FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mhh? How possible is this?Inawezekana usile mkuu
Uliwai kunyimwa au uliona m2 akinyimwaVyote ni sawa, unaweza ukapanga foleni mkate ukaisha au kwa sababu nyingine yoyote ile wakakunyima, hapo unakuwa umekula kwa imani.
KUNYIMWA NI SEHEMU YA UWEZEKANO WHETHER OR NOT NIMEONA MTU AMA LAUliwai kunyimwa au uliona m2 akinyimwa
Kama UNAONEKANA haustair, 2seme unavikwazo flan na haukujibodiisha kuhiacha unaweza unazuiwa kupokea ekarist.KUNYIMWA NI SEHEMU YA UWEZEKANO WHETHER OR NOT NIMEONA MTU AMA LA
KUNYIMWA NI SEHEMU YA UWEZEKANO WHETHER OR NOT NIMEONA MTU AMA LA
Padre ama mhudumu wa Ekaristi anapaswa kuhakikisha kila mmoja anapokea mkate (hata kama itakuwa punje) au divai ama vyote.Vyote ni sawa, unaweza ukapanga foleni mkate ukaisha au kwa sababu nyingine yoyote ile wakakunyima, hapo unakuwa umekula kwa imani.
Nini kinatofautisha hii na ‘Symbolism’ za waganga wa jadi? Mfano, why akuambie ulete kuku mwekundu au mweupe au mweusi? Why? Asipokuwa wa rangi hizo inakuwaje? Au why mtu ale kipande cha ngano na sio kipande cha sembe? Why?Hatuli kipande cha ngano, tunapokea mwili na damu ya Yesu Kristu katika umbo (substance) ya mkate na au divai. Japokuwa matunda yake ni ya kiroho; sharti ipokelewe katika umbo (substance) ya ama mkate ama divai ama vyote.
Anaeoka hivyo vipande vya ngano, akiwa ni mzinzi kwa mfano, inaathiri utendaji kazi wa hiyo dawa?Padre ama mhudumu wa Ekaristi anapaswa kuhakikisha kila mmoja anapokea mkate (hata kama itakuwa punje) au divai ama vyote.
Ndiyo maana kuna muda humpasa kuivunjavunja ama kutoa divai. Tunapaswa kumpokea Kristu katika substance.
Sakramenti ni alama za wazi na zinazoonekana...
Naona wewe kidooogo unaelewa ninachojaribu ku-inquireLogically inatakiwa hata usipokula uwe umepokea...
Otherwise inakuwa ni kama masharti ya kiganga...na ile dhana ya kuabudu vitu itapata nafasi hapo...
Ngoja wataalamu waje.....
Anaeoka hivyo vipande vya ngano, akiwa ni mzinzi kwa mfano, inaathiri utendaji kazi wa hiyo dawa?
Maana kwa upande wa waganga wa jadi, unaambiwa ukioga hii dawa usivae viatu au vitu kama hivyo.., je .., kuna masharti katika upikaji wa hiyo dawa ya mkate?
Haiwezekani mkuu.Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?