe na ng'ombe mna agizo sawa lililotoka kwa Mungu ndo maana halibadiliki.Mengine ni bwebwe zetu binadamu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ChiefSheria ingelenga kumuadhibu baba ningeielewa ila hapa inamwadhibu mtoto asie na kosa lolote , hajazini hakuomba kuzaliwa , hakujileta dunian ...
SawaWe ni sawa na kopo tupu, kichwani hamna kitu Sasa umeniquote ya nn kama nijiongelesha.
Ingalikua mtoto huyo ana mkono wake au ushirika wake kwenye kuzaliwa hii nadharia ingekua sahihi , yeye hajahusika na chochote hawez kuadhibiwa , unapo muadhibu mtu asie na kosa una tofaut gani na muuaji? Mwizi? Mzulumati? Tofaut yenu n nini?Chief
Tatizo lenu mnayaangalia mambo baada ya Athari kutokea lkn hamuangalii ni Kwa namna gani ya kuzuia uchafu kama huo usitokee...
Kama unahisi kwenye maandiko matakatifu Kuna mawazo yakibinadamu ndani yake basi hata hili la watoto wakando limechukuliwa kibinadamu maana naamini Mungu hakumuumba mtu na kumruhusu Aishi Ili aitwe majina ya laaana. Majina na Mambo mnayoyapigania mkiamini ni maagizo ya Mungu mjue waliongeza wanadamu wenye mwili wa nyama na sio mwenyezi Mungu muumba wa mbingu, nchi na vitu vyote vilivyomo.
Kwahiyo hapo tangopori ni biblia iliyoandika hayo au habari yenyewe maana habari hiyo ipo kwenye maandiko matakatifu. Lakini tusiende mbali tuungane kuwaheshimisha binadamu wenzetu ambao wamezaliwa kwenye familia zisizo za ndoa
[emoji16][emoji16][emoji16]we kafiri kaa kushoto huko mchabia kataratasi wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app