Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Mkuu mm ni mkristo na Biblia sio tu naisoma Bali naielewa,kama una mda soma Methali/Mithali 8:22-31 halafu unaambie aliyezungumziwa hapo ni nani,kama haitoshi soma pia Wakolosai1:15,16. Yesu aliumbwa na Mungu(Yehova) kabla ya chochote kile mbinguni na duniani,na ni yeye pekee aliyeumbwa na Mungu moja kwa moja ndiyosababu anaitwa Mwana wa pekee,lakini Yesu pia alikuwa anamsaidia Mungu katika kazi ya kuumba vitu vingine,soma Methali/Mithali8:30"Wakati huo nilikuwa kando yake nikiwa mfanyakazi stadi," Mkuu Yesu ana mwanzo,lakini Mungu Hana mwanzo na hawezi kufa kama ambavyo Yesu alikufa siku3
 
The problem is
Unatoka nje ya mada
Sijasema habari za Mungu ni nafsi 3, sijasema Roho mtakatifu ni mtu.....

Nisom vzr unielewe
Okay mkuu, nilizani unasema Mungu ana nafsi3 maana ndio chanzo Cha watu kumwita Yesu Mungu,kwahiyo unaungana na Mimi kuwa roho takatifu ni nguvu za Mungu na sio mtu?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mkuu mm ni mkristo na Biblia sio tu naisoma Bali naielewa,kama una mda soma Methali/Mithali 8:22-31 halafu unaambie aliyezungumziwa hapo ni nani,kama haitoshi soma pia Wakolosai1:15,16. Yesu aliumbwa na Mungu(Yehova) kabla ya chochote kile mbinguni na duniani,na ni yeye pekee aliyeumbwa na Mungu moja kwa moja ndiyosababu anaitwa Mwana wa pekee,lakini Yesu pia alikuwa anamsaidia Mungu katika kazi ya kuumba vitu vingine,soma Methali/Mithali8:30"Wakati huo nilikuwa kando yake nikiwa mfanyakazi stadi," Mkuu Yesu ana mwanzo,lakini Mungu Hana mwanzo na hawezi kufa kama ambavyo Yesu alikufa siku3
Logos Hana mwanzo Wala mwisho.
 
Unatoka nje ya mada.

Mada inasema litaje Jina personal la Mungu lenye mamlaka ya juu kuliko mamlaka zote za Duniani na Mbinguni.

Jina lipitalo Majina yote!!
Sijui hata tunabishana nini hata...
Hiyo nje ya mada ni wewe ulianza kwa kusema asiemjua Yesu hajui anachoabudu. Ndio maana nikakwambia sio wa Kristo wote wana mawazo sawa kuhusu Yesu. Hapo nimekosea?

Ningekuwa simjui nisinge mpongeza Tayana-wog kwa jibu lake na wewe ndio ukaanza ni quote tokea hapo.

Anyway lets cut long story short ..... Stay blessed. 🙏
 
Kama wewe ni mkristo na bado huelewa uungu wa yesu kristo, bac nakusihi soma maandiko vizur, yesu ni mungu kamili, aliyeumba huu ulimwengu, aliwaongoza wana wa Israel jangwani, aliyempa musa amri kumi, aliyewatokea meshach, shadrach and abdnego kama mtu wa nne, alivokuwa duniani alikuwa 100% mungu na alikuwa 100% binadamu, wakristo kushindwa kuutambua uungu wa yesu ni moja kati ya mafanikio makubwa sana ya lucifer, tuwe makini.
Yohana20:17"Yesu akamwambia acha kuning'ang'ania,kwamaana Bado sijaoanda kwenda kwa Baba.Lakini nenda kwa ndugu zangu nawe uwaambie, Ninapanda KWENDA KWA BABA YANGU NA BABA YENU na kwa MUNGU WANGU NA MUNGU WENU " ukisoma hili andiko utaelewa kuwa hata Yesu ana Mungu anayemwabudu na yeye sio Mungu
 
Hapo utapoteza Muda ni mashahidi wa Yehova,SI unajua wanachofundishwa!
Mkuu acha visingizio,Biblia zote zinamaandiko sawa,kama Kuna sehem unahisi nadanganya basi tumia maandiko kupinga hoja zangu,hoja zitetewe kwa maandiko sio udini eti ww shahidi hatuwezi kuelewana, mbona Kuna madhehebu ambayo mnatifautiana pia kama walutheri, wasabato na mnatumia Biblia sawa? Mnapishana kwenye vitu kama siku ya sabato,aina ya vyakula na vinywaji kama pombe,mkuu tutumie tu maandiko ukweli utajulikana
 
  • Thanks
Reactions: 511
Wana false doctrine 😅 Bora hata za Sauli kabla hajawa Paulo
Mkuu Lete ushahidi wa maandiko maana vinginevyo huo ni uwongo maana huwezi thibitisha,tumia maandiko kuprove wrong doctrine yetu na sio maneno
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom