Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

Inawezekana. In fact,it is the ONLY way to do it Hizo Ekaristi zinaleta magonjwa ya kuambukiza. Wakatoliki hawawezi kuendelea wanavyofanya Sasa. Something has to change.
Ekaristi Takatifu ni kipande cha ngano. Nadhani wewe unataka kuuliza,He kwenda Kanisani bila kupokea Komunyo ni kupoteza muda?
Hapana, sijalenga kuuliza hilo, nimeuliza kile nilichouliza tu
 
Ekaristi ziko Saba,na walla sicho unavyofahamu wewe pekee
Tofautisha kati ya ‘Eucharist’ na ‘Sacrament’. Sakramenti ndio zipo saba, na Ekaristi ni moja ya Sakramenti hizo.

Haya turudi kwenye mada...
 
Kuna watu wana majibu ya staha mno, sio ya hasira wala dhihaka hata pale walipodhihakiwa.

Kwa uchache wenu mnaifanya jf kua kitovu cha maarifa.

Kongole kwenu.
 
Kama sadaka zinapokelewa online, kwanini ekaristo zisipokelewe online pia?
 
Back
Top Bottom