Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤝🤝🤝Pamoja tunaendlea kujifunzaYou nailed it👏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤝🤝🤝Pamoja tunaendlea kujifunzaYou nailed it👏
Rudia kusoma quotes husika, sijajibu swali lako, nimemuuliza nilie m-quote.Jehova=MIMI NIKO, yaani Mwenyezi Mungu.
Bado hujalitaja Jina lake in person
Jina la Mungu baba linajulikana, labda kama wewe hulijui.Mungu Baba ndo jina (Ufunuo 3:12)na uhalisia wake ni CHANZO HALISI
We umeiva sana. I appreciate you madam🤗🤝🤝🤝Pamoja tunaendlea kujifunza
Na ukitaka kujua wengine wanaosema wanamwabudu mwingine asiye Mungu mkuu, wote wanamkataa Yesu.You nailed it👏
AsanteWe umeiva sana. I appreciate you madam🤗
Muelimishe tuJina la Mungu baba linajulikana, labda kama wewe hulijui.
Hindus don't worship cows as gods, that's a misconception.Ukisema Kila dini na muungu wake, wahindi watasema anaitwa ng'ombe!!
Matendo10:45"Nao waamini waliokuwa wametahiriwa waliokuwa wamekuja pamoja na Petro wakashangaa,kwasababu zawadi ya Bure ya roho takatifu ilikuwa IKIMIMINWA pia kwa watu wa mataifa" swali Luka1:41"Elisabeth aliposkia salamu za Maria,mtoto aliyekuwa tumboni mwake akaruka,naye Elisabeth AKAJAZWA roho takatifu". Naomba ujiulize mtu anaweza kumiminwa kwa watu wengine au mtu akajazwa kwa watu wengine? Roho takatifu ni nguvu za Mungu za utendaji na sio mtu.Roho mtakatifu sio nguvu,yaani yeye sio nguvu ,ila yeye amebeba nguvu za Mungu!
Matendo 1:8
Ni kweli Yesu ni mpatanishi
Na ndo jina la Mungu!
Exactly brother.Unamaanisha Yesu ndiye MIMI NIKO?
Wahindi wanamwabudu Mungu mwenye Jina Gani?Hindus don't worship cows as gods, that's a misconception.
Mungu jina lake ni Yehova .watu wengi wanachanganya kati ya jina la cheo na jina binafisi. Tunamuita Mungu sababu ni Muumba na tunamuabudu lakini kumbuka kuna miungu mingi yani hata shetani ni Mungu.lakini huyu Mungu anajina ambalo linamtofautisha na miungu mingine yani yehova.Mfano Mimi Nina miaka 25 hivyo nina majina mengi ya cheo unaweza kuniita kijana,kama nasoma mwanafunzi,binti nk lakini hayo siyo majina yangu yanayonitambulisha kibinafi kumbuka kuna vijana wengi. Nikama Mungu,muumba,mwenye enzi kuu,mwenza yote,baba,bwana,yawe hayo ni majina ya cheo lakini jina lake binafisi anaitwa YEHOVASalaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Jibu sasa swali kama lilivyoulizwa hapo juu.Exactly brother.
Personal beliefs and religious perspectives vary depending on the beliefs and teachings of the individual when it comes to believing in God and Jesus Christ. Having diverse beliefs about Jesus Christ is not a barrier to having faith in God.Na ukitaka kujua wengine wanaosema wanamwabudu mwingine asiye Mungu mkuu, wote wanamkataa Yesu.
Ikiwa unamwamini Mungu na humjui na kumwamini Yesu kama Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu ni Mpinga Kristo,
Ni waabudu shetani Kwa kujua au Kwa kutojua.
Point yangu umenielewa?Matendo10:45"Nao waamini waliokuwa wametahiriwa waliokuwa wamekuja pamoja na Petro wakashangaa,kwasababu zawadi ya Bure ya roho takatifu ilikuwa IKIMIMINWA pia kwa watu wa mataifa" swali Luka1:41"Elisabeth aliposkia salamu za Maria,mtoto aliyekuwa tumboni mwake akaruka,naye Elisabeth AKAJAZWA roho takatifu". Naomba ujiulize mtu anaweza kumiminwa kwa watu wengine au mtu akajazwa kwa watu wengine? Roho takatifu ni nguvu za Mungu za utendaji na sio mtu.
Chochote unachokipa utukufu,nguvu na heshima ndo Mungu wako.kwahyo jina la Mungu siyo Mungu Bali ni yehovaHayo mengi ni office au Majina yake kulingana na office husika, bt WANADAMU tumepewa Jina Moja tu la Mungu.
YEHOVA ni sawa tu na kusema MWENYEZI MUNGU.Mungu jina lake ni Yehova .watu wengi wanachanganya kati ya jina la cheo na jina binafisi. Tunamuita Mungu sababu ni Muumba na tunamuabudu lakini kumbuka kuna miungu mingi yani hata shetani ni Mungu.lakini huyu Mungu anajina ambalo linamtofautisha na miungu mingine yani yehova.Mfano Mimi Nina miaka 25 hivyo nina majina mengi ya cheo unaweza kuniita kijana,kama nasoma mwanafunzi,binti nk lakini hayo siyo majina yangu yanayonitambulisha kibinafi kumbuka kuna vijana wengi. Nikama Mungu,muumba,mwenye enzi kuu,mwenza yote,baba,bwana,yawe hayo ni majina ya cheo lakini jina lake binafisi anaitwa YEHOVA
Samahani mkuuMatendo10:45"Nao waamini waliokuwa wametahiriwa waliokuwa wamekuja pamoja na Petro wakashangaa,kwasababu zawadi ya Bure ya roho takatifu ilikuwa IKIMIMINWA pia kwa watu wa mataifa" swali Luka1:41"Elisabeth aliposkia salamu za Maria,mtoto aliyekuwa tumboni mwake akaruka,naye Elisabeth AKAJAZWA roho takatifu". Naomba ujiulize mtu anaweza kumiminwa kwa watu wengine au mtu akajazwa kwa watu wengine? Roho takatifu ni nguvu za Mungu za utendaji na sio mtu.
Mkuu nimekuelewa vizuri sana,roho takatifu siyo mtu ni nguvu za Mungu za utendaji,kama ni mtu nimekupa vifungu vinavyoonyesha kuwa Huwa inamiminwa kwa watu kama zawadi toka kwa Mungu,je mtu anaweza kumiminwa? Na kama ni mtu unaweza kunitajia jina lake? Maana tunamjua Mungu anaitwa Yehova,mwana wake wa pekee anaitwa Yesu Kristo,enhee na roho mtakatifu anaitwa nani?Point yangu umenielewa?
Roho mtakatifu yeye amebeba nguvu za Mungu...
Ndo mama anatugawia...
Weka au soma matendo 1:8
Hata hiyo mistari uliyoweka soma vzr utaelewa nachomaanisha