Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Usingeleta humu kama unataka upishwe ungepeleka msikitini ungepata maoni unayoyataka wewe sawa bwamdogo, pili hiyo dini imeletwa kwa watu wenye akili timamu kwa hiyo tumia akili yako vizuri usiwe kama kondoo.
Utupishe kwasababu unajiongelesha mwenyewe tu
 
Umetoa povu jingi hapo pasina hata moja la msingi kwanza aliekuambia nabii Ismail ni mtoto wa nje ya ndoa ni nani ? mbona mnakua madondocha wa fikra kiasi hicho we unapo sikia akitajwa Mtume wa Mungu Ibrahamu baba wa mataifa unafikiria kwa akili za kindodocha anaweza akafanya zinaa kumuasi Mungu wake hebu tulizeni akili zenu sio kila matongo pori mkitupiwa mnameza kama majuha.

Lapili elewa katika viumbe wote alioumba Allah na kuwapa makazi hapa Ardhini. Binaadam ndio kiumbe pekee aliowekewa sheria na mipaka katika kuinjoy sex nafouti na viumbe wengine. ili pawepo na mtiririko maalumu na mpango maalum katika utambulikano wa familia na uzao. ndio maana binaadamu atakapo ingiliana kimwili na dada yake au mama yake huwa hatiani hata kwa sheria za serikali za nchi. kwa nini viumbe wengine wanapo pandana na mama zao au dada zao wasiwe hatiani?
Binaadamu haiwezekani wapandane ovyo kama wanyama na kuziliana hovyo bila utaratibu.
Piga 📌📌 chief
 
Matango pori au husomi maandiko kasome kuanzia mwanzo 29:30 nakuendelea View attachment 2583552
Ndio maana nikwambia matango pori hivi wewe Vitalisi kwa akili yako kweli Mtume alietumwa na Mungu wa mbigu na Ardhi kuja kuwafudisha watu na kuwaelekeza njia sahihi ya kumjua muumba wao.
anaweza akafanyiwa upuuzi huo Halafu Mungu akaubariki akimwachia tu sasa utakua wapi ufalme wa Mungu? mbona mnarahisisha mambo kiasi hiko? na kuwakosea adabu Mitume wa Mwenyezi Mungu?
 
Kwahiyo hapo tangopori ni biblia iliyoandika hayo au habari yenyewe maana habari hiyo ipo kwenye maandiko matakatifu. Lakini tusiende mbali tuungane kuwaheshimisha binadamu wenzetu ambao wamezaliwa kwenye familia zisizo za ndoa
 
Kwahiyo hapo tangopori ni biblia iliyoandika hayo au habari yenyewe maana habari hiyo ipo kwenye maandiko matakatifu.

Chanzo chake mauudhui yake vyote haviingi akilini nawala haviwezikua maneno matakatifu kutoka kwa M/Mungu ni uzushi uliozuliwa na wazushi wakitumia kalamu zao na kupakwa rangi ya utakatifu.
 
Chanzo chake mauudhui yake vyote haviingi akilini nawala haviwezikua maneno matakatifu kutoka kwa M/Mungu ni uzushi uliozuliwa na wazushi wakitumia kalamu zao na kupakwa rangi ya utakatifu.
Kama unahisi kwenye maandiko matakatifu Kuna mawazo yakibinadamu ndani yake basi hata hili la watoto wakando limechukuliwa kibinadamu maana naamini Mungu hakumuumba mtu na kumruhusu Aishi Ili aitwe majina ya laaana. Majina na Mambo mnayoyapigania mkiamini ni maagizo ya Mungu mjue waliongeza wanadamu wenye mwili wa nyama na sio mwenyezi Mungu muumba wa mbingu, nchi na vitu vyote vilivyomo.
 
Hivi unajiongelesha mwenyewe au ?

Mungu kakataza zinaa au uzinifu,sasa cha ajabu ni nini kutomtambua Baba wa mtoto aliyepatikana Kwa tendo la haramu

Ieleweke mtoto sio haramu Ila njia ambayo alipatikana yeye ndio haramu

Je Mungu anapenda uchafu?
 
Sheria ingelenga kumuadhibu baba ningeielewa ila hapa inamwadhibu mtoto asie na kosa lolote , hajazini hakuomba kuzaliwa , hakujileta dunian , hakuomba hao wawe wazazi wake, kwann akose haki yake ya msingi kukaa na wazazi wake na, ndugu zake na kurithi mali ya baba yake

Lakn pia sheria hiyo hiyo inahalalisha dhambi kwamba mwanamke kuzini na kubaki na matokeo ya zinaa ni sawa ila mwanaume hapana

Hiyo bus sipandi , ni ubatili mtupu
 
Ahsante kwakuungana nami katika kupinga upuuzi unaoletwa na baadhi ya wanaoujiita wafia dini huku wakibagua binadamu wenzao kisa ndoa
 
Ngoja nikuelimishe kidogo kila unachokiona duniani kiko chini ya under control hata ww uko chini ya under control.

Mwenyezi mungu kaumba binadamu na kamuwekea na taratibu maalumu ni namna gani aendeshe maisha yake na sio ilimradi tu anaishi.

Mfano leo ww utatafuta pesa kwa nguvu zako utanunua gari lakini hiyo gari huwezi kuiendesha barabarani mpaka upitie utaratibu fulani licha ya kwamba hakuna aliye kusaidia kununua hilo gari.

Au ukitaka kufungua biashara utatakiwa ufuate utaratibu maalumu licha ya sio kufungua kiholela holela.

Hivyo hivyo kwa mungu alikuumba akasema nendeni mkaijaze dunia lakini kaweka utaratibu wa kuzaliana na sio kuzaliana kiholela holela.

Dawa ya kuhepusha haya sio kuukimbia ukweli bali ni sisi kuacha uzinzi wa kiholela, hakika ni ukatiri na ubinafisi mkubwa kwa mwanaume kumpa binti wa watu mimba hali ya kuwa huna mipango ya kumuoa.
Acheni kumuwekea Mungu maneno.Ndoa ni mambo ya binadamu sio Mungu.Mungu hawezi kuweka utaratibu ambao kila mtu anaweza kujifanyia kwa jinsi anavyotaka.Ndoa ungekua ni utaratibu wa Mungu kamwe kusingekua na hivi vituko vya ndoa vya sasa hivi.Mungu aliumba kuzaana na kufa.Na itabaki kua hivyo.Unatakiwa tu uelewe kua wewe na ng'ombe mna agizo sawa lililotoka kwa Mungu ndo maana halibadiliki.Mengine ni bwebwe zetu binadamu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante Kwa kutoa darsa labda wataelewa kuwa walichomezeshwa ni upuuzi wa kibinadamu na sio maagizo ya MUNGU
 
Sheria ingelenga kumuadhibu baba ningeielewa ila hapa inamwadhibu mtoto asie na kosa lolote , hajazini hakuomba kuzaliwa , hakujileta dunian ...
Chief

Tatizo lenu mnayaangalia mambo baada ya Athari kutokea lkn hamuangalii ni Kwa namna gani ya kuzuia uchafu kama huo usitokee.

Sheria imewekwa kuzuia huo upuuzi usiwepo sas watu kama nyinyi ndio mnatengeneza mazingira ya mambo hayo kuendelea kuwepo

Mnaona haki ya mtoto wa zinaa kunyimwa lakini hamuangalii watoto wenye haki halali kupotea,unapokuwa na watoto wa ndoa ndani na hapo hapo ukawa na watoto wa zinaa nje,unajua maana yake nini?

INA maana kile ambacho ulikuwa uwape watoto wako WA ndoa takatifu unapunguza baadhi ya haki zao na kwenda kulisha au kuwavisha watoto ambao wamepatikana katika njia ya haramu na mbaya mbele ya Allah, je hiyo sio dhuluma?

