Tupe tafsiri ya Jina YEHOVA , Ili kujua ni Jina la Mungu personal au Jina linalowakilisha mamlaka yake katika office Fulani ya kiutendaji.Hapana,Mungu maana yake ni muweza yote sio jina binafsi, ndiomaana Kuna maandiko yanayomwita shetani Mungu wa Dunia hii,lakini Yehova ndiye jina pekee la kibinafsi la Mungu wa kweli,soma 2wakorinto4:4 "ambao kati yao mungu wa mfumo huu wa mambo amezipofusha akili za wasio amini,ili Nuru ya habari njema ya utukufu kuhusu Kristo aliyemfano wa Mungu,isiwaangazie" Hapo utaona shetani ameitwa Mungu pia,ila Yehova ndiyo jina halisi la Mungu.
YEHOVA ni sawa na MIMI NIKO ambalo Mungu alijitambulisha Kwa Musa.Jina la Mungu ni Yehova.
Soma Uzi wa mtu aitwaye EINSTEIN112 usemao, "Yafahamu Majina ya Mungu na maana zake"Unapozungumzia ofisi ya kiutendaji nashindwa kukuelewa vizuri,naomba unieleweshe afu twendelee na mada
Ndio nataka ulitaje bila kuweka bible quotes,Nilitaje mimi tena?
Hivi una akili wewe kweli?
Kutoka (Exo) 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;
[emoji117]{MIMI NIKO} amenituma kwenu.
And God said unto Moses, I AM THAT I AM: and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel,
[emoji117] {I AM} hath sent me unto you.
Hapo ni Sawa na kusema Mungu " Mwokozi".Yehoshua Masih
Hapo( Zaburi 83:18)Soma Zaburi83:18
Mimi najua tayari, bt nilitaka nijue kama wasomaji wanalijua Jina la Mungu lile nilijualo Mimi au la.Wanasemaga,,,"Kabla ya Kuandika,,USIKOJOE HAPAA,,wee CHIMBA CHOO"
TAFSIRI ya "YEHOVA" ni MWENYEZI MUNGU!! au MUNGU MUWEZA WA YOTE.Huo mstari umekupa jibu la moja kwa moja,kwamba jina lake ni Yehova.
Usijitoe ufahamu.Hapo unachanganya Majina ya miungu,
Njaro ni Jina la miungu ya wachaga ambaye wao humpa pombe ya mbege kama shukrani.
Ndomana tunataka kulijua Jina la Mungu binafsi mwenye mamlaka ya juu kuliko mamlaka zote za Duniani na Mbinguni.
Litaje Jina lake ikiwa unalifahamu.
Ndo nasemaje,Usijitoe ufahamu.
Hata Ibrahim almanusura amlambe ncha ya kisu Isaka ili amtolee Mungu sadaka.
Mungu ana jina moja lililotafsiriwa kila lugha na kabila.
Soma biblia ya kichaga utakuta jina lake
[emoji15][emoji15][emoji15]Unamzungumzia huyu Mungu aliepigwa mitama na Yakobo?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Jina Gani Hilo?Mungu jina linalopita majina yote.