Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

Conveniently, kipindi cha hadi miaka 12 maisha ya Yesu kimeandikwa kwenye biblia, alipoingia balehe tu, kuanzia miaka 13, hakuna chochote juu yake , how convinient?! Baada ya miaka 30 hatuambiwa ana wake wangapi wala watotot wangapi, na kuanzia miaka 13 hadi 30 hakuna chochote kinachofahamika juu ya maisha yake, how convinient? Tutajuaje kama tunakula nyama ya mzinzi? Maana miaka 13 hadi 30 vishawishi ni vingi mno, alifunga ndoa lini , wapi na nani? Na aliacha watoto wangapi? Msijisahaulishe, maana alitahiriwa kabisa. Na hadi leo hatujui ni kwanini mungu alitahiriwa, total confusion, why mnatuchanganya hivi?! Why?!
Ni una mambo mengi hata hueleweki unachokitaka na kukielewa,

Ivi kweli Wewe mwenyewe umeelewa ulichokiandika hapa ?

Maana naona umeacha mada yako ya msingi na kuandika kwa fujo fujo zisizo na maana.

Punguza fujo za kuhama hama, Chukua kimoja kimoja tujadili hapa.
 
Jibu moja moja, si nimeandika kiswahili? Yote yanamhusu huyo mnaekula nyama yake na kunywa damu yake. Sasa yajibu. Tambua, Ningeenda moja kwa moja kama unavyotaka uzi ungefutwa.
 
Kwahiyo ndio unataka tukutafutie au unachotaka ni nini hasa ?
Tumjue huyo ambae nyama yake inaliwa na damu yake kunywewa. Wewe unataka kula nyama ya mtu ambae hata hujui kama alikuwa mzinzi wa kiwango gani au alikuwa na ndoa ya namna gani? Huoni unaweza ukapata nuksi kwa kula nyama ya namna hiyo?! Unabugia tu minyama ya mtu hovyo hovyo?!

Kama kuna anaejua kwanini conviniently hawajaweka maisha ya kipindi hicho atufahamishe lengo lilikuwa nini?
 
Tumjue huyo ambae nyama yake inaliwa na damu yake kunywewa. Wewe unataka kula nyama ya mtu ambae hata hujui kama alikuwa mzinzi wa kiwango gani au alikuwa na ndoa ya namna gani? Huoni unaweza ukapata nuksi kwa kula nyama ya namna hiyo?! Unabugia tu minyama ya mtu hovyo hovyo?!
Unachotafuta hapa wewe, hata sio kuelewa.

Tangu huko juu ni Umeshikilia sana alikuwa ni mzinzi, na inshu za ajabu ajabu tu, mara alikuwa na tamaa za ngono, sasa unachotaka mimi nikusaidieje mzee. Ni inawezekana alitembea na mkeo labda polee siwezi jua.
 
Hahah, we kunywa maji kwanza. Tuambiwe, Yesu katika kipindi cha miaka 13 hadi 30 alikuwa anafanya nini? Alimuoa nani? Na alizaa watoto wangapi? Au alikuwa ni mzinzi tu kama mimi? Na if so , ni halali kula nyama ya mtu wa hivyo?
 
Nyie mlioandika biblia ndio mtuambie, unaniuliza mimi?! Serioulsy..

Lakini huu ustaarabu wa kula nyama ya mungu na kunywa damu ya mungu nyie inawaingia vipi akilini? Kumbuka, Yesu ni mungu...
You so said tunachagua baadhi ya mambo with extreme bias... Tueleze mambo yapi hayo tuliyoyabagua. Hiyo ni moja.

Pili; Yesu ni Mungu, hilo halina mabishano. Hatuli nyama ila mwili na damu yake. Tunapokula mwili wake tunakumbuka upendo wake usiomithilika hata akautoa mwili wake uteswe ili sisi tuokolewe.

Tunapokunywa damu yake tunakumbushwa thamani yetu ya wokovu. Hivyo, tunapokula mwili wake na kunywa damu yake tunakumbuka matukio mawili muhimu katika wokovu wetu - kifo na ufufuko wake - kama alivyotuagiza tumkumbuke mpaka atakaporudi.

Kupitia kupokea mwili na damu yake, tunapata uzima wa milele na tunaendelea kukumbushwa jinsi alivyotupenda na akajitoa kwetu mzimamzima, bila kujibakisha. Kuna upendo mkubwa zaidi ya huo?
 
You so said tunachagua baadhi ya mambo with extreme bias... Tueleze mambo yapi hayo tuliyoyabagua. Hiyo ni moja.

Pili; Yesu ni Mungu, hilo halina mabishano. Sisi hatuli nyama ila mwili na damu yake. Tunapokula mwili wake tunakumbuka upendowake usiomithilika hata akautoa mwili wake uteswe ili sisi tuokolewe.

