Roho mtakatifu ni ROHO wa Yesu.Okay mkuu, nilizani unasema Mungu ana nafsi3 maana ndio chanzo Cha watu kumwita Yesu Mungu,kwahiyo unaungana na Mimi kuwa roho takatifu ni nguvu za Mungu na sio mtu?
Kwamba Mungu ana I'd ya kificho JF😀😀Halafu hapa Jf tunatumia fake id kuficha majina yetu, Rabbon anataka tu reveal personal name of God, huoni huu ni mtego wa kuvunja privacy policy ya JF eti Tayana-wog 😂😂 (jokes baada ya jina kupatikana, we rejoice )
Mithali kitabu Cha wayahudi/Suleiman,wayahudi hawawezi andika huo ushibwada,ni Imani ya Mungu mmoja asiye na mwana Wala mfano,Wala hahitaji kolabo kwenye uumbaji,hicho kitabu Cha wapagani wa kirumi na matusi yao kwa Mungu hakiwezi kuwa rejea ya Mungu muumba ni naniMkuu mm ni mkristo na Biblia sio tu naisoma Bali naielewa,kama una mda soma Methali/Mithali 8:22-31 halafu unaambie aliyezungumziwa hapo ni nani,kama haitoshi soma pia Wakolosai1:15,16. Yesu aliumbwa na Mungu(Yehova) kabla ya chochote kile mbinguni na duniani,na ni yeye pekee aliyeumbwa na Mungu moja kwa moja ndiyosababu anaitwa Mwana wa pekee,lakini Yesu pia alikuwa anamsaidia Mungu katika kazi ya kuumba vitu vingine,soma Methali/Mithali8:30"Wakati huo nilikuwa kando yake nikiwa mfanyakazi stadi," Mkuu Yesu ana mwanzo,lakini Mungu Hana mwanzo na hawezi kufa kama ambavyo Yesu alikufa siku3
Umeongea kwa uelewa wa hali ya juu..ni wachache watakaokuelewa.Kiuhalisia hakunaga mwanadamu anae lijua jina la Mungu alieiumba hii dunia
Sahihi kabisa. Ukitaja jina la Mungu mbele ya pepo (jini) litakwambia na lenyewe limeubwa na Mungu.Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
Ila ukitaja Kwa Jina la YESU!!!Sahihi kabisa. Ukitaja jina la Mungu mbele ya pepo (jini) litakwambia na lenyewe limeubwa na Mungu.
🤣🤣🤣🤣Halafu hapa Jf tunatumia fake id kuficha majina yetu, Rabbon anataka tu reveal personal name of God, huoni huu ni mtego wa kuvunja privacy policy ya JF eti Tayana-wog 😂😂 (jokes baada ya jina kupatikana, we rejoice )
Hawatakuelewa sbb adui ana Siri snNa dini ya mashahidi wa YEHOVA ni ya mpinga Kristo.
Ni kweli wakristo timepoteana sbb ya mapokeo ya madhebu tofauti.Sijui hata tunabishana nini hata...
Hiyo nje ya mada ni wewe ulianza kwa kusema asiemjua Yesu hajui anachoabudu. Ndio maana nikakwambia sio wa Kristo wote wana mawazo sawa kuhusu Yesu. Hapo nimekosea?
Ningekuwa simjui nisinge mpongeza Tayana-wog kwa jibu lake na wewe ndio ukaanza ni quote tokea hapo.
Anyway lets cut long story short ..... Stay blessed. 🙏
Asee fafanua, ongea zaidi🙏Zekaria13:7-9,qur2:57-62)Zabibu zake,Thom zake(tom)
Kujiitoma njia ya vikwazo(toma),qur90,qur100,(wajitomao)
Hilo ndo jina lake.
Sawa mi muongoMkuu Lete ushahidi wa maandiko maana vinginevyo huo ni uwongo maana huwezi thibitisha,tumia maandiko kuprove wrong doctrine yetu na sio maneno
Hiyo ni miungu, Haina Cheo na mamlaka yote duniani na Mbinguni.Wahindu wanaabudu miungu zaidi ya milioni 33
In Hinduism it is believed that there are more than 33 million gods and goddesses, it is also found that each family has their own god or goddess that they pray to.
Mimi nimesema hivi Roho Mtakatifu kabeba nguvu za Mungu ila yeye sio nguvu!Okay mkuu, nilizani unasema Mungu ana nafsi3 maana ndio chanzo Cha watu kumwita Yesu Mungu,kwahiyo unaungana na Mimi kuwa roho takatifu ni nguvu za Mungu na sio mtu?
Atakujibu ni Yesu kupitia andiko hili 1 Peter 3:22Sawa mi muongo
Kwenu Mikaeli ni nani?
Umenikumbusha,Sawa mi muongo
Kwenu Mikaeli ni nani?
Kulinganisha Yesu na Malaika ni abomination,Atakujibu ni Yesu
Wanatuma andiko hili 1 Peter 3:22Kulinganisha Yesu na Malaika ni abomination,
DINI zingine, we acha tu.
DINI yoyote inayokataankutambua Roho mtakatifu ambaye ni ROHO wa Yesu ni dini za wapinga kristo.Wanatuma andiko hili Wathesalonike 4:16
🤣🤣🤣Umenikumbusha,
Nilipokuwa katika mkanganyiko mkubwa baada ya kusoma BIBLIA, nilitaka kujua Yesu ni nani Hasa.
Nilipokuwa katika kuwaza, wakaja watu wawili na kugonga geti LANGU na kujitambulisha kuwa wao ni mashahidi wa YEHOVA.
Walisema hakuna Roho mtakatifu,
Wakasema pia Yesu ndiye Mikael Malaika mkuu,
Kwamba kwao, Yesu ni Malaika.
Nilipowahoji maswali kiundani walinikimbia.
Mashahidi wa YEHOVA ni dini ya uongo ya mpinga Kristo.
Ikiwa upo huko, hama haraka, kuzimu inakwita.