Msitafute huruma Kwa mambo ambayo yapo nje ya mpango wa Allah, njia sahihi ni kizazi ambacho kunapatikana katika ndoa halali na huo ndio utukufu WA mwanadamu,sasa kama tunazaa zaa ovyo je tunatofauti gani na wanyama?

Mwisho ifahamike kwamba huyo mtoto wa zinaa,anaweza kuishi na familia yako kwasababu Una haki ya kumlea coz wewe ndio sababu ya kuja kwake duniani,unaweza kumwandikia WOSIA WA Mali.

Lakini hawezi kukurithi kwakuwa huna nasabu naye,na huwezi kumrithi,na kama ni mtoto WA kike huwezi kumuoza kwasababu wewe sio Baba yake kisheria.

Narudia tena msitumie nguvu kubwa kutetea uovu Bali tumieni nguvu kubwa ili vizazi vyetu vije kuachana na Tabia za ovyo na chafu mbele ya Allah
 
Chief

Tatizo lenu mnayaangalia mambo baada ya Athari kutokea lkn hamuangalii ni Kwa namna gani ya kuzuia uchafu kama huo usitokee...
Ingalikua mtoto huyo ana mkono wake au ushirika wake kwenye kuzaliwa hii nadharia ingekua sahihi , yeye hajahusika na chochote hawez kuadhibiwa , unapo muadhibu mtu asie na kosa una tofaut gani na muuaji? Mwizi? Mzulumati? Tofaut yenu n nini?

Huyo mtoto anahusikaje na hiyo dhambi hadi aadhibiwe? Hakuna mtoto asie wa halali , hakuna mtoto mwenye haki kuliko mwingine , huwez sema huyo mtoto sio halali kisa hajazaliwa ndani ya ndoa , hiyo nadharia sio sahihi

lakini pia, kwenye maelezo yako unaonyesha ubinafsi ulio pindikia , kwamba wote ni watoto wa baba mmoja , ndugu yenu ambae kazaliwa nje ya ndoa akipewa mali anawadhulumu nyie?? Roho ya wapi hii? Na kama baba asipokua na mali na huyo ndugu yenu wa nje akaamua ibeba familia kwa kuwatunza na kuwapa mali mtachukua hamchukui?
 
Kama unahisi kwenye maandiko matakatifu Kuna mawazo yakibinadamu ndani yake basi hata hili la watoto wakando limechukuliwa kibinadamu maana naamini Mungu hakumuumba mtu na kumruhusu Aishi Ili aitwe majina ya laaana. Majina na Mambo mnayoyapigania mkiamini ni maagizo ya Mungu mjue waliongeza wanadamu wenye mwili wa nyama na sio mwenyezi Mungu muumba wa mbingu, nchi na vitu vyote vilivyomo.

Kwahiyo hapo tangopori ni biblia iliyoandika hayo au habari yenyewe maana habari hiyo ipo kwenye maandiko matakatifu. Lakini tusiende mbali tuungane kuwaheshimisha binadamu wenzetu ambao wamezaliwa kwenye familia zisizo za ndoa

Uislam haumbagui mtoto alie zaliwa nje ya ndoa nyiyi ndio meelewa vibaya huyu mtoto kwanza hana dhambi yeyote kwa kuzaliwa nje ya ndoa pili huyo mtoto mamalaka juu yake yote yako umamani/ujombani kwake ndio wajibikaji wa kila shida ya huyo kijana kisheria. wewe ulompa mimba bint sio baba wewe ni Mzinifu. kwa hiyo mmekutana wazinifu wa wili nyie ndio haramu yule mtoto ni halali.na kama utamuhudumia kwa chochote kile utakua unatoa sadaka tu kama utoavyo sadaka kwa watoto au watu wengine.
 
Back
Top Bottom