Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

Kama wazazi wapo, hii kesi ni ndogo sana; inamalizwa kifamilia
 
Nimesoma kwa makini nimebaini kuwa hii ndoa yako ilikuwa na shida in some points ni vile tu vitu vingi umeficha kwa faida yako binafsi.. unayokutana nayo sasa ni matokeo ya hayo matatizo uliyokuwa unapambana nayo kwenye ndoa yenu hapo awali.. tafuta njia muafaka ya kumaliza tatizo hilo la familia, Mungu akusaidie.
 
Njoo in box I can Assist.
 
Jamani hivi inakiwaje MTU anaonewa na binadamu mwenzako kiasi hiki na wewe unakiwa tu kama mjinga fulani upo tu.

Hapo hamna haja ya mahakama wala Mwanasheria,orodhesha mali za mkeo ambazo ulimkuta nazo zifanyie valuation thamani. baada ya hapo itisha kikao wawake wazi uwaeleze kuwa Mali za marehemu mkeo ambazo ulimkuta nazo ni za watoto.

Na kwa sababu wewe Baba na Mume bado upo ndio msimamizi wa mali hizo full stop.Atakayepinga akafungue mashitaka mahakamani.Mali ambazo mlichuma wote hizo ni zako-acha kuwa bwege.
**pole sana kwa kufiwa na mwenza.
 
Hata mali alizochuma Dada yao haziwahusu maana marehemu ameacha watoto,zingewahusu kama marehemu hana watoto.
 
Ngoja nikomenti kabla sijasoma uzi
Mfungulie kesi ya uchochezi au uhujumu uchumi!
 
Chapa makofi huyo shemeji mtu wape wapangaji notisi vunja kufuli weka wapangaji wapya.
Kanuni yangu Mali yangu ni ya watoto wangu na mke wangu,Mali ya mke wangu ni ya kwangu na watoto wangu.acha kuwa lazy lazy wewe changamka,ukitaka ubaya chezea mali yangu au familia yangu
 
Watu wengi wamechangia kwa hisia siyo kisheria. Shemeji anaweza kuwa kuwa msimamizi.
Wewe upo sahihi. Msimamizi wa mirathi lazima akaape mahakamani na lazima muhutasari wa kikao cha wana familia ndugu wa mfiwa uwasilishwe mahakamani.
Kama hajaenda mahakamani basi huyo ni batili kisheria kufanya kazi za usimamizi kabla hajarasimishwa.
 
Kosa la kwanza wanakaaje kikao wagawane majukumu ya kuangalia mali wakat wewe ndio muhusika mkuu?
Inawezekana wanahis wewe umedandia mali za dada yao
 
Msimamizi wa mirathi lazima ateuliwe na wanafamilia/ukoo ambao wewe ndiye mhusika mkuu, huyo shemeji yako aliteuliwa na nani?. Yawezekana kwenye hizo mali kuna mchango wake huyo shemeji yako na walikuwa hawakushirikishi ila wewe unajua ni mali ya mke wako.
 
Kwanza ulionaga wapi MKE anafariki kinakaa kikao Cha mirathi?

Nnachojua mke akishafariki automatically Mali zote zinabaki chini ya mume, na ndo anacontroll kila kitu. Na hakuna mahojiano.
Mkuu naona wachangiaji wengi wanaikwepa sana hio point,,, Kikao cha mirathi.!?? Halafu Ukweni.!?? Ili iweje.!?? Ndugu wa Mume nao walikuwa wapi.!??? Tatizo liko hapa na wala sio hio mirathi au aliyechaguliwa.

Sawa mfiwa ulikuwa na wakati Mgumu,,,, Je,Ndugu wa Mume walikuwa wapi.!? Walishiriki kikao?? Nini sababu ya kikao kufanyika Ukweni.!??

Mleta uzi Pole sana kwa Kufiwa na Mkeo.. Kilichofanya ufike hapo ndio kitafanya ushindwe hata huko Mahakamani... Rekebisha Mentality yako.. Unaonekana Mtoto wa mama sana,,, Kuwa Mwanaume kwanza ndio ulishughulikie hilo...

Be a man,,, Stay taliban...
 
Jamaa katuangusha Sana
 
Probably mtoa mada alkua analelewa au alishalishwa limbwata (mume wa mchongo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…