Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
SafiKweny old testament amejitambulisha kama "Niko ambaye niko", lakini watu walimwita "YHWH/YAHWEH" au "YEHOVAH".......kweny agano jipya akafanyika mwili na akatambulika kama "Yehshua" au "Yesu".
Mm hayo ndo majina ninayojua, kama ana jina lingine ambalo ni muhimu sana ambalo angetaka tulijue bac angetuambia, na kama hajatuambia bac mm naridhika kumtambua kama "Niko ambaye niko"
Japo kwenye Agano la kale alijitambulisha Kwa majina mengi tu pamoja na hili ulilosema...
Ss hili la kwenye Agano jipya ndo alimaliza kazi, na ndo jina lake!👍👍