Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Anayo mengi yapo 99
1.Almalik-mmiliki
2.Aljabar-Anayefanya analotaka
3.Al Aziyzu-Mshindi katika mambo yake
4.Al GHAFARU- mwenye kusamehe
4.ASSAMIYU-Mwenye kusikia
5.ALMUQYTU- Alie Mlinzi
6.ALWAHIDU-Mmoja tu.

Ukitaka mengine 93 sema
 
  • Thanks
Reactions: 511
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni 🙏
Mungu alijifunua Kwa majina mengi Kwa nyakati tofauti kutokana na kazi na ki-Agano!
Lkn ss amejifunua Kwa jina Moja tu 'Yesu Kristo "
Hili ndilo jina la Mungu !

Yesu ni jina tu wapo wengi, kinachotofautisha ni "Kristo" yaani masihi/anonting!(mpakwa mafuta)

Ndo maana hakuna mpinga Yesu ila Kuna mpinga "Kristo".....
 
Anayo mengi yapo 99
1.Almalik-mmiliki
2.Aljabar-Anayefanya analotaka
3.Al Aziyzu-Mshindi katika mambo yake
4.Al GHAFARU- mwenye kusamehe
4.ASSAMIYU-Mwenye kusikia
5.ALMUQYTU- Alie Mlinzi
6.ALWAHIDU-Mmoja tu.

Ukitaka mengine 93 sema
Nataka Jina Moja baada ya Yale 99, yaani Jina la 100 ambalo umesema mmefichwa msilijue😀😀
 
Yesu siyo nguvu za Mungu,Yesu ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa huko mbinguni hata kabla ya kuja duniani,nguvu za Mungu zinaitwa roho takatifu, katika kusali linatumika jina la Yesu kwakuwa yeye ndiye mpatanishi wa binadamu na Mungu kupitia dhabihu yake, ukitaka ushahidi wa maandiko karibu tuelimishane mkuu
Jehova witness.
 
Mungu alijifunua Kwa majina mengi Kwa nyakati tofauti kutokana na kazi na ki-Agano!
Lkn ss amejifunua Kwa jina Moja tu 'Yesu Kristo "
Hili ndilo jina la Mungu !
Wewe ndo umejibu, tangu comment ya kwanza sikupata jibu,

Ubarikiwe.
 
Amen
Karibu🤝🤝
Tuendelee kupeana maarifa
Kuna watu wanaomba wakisema,

Kwa Jina la Baba,

Na la Mwana na la Roho MTAKATIFU.

Jina la Mwana ni Yesu,

Jina la Roho mtakatifu ni YESU maana anaitwa Roho wa Yesu. Na Jina la Baba Mbinguni ameketi kwenye KITI Cha enzi ndiye huyo huyo Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen🙏
 
Yesu siyo nguvu za Mungu,Yesu ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa huko mbinguni hata kabla ya kuja duniani,nguvu za Mungu zinaitwa roho takatifu, katika kusali linatumika jina la Yesu kwakuwa yeye ndiye mpatanishi wa binadamu na Mungu kupitia dhabihu yake, ukitaka ushahidi wa maandiko karibu tuelimishane mkuu
Roho mtakatifu sio nguvu,yaani yeye sio nguvu ,ila yeye amebeba nguvu za Mungu!

Matendo 1:8

Ni kweli Yesu ni mpatanishi
Na ndo jina la Mungu!
 
Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
Shetani amuogope Yesu?Yesu Huyu Huyu ambae aliuwawa na wahuni ?ndio shetani amuogope?
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Mungu alijifunua Kwa majina mengi Kwa nyakati tofauti kutokana na kazi na ki-Agano!
Lkn ss amejifunua Kwa jina Moja tu 'Yesu Kristo "
Hili ndilo jina la Mungu !

Yesu ni jina tu wapo wengi, kinachotofautisha ni "Kristo" yaani masihi/anonting!(mpakwa mafuta)

Ndo maana hakuna mpinga Yesu ila Kuna mpinga "Kristo".....
You nailed it👏
 
Kuna watu wanaomba wakisema,

Kwa Jina la Baba,

Na la Mwana na la Roho MTAKATIFU.

Jina la Mwana ni Yesu,

Jina la Roho mtakatifu ni YESU maana anaitwa Roho wa Yesu. Na Jina la Baba Mbinguni ameketi kwenye KITI Cha enzi ndiye huyo huyo Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen🙏
Yes, Roho wa Yesu ndie Roho wa ufufuo,Roho wa neema
Roho Mtakatifu...
 
Back
Top Bottom