Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Personal beliefs and religious perspectives vary depending on the beliefs and teachings of the individual when it comes to believing in God and Jesus Christ. Having diverse beliefs about Jesus Christ is not a barrier to having faith in God.
Usipomwamini Yesu kama Mungu aliyekuja katika mwili.

Unaabudu usichokijua, unampa Ibada shetani Kwa kujua au Kwa kutokujua.
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Allah ni neno la kiarabu kwa kiswahili ndio Mungu kwa kiingereza God kwa kihindi Krishna.
You're very ignorant brother, ulichoongea hapo ni uongo mtupu, Allah ni jina la mungu wa kiarabu, tumia hata translator, weka "God" then translate kwa kiarabu itakuja translation yake (إله) then weka "Allah" alaf angalia translation yake (الله) sasa zinafanana??, hazifanani ikimaanisha kuwa Allah ni jina na sio General terminology kama "Mungu" au "God"

Alaf Krishna nalo ni jina la mmoja wa miungu ya kihindu, na krishna sio hata mungu mkuu kweny dini ya kihindu, kuna wakina "Shiva", "Brahma" kwaio nao translation yao kwa kiswahili ni mungu??

Jifunze vitu kabla ya kuongea broo.
 
Samahani mkuu
Unatumia biblia ipi, hiki kiswahili 🙌

Biblia ya kiswahili Ina vitu vingi inamiss,jitahidi kusoma version tofauti na kingereza pia utaoata maana Kwa upana zaidi Roho mtakatifu mwaminifu.....
Mkuu lugha sio tatizo,chanzo Cha kutokuelewana mm na ww ni fundisho nnaloamini unaliamini juu ya utatu mtakatifu ambapo wengi ndio wanadanganywa kuwa Mungu ana nafasi tatu,niliwai kuwa mkatoliki naelewa vizuri nachoandika,ila ukisoma Biblia utagundua Mungu ni mmoja tu na Hana nafsi3,hata nikikuomba maandiko ya uthibitisho wa Mungu kuwa na nafsi3 hutanipa maana hayapo kwenye Biblia,na hiyo version ya kingreza ni sawa tu na kiswahili maana zote zimetoholewa kutoka kwenye kiebrania,kiarimu na kigiriki,ambazo ndio lugha zilizoandika vitabu vya Biblia
 
Mkuu nimekuelewa vizuri sana,roho takatifu siyo mtu ni nguvu za Mungu za utendaji,kama ni mtu nimekupa vifungu vinavyoonyesha kuwa Huwa inamiminwa kwa watu kama zawadi toka kwa Mungu,je mtu anaweza kumiminwa? Na kama ni mtu unaweza kunitajia jina lake? Maana tunamjua Mungu anaitwa Yehova,mwana wake wa pekee anaitwa Yesu Kristo,enhee na roho mtakatifu anaitwa nani?
Mungu anaitwa "Yesu Kristo "
Nishajibu huko juu, check post usime!

Inawezekana tunamaanisha kitu kimoja ila lugha tu na namna ya iwasilishaji!

Nilisema TU ye sio hizo nguvu ila ni chombo kilichobeba hizo nguvu! Labda niweke hivi Kwa lugha rahisi....
 
Asante
Ila haya mambo tunajifunza Kila siku rfk angu hakuna kujua sn 😅
Ukijifanya mjuaji tu ndo kiburi kinaanziaga hapo!

Huwa sipendi tu kubishana na wale wajuaji humu,kupoteza energy Kwa ajili Yao siwezi 😅
Ndo napitaga zangu kimyakimya tu
Tayana-wog, you possess wisdom and realize that fighting every battle is not necessary. Instead, it's important to observe other battles until they are defeated. I love that. 😍👏
 
You're very ignorant brother, ulichoongea hapo ni uongo mtupu, Allah ni jina la mungu wa kiarabu, tumia hata translator, weka "God" then translate kwa kiarabu itakuja translation yake (إله) then weka "Allah" alaf angalia translation yake (الله) sasa zinafanana??, hazifanani ikimaanisha kuwa Allah ni jina na sio General terminology kama "Mungu" au "God"

Alaf Krishna nalo ni jina la mmoja wa miungu ya kihindu, na krishna sio hata mungu mkuu kweny dini ya kihindu, kuna wakina "Shiva", "Brahma" kwaio nao translation yao kwa kiswahili ni mungu??

Jifunze vitu kabla ya kuongea broo.
Na mi najifunza
Kumbeee, barikiwa
 
Tayana-wog, you possess wisdom and realize that fighting every battle is not necessary. Instead, it's important to observe other battles until they are defeated. I love that. 😍👏
Indeed
There's no need to be honest!

Sa ubishane na anaeamini hakuna Mungu wa nn🤷
😅No time to Waste
 
Mungu anaitwa "Yesu Kristo "
Nishajibu huko juu, check post usime!

Inawezekana tunamaanisha kitu kimoja ila lugha tu na namna ya iwasilishaji!

