Yesu sio Mungu ni binadamu kama wewe tu tofauti alimpa kipawa cha kuweza kufanya miujiza fulani fulani.Mungu ana Jina lililofunuliwa AGANO la jipya ambalo lilikuwa limefichwa AGANO la kale.
Neno linasema,
Akamkirimia Jina lipitalo Majina yote,Ili Kwa Jina la YESU, Kila goti lipigwe Mbinguni na duniani.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen
Baba yake Yesu wa KIMWILI alikuwa nani?Yesu sio Mungu ni binadamu kama wewe tu tofauti alimpa kipawa cha kuweza kufanya miujiza fulani fulani.
Mkuu wewe unachuki binafsi,kwasababu unaeneza habari uwongo,hakuna mwongozo unaosema Mashahidi wa Yehova wasitumie dawa, kwasababu wote tunapenda uhai wetu na tunathamin sana zawadi hiyo kutoka kwa Mungu,sisi huenda hospital kupata matibabu,kwahiyo kuhusu umedanganya,wapi mpaka mashahidi ambao ni madaktari,wauguzi n.k labda nikuulize kwanini unapenda kuzusha uwongo? Nakuhusu damu ni kweli hatuongezi damu Wala kuongezeka,ukitaka vifungu vinavyokataza kutumia damu nitakupa na kukuelewesha,inaonekana una exposure ndogo kwenye mambo ya matibabu,mpaka Sasa hospital kadhaa hapa Tanzania zimewafanyia upasuaji mkubwa Mashahidi wa Yehova bila kutumia damu na wamepina vizuri tu,ingia hata YouTube utafute upasuaji wa moyo walioufanya muhimbili bila kuongeza damu wa kijana shahidi wa Yehova na akapona vizuri tu sawa na wagonjwa wengine,acha kuzusha mambo usiyoyajua🤣🤣🤣
Ye ananibishia mi wakati nawaelewa vzr
Nimemuuliza makusudi.
Nina ndugu wako huko nashukuru wengine washatoka! hawataki kunywa dawa wakiumwa,km sloam....
Mtaani (mkoani kwetu) Kuna kijana alikufa shida ilikuwa ndogo tu alipungukiwa damu,baba mzazi akagoma, hawaamini ktk hiyo....alikufa😥🙌
Yule baba polisi ndo walingilia kati maana alipigwa na watu wenye hasira!
Hapo ndo unaningiza chaka zaidiFanya maombi(omba )kupitia jina la Yesu ndo tulivyoagizwa kwenye biblia
Naenjoy tu mipicha hapa you know😅Duh noma
Km sloam wao pia wameweka kava jeupe na blue bahari
Sijui kama kuna mtu mwingine anayemjua zaidi ya mama yake.Baba yake Yesu wa KIMWILI alikuwa nani?
Nikuulize swali,kwahiyo Yesu alivyokufa siku3 maana yake hapakuwa na Mungu? Maana unasema Yesu ni Mungu,Huko ni kujishusha, kujinyenyekeza Ili atimize mission.
Ujio wa Yesu duniani ni Siri, wengi hawakujua.
Yohana mbatizaji alimwambia Yesu, sistahili kukubatiza wewe sababu u mkuu kuliko Mimi.
Yesu anamwambia we nibatize tu Ili kutimiza maandiko.
Yohana mbatizaji alikuwa na Roho ya Elia, hivyo katika Roho alijua Uungu wa Yesu.
Kuyajua hayo, ni Mungu akusaidie.
Soma andiko lolote kwenye hiyo Biblia halafu ulinganishe na Biblia nyingine halafu uone kama Zina maana sawa au tofautiMpaka uwe na ufahamu sana kugundua hilo, wamecheza na maneno kubadili maana halisi. Naipitia hapa😅 mpaka walete jibu sahihi ndio waikomboe. (kidding)
View attachment 2901782
Soma maandiko,Sijui kama kuna mtu mwingine anayemjua zaidi ya mama yake.
Kwahiyo huyo roho mtakatifu ndiye aliyemlala mama yake yesu na kumpa ujauzito! Nashukuru kwa kunijuza.Soma maandiko,
Roho mtakatifu aliyemweka Yesu tumboni mwa Mariam,
Ndo huyo huyo Roho mtakatifu anayeitwa Roho wa Yesu.
Ikupe kujua kuwa hata baada ya Yesu kupaa Mbinguni, amerudia tena duniani akiishi Kwa Kila amwaminiye na kuitwa Roho MTAKATIFU.
Kumjua Mungu ni Siri kubwa.
Tafuta andiko lolote afu uzilinganishe hizo Biblia ndio utaelewa kama zinatofautiana ama zipo sawa.UTATIMIA BIBLIA yenu ya mchongo au BIBLIA halisi?😀
Kufa ni kutenganisha Roho na mwili.Nikuulize swali,kwahiyo Yesu alivyokufa siku3 maana yake hapakuwa na Mungu? Maana unasema Yesu ni Mungu,
Ndo maana nasema Kuna shida mahaliMikaeli ndiye Malaika mkuu,ambae ni Yesu Kristo,kama upo tayari nikupe darasa tunaweza endelea,na ntakuwa natumia maandiko katika hoja zangu sio maneno matupu.
DuhHapo ndo unaningiza chaka zaidi
Huna akili.Kwahiyo huyo roho mtakatifu ndiye aliyemlala mama yake yesu na kumpa ujauzito! Nashukuru kwa kunijuza.
Ubarikiwe.
Linaitwa Jina lipitalo Majina yote Mbinguni na duniani.
Hiyo ni TOP SECRET.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen
Kuna kitu hujaelewa mkuu. Mwambie Mchungaji wako akuambie Yesu ni nani?Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
Nikuulize swali,kwahiyo Yesu alivyokufa siku3 maana yake hapakuwa na Mungu? Maana unasema Yesu ni Mungu,
Wanakwambia magari ,majumba yote tutamiliki 🤣Naenjoy tu mipicha hapa you know😅View attachment 2901789