Mkuu usi generalise, hayo ni mawazo yake na vile anaelewa yeye, uelewa wake sio sawa kwa hao uliowataja wote. I was passing by 🚶Walokole mnaelekea kuchanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usi generalise, hayo ni mawazo yake na vile anaelewa yeye, uelewa wake sio sawa kwa hao uliowataja wote. I was passing by 🚶Walokole mnaelekea kuchanganyikiwa
Mada ilihamishiwa bila kuwafikia wengi zaidi ndomana imerudi kivingine. Nia ni ifike Kwa wengi, ndiyo Hasa lengo la INJILI.🤣🤣
KWangu mimi Nilimaliza Japo najua Ni inconclusive Arguments
Mungu alijifunua Kwa majina mengi Kwa nyakati tofauti kutokana na kazi na ki-Agano!Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Nataka Jina Moja baada ya Yale 99, yaani Jina la 100 ambalo umesema mmefichwa msilijue😀😀Anayo mengi yapo 99
1.Almalik-mmiliki
2.Aljabar-Anayefanya analotaka
3.Al Aziyzu-Mshindi katika mambo yake
4.Al GHAFARU- mwenye kusamehe
4.ASSAMIYU-Mwenye kusikia
5.ALMUQYTU- Alie Mlinzi
6.ALWAHIDU-Mmoja tu.
Ukitaka mengine 93 sema
Jehova witness.Yesu siyo nguvu za Mungu,Yesu ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa huko mbinguni hata kabla ya kuja duniani,nguvu za Mungu zinaitwa roho takatifu, katika kusali linatumika jina la Yesu kwakuwa yeye ndiye mpatanishi wa binadamu na Mungu kupitia dhabihu yake, ukitaka ushahidi wa maandiko karibu tuelimishane mkuu
Wewe ndo umejibu, tangu comment ya kwanza sikupata jibu,Mungu alijifunua Kwa majina mengi Kwa nyakati tofauti kutokana na kazi na ki-Agano!
Lkn ss amejifunua Kwa jina Moja tu 'Yesu Kristo "
Hili ndilo jina la Mungu !
SureJehova witness.
Wewe ndo umejibu, tangu comment ya kwanza sikupata jibu,
Ubarikiwe.
Kuna watu wanaomba wakisema,Amen
Karibu🤝🤝
Tuendelee kupeana maarifa
🤣🤣🤣Unahisi Mimi sio msafi wa roho chief duh!
Unacheka ndio nataka uniambie
Jehova=MIMI NIKO, yaani Mwenyezi Mungu.Jehova witness.
Roho mtakatifu sio nguvu,yaani yeye sio nguvu ,ila yeye amebeba nguvu za Mungu!Yesu siyo nguvu za Mungu,Yesu ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa huko mbinguni hata kabla ya kuja duniani,nguvu za Mungu zinaitwa roho takatifu, katika kusali linatumika jina la Yesu kwakuwa yeye ndiye mpatanishi wa binadamu na Mungu kupitia dhabihu yake, ukitaka ushahidi wa maandiko karibu tuelimishane mkuu
Shetani amuogope Yesu?Yesu Huyu Huyu ambae aliuwawa na wahuni ?ndio shetani amuogope?Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
You nailed it👏Mungu alijifunua Kwa majina mengi Kwa nyakati tofauti kutokana na kazi na ki-Agano!
Lkn ss amejifunua Kwa jina Moja tu 'Yesu Kristo "
Hili ndilo jina la Mungu !
Yesu ni jina tu wapo wengi, kinachotofautisha ni "Kristo" yaani masihi/anonting!(mpakwa mafuta)
Ndo maana hakuna mpinga Yesu ila Kuna mpinga "Kristo".....
Neno kamili kuhusu Mungu.Roho mtakatifu sio nguvu,yaani yeye sio nguvu ,ila yeye amebeba nguvu za Mungu!
Matendo 1:8
Ni kweli Yesu ni mpatanishi
Na ndo jina la Mungu!
Yes, Roho wa Yesu ndie Roho wa ufufuo,Roho wa neemaKuna watu wanaomba wakisema,
Kwa Jina la Baba,
Na la Mwana na la Roho MTAKATIFU.
Jina la Mwana ni Yesu,
Jina la Roho mtakatifu ni YESU maana anaitwa Roho wa Yesu. Na Jina la Baba Mbinguni ameketi kwenye KITI Cha enzi ndiye huyo huyo Yesu.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen🙏
Mkuu mi nimecheka swali lako tu, na mm niko hapa kusubiri jibu toka kwa mhusika 🤔Unacheka ndio nataka uniambie