Tunapokunywa damu yake tunakumbushwa thamani yetu ya wokovu. Hivyo, tunapokula mwili wake na kunywa damu yake tunakumbuka matukio mawili muhimu katika wokovu wetu - kifo na ufufuko wake - kama alivyotuagiza tumkumbuke mpaka atakaporudi.

Kupitia kupitia kupokea mwili na damu yake, tunapata uzima wa milele na tunaendelea kukumbushwa jinsi alivyotupenda na akajitoa kwetu mzimamzima, bila kujibakisha. Kuna upendo mkubwa zaidi ya huo?
1.) Kama hamchagui, tuambiwe, katika kipindi cha kuanza kubalehe (13) hadi alipofika miaka 30, alikuwa anafanya nini? Haijatajwa popote pale. Je alimuoa nani? Na alizaa watoto wangapi? Au alikuwa mzinzi tu? Na je ni halali kula nyama ya mzinzi?

2.) Unaposema ni ‘mwili’ na sio ‘nyama’, je, mwili wake umejengwa kwa matofali?
 
Conveniently, kipindi cha hadi miaka 12 maisha ya Yesu kimeandikwa kwenye biblia, alipoingia balehe tu, kuanzia miaka 13, hakuna chochote juu yake , how convinient?! Baada ya miaka 30 hatuambiwa ana wake wangapi wala watotot wangapi, na kuanzia miaka 13 hadi 30 hakuna chochote kinachofahamika juu ya maisha yake, how convinient? Tutajuaje kama tunakula nyama ya mzinzi? Maana miaka 13 hadi 30 vishawishi ni vingi mno, alifunga ndoa lini , wapi na nani? Na aliacha watoto wangapi? Msijisahaulishe, maana alitahiriwa kabisa. Na hadi leo hatujui ni kwanini mungu alitahiriwa, total confusion, why mnatuchanganya hivi?! Why?!
Si kweli, Biblia haijaandika kila kitu kuanzia kuzaliwa kwake hadi akiwa na miaka kumi na mitatu; ni baadhi ya vitu tu ndio vimeandikwa.

Yesu ana sifa kuu mbili - mwanadamu kweli na Mungu kweli. Kwahiyo japo alikuwa mwanadamu ila alikuwa mkamilifu (Mungu) na ndio maana hakutenda dhambi.

Yesu hakuwa na mke wala watoto, hakuzini pia. Pamoja na kushawishiwa, hakukuwa na wakati wowote alioanguka dhambini. Na sababu ni ya kawaida tu - Mungu ni mkamilifu, Yesu ni Mungu hivyo Yesu ni mkamilifu.

Sababu ya Yesu kutahiriwa inajulikana. Yesu alikuwa mwanaukoo wa Daudi, aliyekuwa mzao wa Ibrahim. Ibrahim alishaingia Agano na Mungu na akaamriwa watoto wote wa kiume watahiriwe siku ya nane tangu kuzaliwa kwao (Mwanzo 17:12).

Hakuna confusion yoyote, ila ignorance.
 
Sasa katika kipindi cha baada ya balehe, ni kwanini hakuna chochote kile juu yake hadi miaka 30? Alikuwa anacheza rede na watoto wa kike au alikuwa anafanya nini? Nini sababu ya kuomitt such a criticla stage in life?
 
1.) Kama hamchagui, tuambiwe, katika kipindi cha kuanza kubalehe (13) hadi alipofika miaka 30, alikuwa anafanya nini? Haijatajwa popote pale. Je alimuoa nani? Na alizaa watoto wangapi? Au alikuwa mzinzi tu? Na je ni halali kula nyama ya mzinzi?
Alikuwa anakua kimo, akili na nguvu. Alikuwa anajiandaa kwa ajili ya kazi yake iliyomleta duniani.

Bwana Yesu hakuwahi kuoa wala kuzaa watoto. Siyo uzinzi tu, Bwana hakutenda dhambi iwayo yote.

Aliendelea na Utakatifu wake. Mungu hajawahi kukoma kuwa mwema (kutenda dhambi) hata kwa nukta moja.

2.) Unaposema ni ‘mwili’ na sio ‘nyama’, je, mwili wake umejengwa kwa matofali?
Nyama (meat) ni sehemu ya mwili (flesh). Sisi tunapokea mwili siyo nyama... Note the difference.

Kwani kila mtu hubalehe akiwa na miaka 13?
 
Sasa katika kipindi cha baada ya balehe, ni kwanini hakuna chochote kile juu yake hadi miaka 30? Alikuwa anacheza rede na watoto wa kike au alikuwa anafanya nini? Nini sababu ya kuomitt such a criticla stage in life?
Lengo la kuandika habari za utotoni ni kutupatia uelewa wa namna alivyozaliwa na kukua kama wanadamu wengine.

