Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

anyway mimi sijui kushindana!!!!"have a good day sir".........YESU mwenyewe alipoulizwa mwisho wa dunia ni lini alisema"hakika mimi sijui,ila BABA yaani MUNGU ndio ajuae...sasa kama YESU kuna mambo mengine hachunguzi!!! wewe ni nani?
 
anyway mimi sijui kushindana!!!!"have a good day sir".........YESU mwenyewe alipoulizwa mwisho wa dunia ni lini alisema"hakika mimi sijui,ila BABA yaani MUNGU ndio ajuae...sasa kama YESU kuna mambo mengine hachunguzi!!! wewe ni nani?
Ok ,chill!!
 
Unabishana na Maandiko?
 
Unabishana na Maandiko?
(Soma Isaya 42:8)

Mimi ni "BWANA", ndilo JINA LANGU, Utukufu wangu sitampa mwingine.

Katika Isaya, amesema Jina LANGU ni "BWANA", kwingine amejitambulisha "YEHOVA", kwingine " BWANA Mungu", nk nk.

Ndo uelewe, yote hayo ni Majina yenye kuonyesha ukuu wa Mungu kitengo Fulani, Si Jina la Mungu personal.

Soma (Wafilipi 2:9-11)

Limetajwa Jina Moja lipitalo Majina yote Mbinguni na duniani.

Na Hilo ni Jina la YESU.

Mungu ni MMOJA,

Na YESU ndilo JINA lake. Amen
 
YESU ndo jina lake personal
 
YESU ndo jina lake personal
Na ndilo JINA pekee linalotofaulisha Mungu mkuu wa Yote na miungu inayoiga utukufu Ili iabudiwe.

Wote wanaosema wanamwabudu na kumjua Mungu hapo hapo wakikana Uungu wa Yesu ni wapinga kristo.

Na kujua kuwa Yesu ni Jina la Mungu, ni Hadi ufunuliwe na Roho mtakatifu.

Umebarikiwa sana ndugu Waterbender Kwa kufuniliwa Hilo.

Amen
 
🤝
 
Kutoka 3:13 “Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.

15 Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.”
 
What does Jehovah mean in Hebrew?


It means “I am that I am,” or “I am the one who is.” In the incident of the burning bush in the Book of Exodus, God, speaking out of the bush, tells Moses that this is his name.
 
Mungu ni cheo chake yeye anaitwa YEHOVAH AU YWHE
(Isaya 42:8)

Mimi ni BWANA, ndilo JINA LANGU, sitampa utukufu wangu mwingine, Wala sitawapa sanamu sifa zangu.

Ndipo ujue YEHOVA, BWANA, BWANA MUNGU, NIKO AMBAYE NIKO NK NK

Ni Majina yenye kubeba sifa za Mungu, lakini Si Jina binafsi la Mungu tulilopewa WANADAMU.

Soma (Wafilipi 2:9-11) limetajwa Jina la Mungu,Jina lipitalo Majina yote.

Ubarikiwe.
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni 🙏
Watu wote katika familia zetu wana majina ya kibinafsi. Hata wanyama wa kufugwa wana majina! Je, si jambo linalopatana na akili kwa Mungu kuwa na jina? Katika Biblia, Mungu ana majina mengi ya cheo, kama vile, Mungu Mweza-Yote, Bwana Mwenye Enzi Kuu, na Muumba, lakini pia ana jina la kibinafsi.—Soma Isaya 42:8.

Tafsiri nyingi za Biblia zina jina la kibinafsi la Mungu kwenye Zaburi 83:18. Kwa mfano, kwenye Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya, andiko hilo linasema: “Ili watu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Yehova, wewe peke yako ndiye Uliye Juu Zaidi, juu ya dunia yote.”

Kwa nini tunapaswa kulitumia jina la Mungu?

Mungu anataka tulitumie jina lake la kibinafsi. Tunatumia majina ya kibinafsi tunapozungumza na watu tunaowapenda, kama vile rafiki zetu wa karibu, hasa wanapotuomba tutumie majina yao. Je, haipaswi kuwa hivyo pia tunapozungumza na Mungu? Zaidi ya hayo, Yesu Kristo aliwatia moyo watu watumie jina la Mungu.—Soma Mathayo 6:9; Yohana 17:26.
 
Isaya 42:8 anasema Jina LANGU ni BWANA,

Zaburi anajitambulisha kama YEHOVA.

Pengine anajitambulisha kama BWANA Mungu.

Pengine anajitambulisha kama NIKO AMBAYE NIKO.


Hapo Jina lake ni nani kati ya Majina hayo mengi?

Soma( Wafilipi 2:10-11) lipo Jina above all names ambalo tumepewa WANADAMU,Jina lenye uwezo wa kuokoa.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…