Mkuu mm ni mkristo na Biblia sio tu naisoma Bali naielewa,kama una mda soma Methali/Mithali 8:22-31 halafu unaambie aliyezungumziwa hapo ni nani,kama haitoshi soma pia Wakolosai1:15,16. Yesu aliumbwa na Mungu(Yehova) kabla ya chochote kile mbinguni na duniani,na ni yeye pekee aliyeumbwa na Mungu moja kwa moja ndiyosababu anaitwa Mwana wa pekee,lakini Yesu pia alikuwa anamsaidia Mungu katika kazi ya kuumba vitu vingine,soma Methali/Mithali8:30"Wakati huo nilikuwa kando yake nikiwa mfanyakazi stadi," Mkuu Yesu ana mwanzo,lakini Mungu Hana mwanzo na hawezi kufa kama ambavyo Yesu alikufa siku3