Lengo la Wainjili ilikuwa kututelezea kazi alizozifanya tangu Ubatizo wake, na ndio maana zimeelezwa kinagaubaga.

Hata hivyo Mapokeo Matakatifu yana hazina ya mambo mengi ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia.
 
Alikuwa anakua kimo, akili na nguvu. Alikuwa anajiandaa kwa ajili ya kazi yake iliyomleta duniani.

Bwana Yesu hakuwahi kuoa wala kuzaa watoto. Siyo uzinzi tu, Bwana hakutenda dhambi iwayo yote.

Aliendelea na Utakatifu wake. Mungu hajawahi kukoma kuwa mwema (kutenda dhambi) hata kwa nukta moja.

Nyama (meat) ni sehemu ya mwili (flesh). Sisi tunapokea mwili siyo nyama... Note the difference.

Kwani kila mtu hubalehe akiwa na miaka 13?
Alikuwa anakua huku amelala kitandani kuanzia miaka 13 hadi 30? Au alikuwa amekaa kwenye sofa kwa miaka 17 akisoma gazeti? Au aliendelea na maisha kama kawaida? Alifanya nini katika kipindi hicho cha miaka 17 ya maisha yake, kwanini imekuwa omitted hiyo section? Lengo lenu ni lipi? Wakati wenzake wanatongoza yeye alikuwa amejifungia kwenye shimo lipi? Au alikuwa kwenye handaki? Akifanya nini? Kwanini haijaandikwa?

Nyama ni sehemu ya mwili ndio, na ndio 90% ya mwili, so ukila mwili umekula nyama na damu, among others.
 
Nyama ni sehemu ya mwili ndio, na ndio 90% ya mwili, si ukila mwili umekula nyama na damu, among others.
Kwani mkuu, ni mambo gani yameandikwa tangu azaliwe hadi alipofikisha hiyo miaka 13? Utuwekee na kifungu kinachotaja hiyo miaka 13.
 
kipindi cha hadi miaka 12 maisha ya Yesu kimeandikwa kwenye biblia,
Kuna vitabu kadhaa vya mapokeo vimejaribu kueleza maisha ya utoto wa Yesu lakini havipo kwenye biblia.

Wewe hiko ulichokiona kwenye biblia ni kitabu gani ? Tuambie ni kitabu gani icho ?
alipoingia balehe tu, kuanzia miaka 13, hakuna chochote juu yake ,
Unaweza kuthibitisha Yesu aliingia balehe akiwa na miaka 13 ?. Afu nani kakwambia kila anayeingia balehe lazima afanye ngono ? na kujihusisha na mapenzi ? Nachokiona hapa Unauliza maswali kwa kutumia context ya mazingira ya kileo, na sio ya enzi ya maisha ya Yesu, unajua taratibu za kimalezi za maisha na maadili ya watoto na familia za wakati Yesu plus tamaduni zao kuanzia uzaliwaji mpaka utuu uzima ?.

Umekomaa tu na mambo ya uzinzi, ngono na balehe. Inawezekana hujui kujenga hoja unazunguka mbuyu tuu, unachotaka kieleweke hapa ninakiona.

we fanya ivi hoji kwanini kipindi cha miaka 13 mpaka 30 ya yesu hakijulikani alifanya nini na kuishi maisha ya aina gani hakuna anayejua. kwanini biblia imekaa kimya haisemi chochote kati ya 13 mpaka 30yrs ya Yesu. Acha blabla za izinzi na ngono jenga hoja namba hiyo utaeleweka.
 
Alikuwa anakua huku amelala kitandani kuanzia miaka 13 hadi 30? Au alikuwa amekaa kwenye sofa kwa miaka 17 akisoma gazeti? Au aliendelea na maisha kama kawaida? Alifanya nini katika kipindi hicho cha miaka 17 ya maisha yake, kwanini imekuwa omitted hiyo section? Lengo lenu ni lipi? Wakati wenzake wanatongoza yeye alikuwa amejifungia kwenye shimo lipi? Au alikuwa kwenye handaki? Akifanya nini? Kwanini haijaandikwa?