Nilisema TU ye sio hizo nguvu ila ni chombo kilichobeba hizo nguvu! Labda niweke hivi Kwa lugha rahisi....
Yesu sio Mungu,kwanza Mungu Hana mwanzo ila Yesu aliumbwa na ana mwanzo,pia Yesu alikufa lakini Mungu hajawai kufa,Yohana17:3"Uzima wa milele ndio huu,wakujue wewe,Mungu wa pekee wa kweli,na yule uliyemtuma Yesu Kristo" hili fungu pekee tu linakuonyesha Yesu alitumwa na Mungu kwahiyo hao ni watu wawili tofauti.
 
They have three essential god's, Brahma(the creator), Vishnu(the presever) and Shiva (the destroyer)
Ndo kuondoa utata huo,

Ni vyema kulijua Jina la Mungu mmoja mwenye nguvu na mamlaka ya juu kuliko mamlaka zote.

Tukilijua, tutaweza kutofautisha miungu inayojipa sifa za Mungu mkuu mwenye mamlaka ya juu zaidi kuliko zote Mbinguni na duniani.
 
Mkuu lugha sio tatizo,chanzo Cha kutokuelewana mm na ww ni fundisho nnaloamini unaliamini juu ya utatu mtakatifu ambapo wengi ndio wanadanganywa kuwa Mungu ana nafasi tatu,niliwai kuwa mkatoliki naelewa vizuri nachoandika,ila ukisoma Biblia utagundua Mungu ni mmoja tu na Hana nafsi3,hata nikikuomba maandiko ya uthibitisho wa Mungu kuwa na nafsi3 hutanipa maana hayapo kwenye Biblia,na hiyo version ya kingreza ni sawa tu na kiswahili maana zote zimetoholewa kutoka kwenye kiebrania,kiarimu na kigiriki,ambazo ndio lugha zilizoandika vitabu vya Biblia
Mi nimekuuliza tu ,Kwa ajili ya kuendelea kujifunza! Nilitaka ku share kitu!
Kumbe hujui kuwa lugha pia ni issue ? Basi jua kuanzia leo.

Lkn pia mi nawe hatujapishana kuhusu issue za Mungu ni nafsi 3....
Mbona issue ilikuwa ni Roho mtakatifu amebeba nguvu za Mungu not otherwise....

Hiyo umeleta issue nyingine,ht mi nimetokea Rc ,lkn Wala hainipi shida
 
  • Thanks
Reactions: 511
Jibu sasa swali kama lilivyoulizwa hapo juu.

Jina la Mungu ni nani?
Kweny old testament amejitambulisha kama "Niko ambaye niko", lakini watu walimwita "YHWH/YAHWEH" au "YEHOVAH".......kweny agano jipya akafanyika mwili na akatambulika kama "Yehshua" au "Yesu".

Mm hayo ndo majina ninayojua, kama ana jina lingine ambalo ni muhimu sana ambalo angetaka tulijue bac angetuambia, na kama hajatuambia bac mm naridhika kumtambua kama "Niko ambaye niko"
 
Yesu sio Mungu,kwanza Mungu Hana mwanzo ila Yesu aliumbwa na ana mwanzo,pia Yesu alikufa lakini Mungu hajawai kufa,Yohana17:3"Uzima wa milele ndio huu,wakujue wewe,Mungu wa pekee wa kweli,na yule uliyemtuma Yesu Kristo" hili fungu pekee tu linakuonyesha Yesu alitumwa na Mungu kwahiyo hao ni watu wawili tofauti.
Ngoja twende Taratibu, usikariri mambo mpendwa....
Unajua kuwa Mungu alikuwa alijifunua Kwa majina tofauti kwenye Agano la kale?
Alikuwa anajifunua kulingana na majira/nyakati na kazi?
 
Usipomwamini Yesu kama Mungu aliyekuja katika mwili.

Unaabudu usichokijua, unampa Ibada shetani Kwa kujua au Kwa kutokujua.
Unaongea kama vile ni lazima kila mwanadamu kumwamini Yesu.

Sio wakristo wote wana mtazamo sawa kuhusu Yesu, na kujua nani yuko sahihi sio kazi yako, ni ya yule alieagiza kuabudiwa.

It seems kuna majibu unataka, ambayo tayari unayo kichwani mwako.

Je kuna sehemu katika Biblia yako umepewa AMRI ya kumwamini Yesu? Au umepewa tu mwongizo kuwa ukimwamini utapata jambo flani?
 
Mi nimekuuliza tu ,Kwa ajili ya kuendelea kujifunza! Nilitaka ku share kitu!
Kumbe hujui kuwa lugha pia ni issue ? Basi jua kuanzia leo.

Lkn pia mi nawe hatujapishana kuhusu issue za Mungu ni nafsi 3....
Mbona issue ilikuwa ni Roho mtakatifu amebeba nguvu za Mungu not otherwise....

Hiyo umeleta issue nyingine,ht mi nimetokea Rc ,lkn Wala hainipi shida
Mungu Hana nafsi3,halafu mkuu roho takatifu sio mtu ni nguvu za Mungu za utendaji. Kuhusu lugha labda hujanielewa,nnachomaanisha hata hiyo version ulosema niisome ni sawa tu na kiswahili sijamaanisha siwezi kutumia kingreza,nchomaanisha zote zinetafsiriwa kutoka katika lugha za awali ambazo ni kiarimu,kiebrania na kigiriki
 
Back
Top Bottom