Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Hujalelewa mada,rudia kusoma tenaHili la kubagua watoto limeongeza ukatili katika jamii kwa asilimia nyingi mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujalelewa mada,rudia kusoma tenaHili la kubagua watoto limeongeza ukatili katika jamii kwa asilimia nyingi mno.
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.
Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.
Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.
Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.
Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.
Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.
Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.
Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.
Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.
Ni hayo Tu!
Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Iyo ni moja ya sababu lkn pia kuendeleza ukoo,malezi,tabia,diniKuzaa hovyo kunapoteza uwezo wa mzazi kutoa huduma, hii ndo sababu yenye maana ya katazo la usizae nje ya ndoa, nyingine zote ni ubatili.
Amezaliwa na ndoa au mama na baba? Na ninani anae staili kutoa ubini?.Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.
Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.
Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.
Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.
Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.
Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.
Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.
Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.
Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.
Ni hayo Tu!
Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Tatizo ninaliona Kwa baadhi yetu ni kwamba hatumuamini Mungu na tunaona hizi Dini zimetungwa na watu ambao wamejiamulia mambo Yao.Hii hoja ni kama uchafu wa jalalani..yaani mtoto wangu alafu watu waliokaa wakatunga sheria zao gandamizi na za ovyo niwasikilize..Yaani ukojoleee ndani halafu uje useme ni mtoto wa nje.
Mungu amesema endeni mkazaliane na sio kuoana.
Mimi binafsi ni mhanga wa hili Jambo lakini namlea mwanangu vizuri Sana,ingawa sikupenda kabisa mwanangu WA kiume asichukue Jina la ubini wangu lkn sina namna kwakuwa namuamini Allah huyo mtoto ataitwa Kwa jina la ubini WA mama yake.leo damu yako mzee usisingizie dini
Dini gani ?Pole Sana mkuu ndio Hali halisi kwa Sisi ambao tutafuata misingi ya Dini zetu
Mkuu nje ya sheria ya Mungu ni wako hapo naomba tuelewane Kwanzahakuna cha kweli zaidi ya ukweli ile ni DAMU yako hakuja cha kukwepa hapo
kama DNA zinasoma ni damu yako ni yako mzee et unaweza muhudumia na kumpa baadhi ya mali ila anakua sio mtoto wako blah blah blah sasa sio wako why umuhudumie [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukimuoa huyo mwanamke uliyezaa naye kabla ya ndoa ina maana ni ruksa mwanao kutumia jina la ubini wako?Mimi binafsi ni mhanga wa hili Jambo lakini namlea mwanangu vizuri Sana,ingawa sikupenda kabisa mwanangu WA kiume asichukue Jina la ubini wangu lkn sina namna kwakuwa namuamini Allah huyo mtoto ataitwa Kwa jina la ubini WA mama yake.
Kwangu Mimi neno la Mwenyezi Mungu lipo juu ya kila kitu.
Kwahiyo kama Baba natoa huduma zote stahiki.
Hapa Kwa mtazamo wako unaona kuna adhabu gani Kwa huyo mtoto mkuu.Kwann pia awe wa mama? Acha undezi,huyo mtoto anakosa gani? Hakuamua kujileta mwenyewe duniani bali ni hao wazazi wake so hastaili adhabu yoyote.Kama hizo dini zinatuelekeza hivyo basi haina maana ya kuwa na hiyo dini maana ni unyanyasaji
Sijui ulimaanisha nikimuoa baada ya kuzaa nae?Ukimuoa huyo mwanamke uliyezaa naye kabla ya ndoa ina maana ni ruksa mwanao kutumia jina la ubini wako?
Swala sio elimu swala ni ukweliHalafu huyu mtoa mada pia anaweza jihesabu naye ana elimu?
Mahitaji ya mtoto hayana uhusiano na uzinzi wetu. Nimeshazini nimezaa huyo mtoto ni halali yangu na atapata haki zote hata kama dini haitaki. Viongozi wa dini wanaruhusiwa kununa. Sitelekezi mtoto, ni vile haijanitokea tu nikazaa nje ya ndoa.Kumpa mimba binti unaye jua huna mpango wa kumuowa ni moja wapo ya upumbavu na uzwazwa hata kama utajifanya kumlea huyo mtoto maana pamoja na kutoa matunzo lakini bado atakosa haki nyingi sana kutoka kwako ambazo wana zipata wenzake ambao umewazaa ndani ya ndoa.
Njia pekee ya kuzuia hilo ni kuacha uzinzi na mtulie ndani na wake zenu mnaharibu mabinti za watu kwa kisingizio cha akipata mimba nitalea.
Unaweza kumlea hujakatazwa unaweza kuwa unatoa matunzo lakini hutokuwa na haki wala amri yeyote mbele ya huyo mtoto bali mwenye mamlaka na huyo mtoto ni mama yake tu.
Kwa hiyo bado ndoa kwa huyo uliyezaa naye haitoi suluhu ?...huko ni kumuadhibu mtoto.Sijui ulimaanisha nikimuoa baada ya kuzaa nae?
Kwa mfano huyu wangu natarajia kumuoa lakini kwakuwa mtoto alipatikana kabla ya ndoa Jina la ubini litakuwa la mama yake hakuna kitacho badilika
Nje ya ndoa hakuzuii mtoto kufundishwa na kukua akiwa na maadili iwapo Baba yake atamkubali mtoto na kupigana kufa kuhakisha anapata haki ya malezi.Iyo ni moja ya sababu lkn pia kuendeleza ukoo,malezi,tabia,dini
Ivi unajisikiaje wewe ungekua unaambuwa umezaliwa nje ya ndoa?
Unadhani panya road wanatokea wapi wale?
Mkuu hayo ni mambo ya sheria za jamhuriKwa mujibu wa Sheria ya mtoto ya 2009,moja kati ya haki za mtoto ni jina la ubini.Kwa Sheria za Tanzania hakuna mtoto haramu,kwa hiyo mtoto wa nje ya ndoa anastahiki sawa na mtoto wa ndani ya ndoa.
Mtoto haadhibiwi hata kidogo Ila ndio Hali halisi ilivyoKwa hiyo bado ndoa kwa huyo uliyezaa naye haitoi suluhu ?...huko ni kumuadhibu mtoto.
Ndo maana wengine wanakuwa wapagani. mungu gani katili hivi anaadhibu watoto ambao hawakuomba wazaliwe na wazinzi?Mtoto haadhibiwi hata kidogo Ila ndio Hali halisi ilivyo
Kwenye hukumu za Mungu hakuna longo longo