Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

Kabisaa
 
Sasa c ndio hapo.....inamaana kipind maendeleo ya viwanda yameshamir ulaya cc tulkuwa tunakalia kuwinda tu au
 
Kiakili tupo sawa ila tunatofautiana jinsi ya kuzitumia akili hapo ndio tatizo. Sisi tunawaza sana ngono, sifa, starehe, upuuzi wote sie ndio nyumba yetu, hamna mchawi wala mmbaya katika hili ni sisi wenyewe.
Inawezekana
 
Sisi chakujisifia ni machine kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. .
 
Tatizo ni mfumo wetu wa makuzi mkoloni ameuvuruga sana effect za ukoloni mpaka Leo ipo we angalia serikali zetu ni za kikoloni
 
Hahaaaaa.....inawezekana
 
Sasa kwann cc hatuwez kutengeneza hayo magonjwa na dawa??
 
Huu n ukweli kabisa......inawezekana
 
Huwa najiuliza kuwa hata wengine nao huwaza kama hivyo kuhusu wazungu kwamba wamepewa akili tofauti nao wao au ni watu tofauti na wao? mfano wachina,wahindi,wajapan na hata waarabu.
Je nao huwafikiria hivyo wazungu au ni sie tu waafrika?
Sjui aisee
 
Utofauti ni mdogo sana. Wenzetu hawana tamaa ktk kujifunza.
Mfano mtoto hutambuliwa anachopendelea mara tu akishazaliwa. Hivyo kama anapenda wanyama basi aweza kuanza kuandaliwa kwa ajili ya kuja kuwa zoologist doctor wa wanyama. Kuanzia awali hadi chuo kikuu yy ni wanyama tu. Hali hiyo humuwezesha kuvumbua vitu vipya kiurahisi.
Karibu kila mwafrika ana maarifa ya zaidi ya vitu vitatu vyote anavijua juu juu tu. Lakini angeweza kusimamia kitu kimoja basi angekuwa professional mkubwa. Hii yote ni kwa kuwa hatuna uhakika na maisha yetu.
Angalia maduka yetu tunauza unga, mikate, sabuni, mafuta ya taa, ya kupikia, sumu za panya na mende sasa hilo siyo duka ni store na ni hatari kubwa.
Mtu angeweza kuuza mafuta ya kupikia tu na akawa tajiri lakn tamaa. Na akili zetu zimejengwa hivyo. Kila jambo huandaliwa nasi tumeandaliwa hivyo.
 
Mi naomba udhibitisho kwamba tumeumbwa na Mungu, halafu ndio mjadala uanzie hapo.
 
Huu mjadala ni mkubwa na una mambo mengi mno ya kujiuliza,lazima kuna mahala tuliteleza na hata siku zikasonga tukazidi kupotea kabisa. Wasomi wetu ni wa kwenye vyeti tu na baada ya hapo hukimbilia kwenye siasa badala ya kutumia elimu yake kuinufaisha jamii.Kama mpaka leo changamoto kubwa ni upatikanaji wa madawati mashuleni pamoja na matundu ya vyoo unadhani tutakaa tugundue kitu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…