- Thread starter
- #201
Roho mtakatifu ni ROHO wa Yesu.Okay mkuu, nilizani unasema Mungu ana nafsi3 maana ndio chanzo Cha watu kumwita Yesu Mungu,kwahiyo unaungana na Mimi kuwa roho takatifu ni nguvu za Mungu na sio mtu?
Mungu ni MMOJA NAFSI Moja.
Akiwa Mbinguni ni Baba,
Alipokuja katika mwili wa mwanadamu aliitwa mwana,
Aishipo ndani ya WANADAMU wote Kwa wakati mmoja, anaitwa Roho mtakatifu, au Roho wa Yesu.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.