Nyama ni sehemu ya mwili ndio, na ndio 90% ya mwili, so ukila mwili umekula nyama na damu, among others.
Comment yangu nilikujibu vizuri Tu lakini ukaamua kuipuuza, nahisi kuna majibu na nia zako binafsi unazoziamini

Ni biblia hiyo hiyo imeandika yesu alipofikishs umri wa miaka 12 alipotea hekaluni Ila Yusuph na Maria walimpata baadal akitoa hekima na maarifa kwa watu ambao walimshangaa kwa umri wake na kauli kubwa aliyoitoa ni kuwa "alikuwa kwenye nyumba ya baba yake".. Kwa hiyo usidhani Yesu alianza kuwa Yesu baada ya ubatizo maana ingekuws hivyo bhasi tungeoneshwa kama historia nyingine kwenye bible

Kingine Yesu alikuwa ni fundi seremala kama alivyokuwa baba yake Yusuph. Kingine pia usijisahaulishe Yesu alikuwa ni nafsi ya Mungu katika mwili wa binadamu. Kwa hiyo hakuwa kama Mimi na wewe kwa asilimia sote

Kingine biblia ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo vilichambuliwa na kuwekwa pamoja ili kutoa dira ya kiimani kwa watumishi wake

Lakini haimaaanishi kuwa hakukuwa na vitabu au mapokeo ya kihistoria yaliyoachwa. Najua fika kama umeegemea katika biblia huwezi kuijua historia ya bikira mariamu mama wa Yesu Ila ipo, kuanzia utoto wake hadi kufikia point ya kumzaa Yesu katika mapokeo ya kihistoria ndio itakuwa historia ya Yesu kristu isijumuishwe

Halafu kama wewe ni mkristu utajus ya kuwa Mungu haangalii past yako katika jicho la kibinaadanu ndio maans Yesu alisema, hata dhambi zako ziwapo nyekundu kama damu Mimi nitazifamya kuwa nyeupe kuwa kama theluji

Kwa hiyo toba ipo kwa ajili hiyo kwa hiyo usiwe bitter na past za watu kinachoangaliwa ni usafi wao pale wanapookolewa. Ukisema hivyo bhasi utasema huwezi kusoma vitabu vya mtume paulo kwa sababu alikuwa muuaji wakati akiitwa sauli

Mfalme daudi, mussa, mfalme suleiman na wengine ambao waliteleza na kusamehewa. Brother kiufupi kuhukumu ni kazi isiyokuhusu
 
Kwani mkuu, ni mambo gani yameandikwa tangu azaliwe hadi alipofikisha hiyo miaka 13? Utuwekee na kifungu kinachotaja hiyo miaka 13.
Soma biblia uone hivyo vifungu vya kuanzia kuzaiwa hadi miaka 12. Pia soma biblia uone hivyo vifungu vya kuanzia miaka 30 hadi kufariki kwake. Ika kuanzia miaka 13 hadi 30 hamna kitu, totally blank!!!!! Binadamu yeyote ambae hayuko biased, free thinking, an attached na hana maslahi binafsi, ni lazima atahoji, ni kwanini hakuna maelezo yeyote juu yake katika kipindi critical kama hicho cha maisha yake?!
 
Kuna vitabu kadhaa vya mapokeo vimejaribu kueleza maisha ya utoto wa Yesu lakini havipo kwenye biblia.

Wewe hiko ulichokiona kwenye biblia ni kitabu gani ? Tuambie ni kitabu gani icho ?

Unaweza kuthibitisha Yesu aliingia balehe akiwa na miaka 13 ?. Afu nani kakwambia kila anayeingia balehe lazima afanye ngono ? na kujihusisha na mapenzi ? Nachokiona hapa Unauliza maswali kwa kutumia context ya mazingira ya kileo, na sio ya enzi ya maisha ya Yesu, unajua taratibu za kimalezi za maisha na maadili ya watoto na familia za wakati Yesu plus tamaduni zao kuanzia uzaliwaji mpaka utuu uzima ?.

Umekomaa tu na mambo ya uzinzi, ngono na balehe. Inawezekana hujui kujenga hoja unazunguka mbuyu tuu, unachotaka kieleweke hapa ninakiona.

we fanya ivi hoji kwanini kipindi cha miaka 13 mpaka 30 ya yesu hakijulikani alifanya nini na kuishi maisha ya aina gani hakuna anayejua. kwanini biblia imekaa kimya haisemi chochote kati ya 13 mpaka 30yrs ya Yesu. Acha blabla za izinzi na ngono jenga hoja namba hiyo utaeleweka.
Iwe kwenye biblia au otherwise, ni kwanini kipindi critical baada ya balehe hadi miaka 30 kimeondoloewa kwenye maandiko yote? Why? Lengo lenu ni nini?
 
Baada ya Yesu kufufuka, alikutana na wanafunzi wake mara nyingi. Na katika kukutana kwao aliumega mkate, baada ya kupaa wanafunzi walikua na desturi ya kukutana mara kwa mara na kila wakikutana walifanya maadhimisho ya ekarist takatifu kwa kuumega mkate.

Physical action ni kuumega nabkuula
Spiritual action or sense or aim n ye maneno
Huu ni mwl wangu uliotolewa kwa ability yenu. Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mm.

Unastairi ya kuila ekarist kama unavyovigezo.
Uko vizuri
 
Back
Top Bottom