Mtoa mada anatuficha,Kosa la kwanza wanakaaje kikao wagawane majukumu ya kuangalia mali wakat wewe ndio muhusika mkuu?
Inawezekana wanahis wewe umedandia mali za dada yao
Huu ni ujingaNenda usiku na dumu la lita 20 ya petrol usisahau na kiberiti, tia moto halafu sepa zako mkose wote hapo kesi kwishaaaaa.
Si dodoma mkuuWapi? Dodoma? Pole sana Ndugu Yangu, kama sio Wewe basi Kuna story kama hii inafanana Kwa 98%
Nipo arusha mkuu.Uko Dodoma?
Kikao cha familia au ukoo huwa kinakaa,kisha kinampendekeza msimamizi wa mirathi,then aliyependekezwa anapaswa aende mahakamani kuidhinishwa,na huko mahakamani anatakiwa aende na muhtasari wa hicho kikao cha ukoo,death certificate,na hati nyinginezo,halafu mimi sikuwa "marioo" ndugu,ndiyo maana maisha ya familia yangu yanasonga hata baada ya kufiwa,hata sasa naona kama huyu jamaa anaona kama hizo Mali sina haja nazo,kikao huwa kinakaa mkuuYaah labda alikuwa mariooo...
Sina document ya nyumba,document ya nyumba ambayo bado ipo kwenye hatua za ujenzi?Una document za umiliki wa hiyo nyumba?
Mkuu Equation x wazazi wa mke wangu walishafariki mke wangu akiwa mdogo sana,akalelewa na shemeji yake.Itisha kikao cha familia, na mwenyekiti wa mtaa awepo, muweke maazimio; mali za biashara za marehemu, ziwanufaishe watoto pamoja na wazazi wa marehemu, na si vinginevyo.
Kwa mali za mkeo ambazo si za kibiashara, uza na mgawane na wazazi wa marehemu.
Baada ya hapo nenda kaanzishe familia yako mpya inayokuja
Mara nyingi huwa nipo mbali na nyumbani kikazi,ila kwa miezi hii nipo,na hadi kuniona natafuta ushauri huku ni kwa sababu nipo tayari kulishughulikia hili,mrejesho nitaleta,spending mtu mwingine apite njia ninayopitia,asante mkuu.@capt, usisahau kutuletea mrejesho,na hili zoezi lianze haraka iwezekanavyo sisi waswahili wasije wakakuendea kwa Babu mukulu ukapoteza kila kitu hizo ni Mali za wanao bwana kutoka kwa mama yao
Hawapo mkuu,walisha farikiWazazi wa mke wapo?
Mkuu Mcanada ndoa yangu haikuwahi kuwa na shida hata chembe, na hakuna nilichoficha,ila tu ni vile ndugu wa mke wangu walishapaona pale kwangu ni kama kwao,ukizingatia kuwa mimi muda mwingi nakuwa mbali na nyumbani.Nimesoma kwa makini nimebaini kuwa hii ndoa yako ilikuwa na shida in some points ni vile tu vitu vingi umeficha kwa faida yako binafsi.. unayokutana nayo sasa ni matokeo ya hayo matatizo uliyokuwa unapambana nayo kwenye ndoa yenu hapo awali.. tafuta njia muafaka ya kumaliza tatizo hilo la familia, Mungu akusaidie.
Umefunga inbox mkuuNjoo in box I can Assist.
Asante mkuu.Mkuu Capt Tamar pole sana kwa yanayokusibu. Nakuombea upate usuluhisho na amani.
Wewe upo sahihi zaidi,alichonacho huyu shemeji ni huo muhtasari wa kikao cha familia tu,alipaswa awe pia na death certificate ambayo sidhani kama anayo,maana ninayo mimi,mahakamani sidhani kama alienda.Watu wengi wamechangia kwa hisia siyo kisheria. Shemeji anaweza kuwa kuwa msimamizi.
Wewe upo sahihi. Msimamizi wa mirathi lazima akaape mahakamani na lazima muhutasari wa kikao cha wana familia ndugu wa mfiwa uwasilishwe mahakamani.
Kama hajaenda mahakamani basi huyo ni batili kisheria kufanya kazi za usimamizi kabla hajarasimishwa.
Mke alikuwa mchagga?Nipo arusha mkuu.