Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Mathayo 16:18
"Nami ninakuambia: Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda."

Kristu amejenga Kanisa Katoliki juu ya mwamba. Hakuna nguvu za kuzimu zinazoweza kulishinda.

Kamwe halitaruhusu dhambi ya ushoga wala kuruhusu manyanyaso ya mashoga na wadhambi wengine.

Mungu huchukia dhambi, si wadhambi.
 

Pope hana uwezo wala mamlaka ya kubadili mafundisho ya kanisa. Kazi yake ni kusimamia mafundisho ambayo kanisa linayo kwa enzi na enzi.
Kama anataka ndoa ya jinsia moja, akaanzishe kanisa lake. Ndani ya ukatoliki ameshashindwa na hatakuja kuweza
 
Nyie right mngelijua Kanisa Katoliki! Poleni sana kwa gamba mlionalo na upofu sugu.
 
Weka hoja wewe, matusi hayakusaidii kitu. Sana sana unaonekana kituko tu.
Huwezi kuelewa maana umekaza ubongo.
Kenge wewe,ulitaka tuamini uchuro unaouamini wewe?.
Hamuujui ukatoliki. Kaeni kimya kabisa.
Umepwaya sana, ewe mfuasi wa kadinali. Weka hoja mezani, acha janja janja.
Nyie right mngelijua Kanisa Katoliki! Poleni sana kwa gamba mlionalo na upofu sugu.
 
Kuna kitu hujielewi, hakuna Mwanadamu mkamilifu hapanduniani MTU anaweza kuongozwa na fikra au matakwa binafsi tatizo linakuja pale mtu anapoamini kiongozi wa dini Fulani hawezi kukosea. Yesu amewahi kusema haukuna mtu mwema matatizo Kama haya yanaweza kutokea lakini usihusishe kundi lote
 
Na Bado mpaka msemeeee......katoliki inawatesa sana
 
100% umemaliza kila kitu.
 
Weka hoja wewe, matusi hayakusaidii kitu. Sana sana unaonekana kituko tu.



Umepwaya sana, ewe mfuasi wa kadinali. Weka hoja mezani, acha janja janja.
Una hakika kanisa katoliki limeruhusu hizo ndoa?🤣🤣🤣🤣🤣
Tupunguze Pilau...tuanze kunywa na maziwa
 
Binadamu hawezi kuwa Mwamba, hicho kipengele ndo mnapopigiwa
Yesu ndo mwamba na siyo Petro.
Kanisa Katoliki la Roma linabishana kuwa Petro ni mwamba ambao Yesu alitaja na kisha linatumia ufafanuzi huo kama ushahidi kuwa ni kanisa moja la kweli. Lakini, kama tulivyoona, Petro kuwa mwamba siyo tafsiri pekee ya halali. Hata kama Petro ni mwamba katika Mathayo 16:18, haiwezi kumpa Kanisa Katoliki la Roma mamlaka yoyote. Hakuna mahali popote Maandiko yanasema Petro alikuwa Roma. Maandiko hayaelezei Petro kuwa na mamlaka juu ya mitume wengine au kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la kwanza. Petro hakuwa papa wa kwanza. Asili ya Kanisa la Katoliki si msingi katika mafundisho ya Petro au mtume mwingine yeyote.
 
Una hakika kanisa katoliki limeruhusu hizo ndoa?🤣🤣🤣🤣🤣
Tupunguze Pilau...tuanze kunywa na maziwa
Hakuna kitu kiovu ambacho Ukatoliki haukiruhusu. Hilo ni pango halisi la Ibilisi mwenyewe.

Usije kusema tena hujaambiwa. Jifunze kusikiliza shuhuda na hoja za Wakristu mbalimbali ambao zamani walikuwa Wakatoliki, usidhani wewe pekee ndiye umezaliwa humo.
 
sisi tuko bize na imani yetu, nyie mko bize kuhangaika na imani yetu.
sisi hatuhangaiki na nyie, hatuwatukani na kila iitwapo leo tunawaombea.
tumepigwa mishale mingi na kila siku tunazidi kuwa imara.
" Furaha ya uinjilishaji"
" Jumuia ndogo ndogo, Roho moja na mwili mmoja katika kristo"
 
mkikaa huko kwenye makanisa yenu ya mabati yenye kutu, spika kubwa kuliko idadi ya wanaosikiliza, kwenye viwanja vya 10*15 mnaishia kuokota ujinga kama huu
 
Akili ndogo ww unaebururw kuelekea USHOGANI?
Wakatolliki Wana nini zaidi ya kuwaf** watoto???
wewe jamaa unajua mchakato wa ndoa kwenye kanisa katoliki wewe, unazijua sheria katoliki za ndoa? au unakaa kwenye vikanisa vya kupiga makelele unaondoka na pepo la uzushi na ujinga
 
Ukatoliki ni upagani kwan hamjajuaga tuuu mpaka leo
Haonsio wakristo
Maskini waumini hawajui lolote, wanaingiza shimoni wakat wote
Kuna ibada za mapapa waliokufa, zinatisha na mengine mengi.
Mungu hajawah kuwa na kanisa katoliki hata siku moja
Na yesu alisema pale wanapozan wapo na mm, mm ndo sipo nao.
Kama maria na yusufu, walidhan wapo nae kumbe walimuacha hekaluni

Kimbia katoliki ukoa nafsi yako.
Kama mungu hayupo humo ww unafanya nn.
 
Umesoma hicho kifungu?
 
Asili ya Ukatoki ni upinga Kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…