Ukiwaambia kwamba alimuoa Miriam pindi alipofikisha miaka 18 akaishi na Miriam kwa miaka 7 na huyo Mwanamke akafariki hawawezi kukuelewa hawaVipi kuhusu ya adult Messiah, kipindi yuko wa moto kabisa, 18+ years, movie yake mnaiachia lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwaambia kwamba alimuoa Miriam pindi alipofikisha miaka 18 akaishi na Miriam kwa miaka 7 na huyo Mwanamke akafariki hawawezi kukuelewa hawaVipi kuhusu ya adult Messiah, kipindi yuko wa moto kabisa, 18+ years, movie yake mnaiachia lini?
Hahahah, eti crisps ..., hahah, daahUle ni mkate au crisp[emoji3061]
Assume vyoote hivyo jibu ni hapana. Wewe changia regardless.Wewe ni mkristo? Kama jibu ni ndiyo, je unaenda kanisani? Kama jibu ni ndiyo, kwa nini unaenda physically na usiende spirituality? Kwa nini watu wasiabudu spiritituality tu wakiwa nyumbani?
Miaka 18 kuendelea, mnaiachia lini hiyo movie?Hiyo alikuwa na umri gani?
Bado kibano kipo pale pale. Kwa nini watu hawaendi kwenye nyumba za ibada ki-spiritituality?Assume vyoote hivyo jibu ni hapana. Wewe changia regardless.
Hata mimi najiuliza hilo swali kama hilo, ila langu limelenga kula ngano specifically.., maana unaweza ukahisi hiyo ni kama symbolism ya kusanyiko la wachawi kwenye mbuyu. Ila hilo lako anzishia uzi pia ili twende sawaBado kibano kipo pale pale. Kwa nini watu hawaendi kwenye nyumba za ibada ki-spiritituality?
Relax mkuu,, punguza mihemko tuelewane taratibu...Logic ya wapi? Ya kutunga wewe? Kama ni hivyo basi binadamu kwenye kuabudu tusingepaswa kufanya matendo yoyote kwa miili yetu. Tungepaswa kufanya mambo kwa kutumia imani na fikra basi!
Mbona unavamia gari kwa mbele? Unajua mimi ni mfuasi wa dini gani? Au kujibu ndiyo umeshadhani natetea dini yangu?Relax mkuu,, punguza mihemko tuelewane taratibu...
Logic maana yake ni a proper or reasonable way of thinking about something
Wewe unapokula hiko kipande cha mkate na Mvinyo unatumia imani au fikra..????
Mbona unavamia gari kwa mbele? Unajua mimi ni mfuasi wa dini gani? Au kujibu ndiyo umeshadhani natetea dini yangu?
N maamuz tu. Koz mkate upo easily accessible kama ungekua haupatikan tungetafuta alternative yake.Nini kinatofautisha hii na ‘Symbolism’ za waganga wa jadi? Mfano, why akuambie ulete kuku mwekundu au mweupe au mweusi? Why? Asipokuwa wa rangi hizo inakuwaje? Au why mtu ale kipande cha ngano na sio kipande cha sembe? Why?
Wewe uliyejielimisha ndio useme sasa, kwanini miaka 13 - 30’hakuna tunachoambiwa juu yake, alimuoa nani?Kajielimishe kuhusu maana ya bibilia ndio urudi hapa.
Kajielimishe kuhusu historia ya biblia na vitabu vyake ndio urudi hapa.
Jamaa yako Magufuli yeye ndio alikuwa anapiga magoti kabisaa anabusu hadi sanamu la msalaba.Naomba kukupinga hapo unaposema maisha ya yesu between 18yrs na 30yrs hayana maana yeyote. Kwamba katika kipindi hicho maisha yake hayakuwa na cha kuigwa kama mfano kwetu?
Inamaana unataka kusema matendo yake katika umri huo si ya kupigiwa mfano kabisa, na hatupaswi kumkumbuka? Ila tuendelee tu kulishwa ngano na pombe kali kwa kisingizio cha kumkumbuka?
Alifunga ndoa lini na alifunga na nani? Tusije tukawa tunakula nyama na kunywa damu ya mzinzi bila kufahamu..? Maana umri huo wa 18-30 majaribu ni mengi sana
Halafu hili suala la kula nyama za watu / mtu na kunywa damu za watu, mbona limekaa kichawi chawi sanaaa.., ushirikina mwingi mno kwenye mambo ya kula nyama za watu.., kwanini mnafanya shirki kwa kisingizio cha kukumbukana?!
Kuna mtu kabisha kwani?Jamaa yako Magufuli yeye ndio alikuwa anapiga magoti kabisaa anabusu hadi sanamu la msalaba.
Mmmh . Alikuwa kabla hajafa buana. Rekebisha kidogo hapo.Baada ya Yesu kufufuka, alikutana na wanafunzi wake mara nyingi. Na katika kukutana kwao aliumega mkate, baada ya kupaa wanafunzi walikua na desturi ya kukutana mara kwa mara na kila wakikutana walifanya maadhimisho ya ekarist takatifu kwa kuumega mkate.
Physical action ni kuumega nabkuula
Spiritual action or sense or aim n ye maneno
Huu ni mwl wangu uliotolewa kwa ability yenu. Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mm.
Unastairi ya kuila ekarist kama unavyovigezo.
Kabla ya kuandaa lazima aombe na kujitakasa.. asemehewe makosa yake.Anaeoka hivyo vipande vya ngano, akiwa ni mzinzi kwa mfano, inaathiri utendaji kazi wa hiyo dawa?
Maana kwa upande wa waganga wa jadi, unaambiwa ukioga hii dawa usivae viatu au vitu kama hivyo.., je .., kuna masharti katika upikaji wa hiyo dawa ya mkate?
Sasa huoni hizi ni symbolism kama za waganga wa Kienyeji?Kabla ya kuandaa lazima aombe na kujitakasa.. asemehewe makosa yake.
Hata hivyo, uzinzi wake hauondoi mantiki ya kwamba watu wanafanya hivyo kwa kumkumbuka YESU KRISTO.
Inawezekana. In fact,it is the ONLY way to do it Hizo Ekaristi zinaleta magonjwa ya kuambukiza. Wakatoliki hawawezi kuendelea wanavyofanya Sasa. Something has to change.Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?