Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Mungu ana Jina lililofunuliwa AGANO la jipya ambalo lilikuwa limefichwa AGANO la kale.

Neno linasema,

Akamkirimia Jina lipitalo Majina yote,Ili Kwa Jina la YESU, Kila goti lipigwe Mbinguni na duniani.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Yesu sio Mungu ni binadamu kama wewe tu tofauti alimpa kipawa cha kuweza kufanya miujiza fulani fulani.
 
🤣🤣🤣
Ye ananibishia mi wakati nawaelewa vzr
Nimemuuliza makusudi.

Nina ndugu wako huko nashukuru wengine washatoka! hawataki kunywa dawa wakiumwa,km sloam....
Mtaani (mkoani kwetu) Kuna kijana alikufa shida ilikuwa ndogo tu alipungukiwa damu,baba mzazi akagoma, hawaamini ktk hiyo....alikufa😥🙌
Yule baba polisi ndo walingilia kati maana alipigwa na watu wenye hasira!
Mkuu wewe unachuki binafsi,kwasababu unaeneza habari uwongo,hakuna mwongozo unaosema Mashahidi wa Yehova wasitumie dawa, kwasababu wote tunapenda uhai wetu na tunathamin sana zawadi hiyo kutoka kwa Mungu,sisi huenda hospital kupata matibabu,kwahiyo kuhusu umedanganya,wapi mpaka mashahidi ambao ni madaktari,wauguzi n.k labda nikuulize kwanini unapenda kuzusha uwongo? Nakuhusu damu ni kweli hatuongezi damu Wala kuongezeka,ukitaka vifungu vinavyokataza kutumia damu nitakupa na kukuelewesha,inaonekana una exposure ndogo kwenye mambo ya matibabu,mpaka Sasa hospital kadhaa hapa Tanzania zimewafanyia upasuaji mkubwa Mashahidi wa Yehova bila kutumia damu na wamepina vizuri tu,ingia hata YouTube utafute upasuaji wa moyo walioufanya muhimbili bila kuongeza damu wa kijana shahidi wa Yehova na akapona vizuri tu sawa na wagonjwa wengine,acha kuzusha mambo usiyoyajua
 
Duh noma
Km sloam wao pia wameweka kava jeupe na blue bahari
Naenjoy tu mipicha hapa you know😅
20240212_155958.jpg
 
Huko ni kujishusha, kujinyenyekeza Ili atimize mission.

Ujio wa Yesu duniani ni Siri, wengi hawakujua.

Yohana mbatizaji alimwambia Yesu, sistahili kukubatiza wewe sababu u mkuu kuliko Mimi.

Yesu anamwambia we nibatize tu Ili kutimiza maandiko.

Yohana mbatizaji alikuwa na Roho ya Elia, hivyo katika Roho alijua Uungu wa Yesu.

Kuyajua hayo, ni Mungu akusaidie.
Nikuulize swali,kwahiyo Yesu alivyokufa siku3 maana yake hapakuwa na Mungu? Maana unasema Yesu ni Mungu,
 
Sijui kama kuna mtu mwingine anayemjua zaidi ya mama yake.
Soma maandiko,

Roho mtakatifu aliyemweka Yesu tumboni mwa Mariam,

Ndo huyo huyo Roho mtakatifu anayeitwa Roho wa Yesu.

Ikupe kujua kuwa hata baada ya Yesu kupaa Mbinguni, amerudia tena duniani akiishi Kwa Kila amwaminiye na kuitwa Roho MTAKATIFU.

Kumjua Mungu ni Siri kubwa.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Soma maandiko,

Roho mtakatifu aliyemweka Yesu tumboni mwa Mariam,

Ndo huyo huyo Roho mtakatifu anayeitwa Roho wa Yesu.

Ikupe kujua kuwa hata baada ya Yesu kupaa Mbinguni, amerudia tena duniani akiishi Kwa Kila amwaminiye na kuitwa Roho MTAKATIFU.

Kumjua Mungu ni Siri kubwa.
Kwahiyo huyo roho mtakatifu ndiye aliyemlala mama yake yesu na kumpa ujauzito! Nashukuru kwa kunijuza.
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Nikuulize swali,kwahiyo Yesu alivyokufa siku3 maana yake hapakuwa na Mungu? Maana unasema Yesu ni Mungu,
Kufa ni kutenganisha Roho na mwili.

Yesu asema, nitaitoa Roho yangu na Kisha nitairejesha tena ndani ya MWILI siku ya tatu.

Ndipo SA ujue, Uungu wa Yesu Si katika mwili wa nyama, ni ROHO.

Roho haifi.

Umeelewa?
 
Mikaeli ndiye Malaika mkuu,ambae ni Yesu Kristo,kama upo tayari nikupe darasa tunaweza endelea,na ntakuwa natumia maandiko katika hoja zangu sio maneno matupu.
Ndo maana nasema Kuna shida mahali
Hivi we ukisoma biblia ndo inakwambia hivyo?
Hebu nipe huo mstari unayosema Yesu ni Mikael....
Haya Kwa faida Yako...
Yesu sio Mikaeli
Yesu sio malaka
Mikaeli ni Maila mkuu,ni Kati ya wale 7arch Angel (malaika wakuu 7) sijui ht km unajua hili
 

Attachments

  • Screenshot_20240212-160357.jpg
    Screenshot_20240212-160357.jpg
    161.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240212-160541.jpg
    Screenshot_20240212-160541.jpg
    130 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240212-160421.jpg
    Screenshot_20240212-160421.jpg
    142.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240212-160911.jpg
    Screenshot_20240212-160911.jpg
    152.6 KB · Views: 2
  • Nzuri
Reactions: 511
Kwahiyo huyo roho mtakatifu ndiye aliyemlala mama yake yesu na kumpa ujauzito! Nashukuru kwa kunijuza.
Huna akili.

Mungu huziweka Roho za WANADAMU ndani ya miili ya WANADAMU.

Adamu aliumbwa na Mungu, Hilo Tendo hata halikufanyika.

Akili Yako finyu ndo inakufanya uwaze uwazavyo.

Ikiwa mganga wa kienyeji anaweza kumpa mwanamke mtoto aliye Pepo na Kuzaliwa,

Iweje Mungu ashindwe jambo Hilo dogo?

Pumbavu kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
Kuna kitu hujaelewa mkuu. Mwambie Mchungaji wako akuambie Yesu ni nani?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom