Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

" Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu" . Baada ya kusoma hapa ndo nimejua kuwa wewe ni msabato..

Unahisi kwa sababu kundi lenu ni dogo kwamba ndo mpo na Mungu au mpo sahihi kuliko wengine ?
Kwasababu wasabato ndo pekee wanasoma biblia??
Kama nilichoandika ni neno unakimbiliaje kwenye majina ya madhehebu.
Hutakuwa na chakujitetea ukweli ni huo
Kama sio nionyeshe kwenye biblia mungu alipodeal na umati mkubwa

Kasome habari za gideon
Kasoma wooote mikaya eliya elisha musa, mpaka yesu mwenyewe na mitume wote
Uone kama alishawah kufanya kazi na kundi kubwa la watu.
Mungu hajali wingi, anajali watu wanaoshika neno lake atakama watano tu dunia nzima.
Ao wengine hana time nao
 
RC- Wanafundishwa Unyenyekevu na Utii.
Zaidi wanafundishwa namna ya kumuomba Mungu katika mambo yao mbalimbali kupitia.
1. Sala
2. Kitubio
3.Maombi.

Dini/Dhehebu lolote lazima liwe na mifumo(System) inayoliendesha.

Katika system, RC wamekuwa bora zaidi na ndio maana inawaumini wengi duniani.

Mamambo mengi ya madhehebu ya Kikristo yameanzishwa na hao RC, eg Jumuiya ndogondogo.

Tafsiri za Biblia zimekuwa na mikanganyiko tofauti kutokana na mapokeo, Eg Matumizi ya Sanamu. Kama unakumbuka Sanamu la nyoka lilotumika kuwaokoa wana wa Israel, (Hii alama ya nyoka imebaki kuwa alama kuu ya matibabu, ndio mana vyuo vinavyofundisha Madaktari, katika nembo zao, lazima alama ya Nyoka iwepo).

Unaposema kuifahamu Biblia, na ukajiridhisha kuwa Wakatoliki hawafahamu, hii ni kujitekenya mwenyewe!; wao ndio kama waanzilishi wa Biblia hii unayosema ww unaifaham zaidi kuliko wao.

Kila mtu ashinde mechi zake, huku tukifahamu duniani tuko huru kufuata kile tunachoona kinafaa.

Hakuna anayelazimishwa kuwa Mkatoliki.
Sala kitubio na maombi?
Sala zipi za watu waliokufa
Ama kuomba mtakatifu akuombee usamehewe dhambi?

Kitubio kipi?
Kitubio pekee mungu anachokipokea ni angano la damu ya msalabani iliochukua nafasi ya damu za kondoo na mbuzi.

Maombi yapi?
Ya kitabuni?

Alafu wingi sio kipaumbele kwa mungu
Yesu alikuwa na watu wengi sana mwanzo(70)
Ila kanisa lake lilipokuwa alikuwa na watu 12
Na ndio aliofanya nao kazi
Wingi wa watu ama sadaka si kitu kwa mungu.
Na haoa hatutetei dhehebu lolote lile.
Maana yote yameanguka kwenye njia ile ile ambayo walipambana kujitoa waanzilishi wao
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hoja yako ya kusema kuwepo kwangu ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu, kwa sababu mimi sijajiumba, ni sawasawa na wewe useme yule jasusi wa tamthiliya za Kiingereza 007 James Bond yupo, na ni baba yako, halafu nikikutaka uthibitishe kuwa huyo 007 James Bond yupo kweli, na ni baba yako, badala ya kunipa ushahidi, umlete hapa. tupime DNA, au utoe ushahidi wa kimantiki, unanijibu kwamba"kwani mimi nimejizaa?".

Ukweli kwamba wewe hujajizaa mwenyewe hauthibitishi James Bond 007 yupo kweli nje ya hadithi.

Vivyo hivyo, ukweli kwamba mimi sijajiumba si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Inawezekana kabisa mimi sijajiumba, nimezaliwa kwa wazazi wangu, na Mungu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo, umetoa hoja yenye logical fallacy ya "logical non sequitur" inayorahisisha jibu kizembe na kudai kwamba, kwa vile mimi nipo hapa, basi lazima nipo hapa kwa kuumbwa na Mungu, bila ya kuthibitisha Mungu yupo wala kutoa ushahidi wowote unaounganisha uwepo wangu na uwepo wa Mungu.

Huna tofauti kabisa na mtu anayesema James Bond 007 yupo kweli nje ya sinema na hadithi, na ni baba yake, halafu anashindwa hata kutoa ushahidi zaidi ya kusema "kwani mimi nimejizaa?".

Ukweli kwamba hujajizaa haumaanishi baba yako ni James Bond 007!
Tuambie chanzo cha uhai na maisha apa duniani
Ama binadamu alianzia wap.
Na vitu vyote kukaa kwenye mpangilio viliwekwa na nani?

Unajidanganya na kujipumbaza
Na kama mpaka leo hujaonana na mungu mtafute kwa bidii sana
 
Kama unakumbuka Sanamu la nyoka lilotumika kuwaokoa wana wa Israel
Hakuna mahali popote ambapo Biblia imeruhusu ibada ya sanamu. Hilo shika la kwanza.

Wana wa Israeli walimchukiza Bwana Mungu, wakaangamia wengi, sababu mojawapo ikiwa ibada ya sanamu. Hilo la pili chukua.

Tatu na mwisho, na wala si kwa umuhimu, kumhusu nyoka wa shaba, Biblia imefafanua kikamilifu kwenye Injili ya Yohana: 3:

[14] Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;

[15] ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye.

Biblia haijasema sanamu ziinuliwe, bali Mwana wa Adamu (Yesu Kristu), ndiye apewe nafasi ya kutukuzwa na kukubalika mioyoni ili tuupate uzima wa milele.

Hii alama ya nyoka imebaki kuwa alama kuu ya matibabu, ndio mana vyuo vinavyofundisha Madaktari, katika nembo zao, lazima alama ya Nyoka iwepo.
Hii siyo hoja wala kigezo hata kidogo cha kuruhusu ibada ovu ya sanamu kwenye imani ya Ukristo.

Wakatoliki ndio kama waanzilishi wa Biblia
Biblia ni uvuvio mtakatifu ambao mwasisi na mwanzilishi wake ni Mungu, kupitia Roho Mtakatifu.

Ukatoliki unajaribu, kama kawaida yake, kumpoka Mungu mamlaka. Kama siyo kufuru ni nini?
tukifahamu duniani tuko huru kufuata kile tunachoona kinafaa.
Mkristu hayuko huru kufuata kile anachoona kwamba kinafaa. Mkristu wa kweli huliishi Neno. Luka 11:28; Mathayo 7:21.

Mithali 3:5-7
[5] Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote,
Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

[6] Katika njia zako zote mkiri Yeye,
Naye atayanyosha mapito yako.

[7] Usiwe mwenye hekima machoni pako;
Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Hakuna anayelazimishwa kuwa Mkatoliki.
Ingekuwa hivyo tungeshuhudia Wakatoliki wakiwazika wafu walioamua katika maisha yao kuufuta ukweli na kujitenga na jumuia za Ukatoliki.

Kitendo cha kudai mahudhurio kwenye jumuia ya Ukatoliki kama kigezo cha kumsaidia au kumzika mfuasi, tayari hilo ni shurti.
 
Kwahiyo sisi hapa tunaelezea dini au madhehebu ?
It doesn’t matter.

Dini ya kweli, dhehebu la kweli, imani ya kweli, waumini wa kweli, kanisa la kweli, msingi wake ni Kristu na kanuni yake ni Neno la uzima - Biblia, na nguvu yake ni Roho Mtakatifu. Lengo lake kuu ni uzima wa milele.

Nje ya hapo:👇
Mathayo 15:9
Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu.
 
Haya kujua ni neema
Wengi wanayasikia na hawayaamini
Ni nafsi zilizopo kifungoni
Haziwezi kujiokoa kamwe.
Hata yesu angewahubiria wasingeamini.
Biblia inasema aliwajua kabla hawajazaliwa

Hao hawataamini ata ukiwafunulia maandiko elfu.
Watapinga mpaka jasho
Mungu anataka uamini tuu
Walioamini habari za nuhu japo akueleweka ndio waliookolewa
Japo alihubiri miaka 120
Waliomuamin eliya 7000 ndo waliokolewa
Na elisha pia na musa pia
Na yesu pia itakuwa hvyo mpaka mwisho
Mungu hatumii taasisi anatumia mjumbe
Walizan yesu angekuja kwenye makanisa yao makubwa lakin alitoka kwa fundi seremala
Daudi pia, mikaya, eliya hakuna mtu alietumwa na mungu alietoka kwenye taasisi zao walizotarajia.

Watu usiowatarajia na sehem usizozitarajja ndo mungu anafanya kazi zake
Ili tajiri akose sababu kuwa hakusikia
Ama maskin asisema ulikuja matawi ya juu sana sikukujua
 
It doesn’t matter.

Dini ya kweli, dhehebu la kweli, imani ya kweli, waumini wa kweli, kanisa la kweli, msingi wake ni Kristu na kanuni yake ni Neno la uzima - Biblia, na nguvu yake ni Roho Mtakatifu. Lengo lake kuu ni uzima wa milele.

Nje ya hapo:[emoji116]
Mathayo 15:9
Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu.
Ili andiko nililisahau
Amina amina
 
RC- Wanafundishwa Unyenyekevu na Utii.
Zaidi wanafundishwa namna ya kumuomba Mungu katika mambo yao mbalimbali kupitia.
1. Sala
2. Kitubio
3.Maombi.

Dini/Dhehebu lolote lazima liwe na mifumo(System) inayoliendesha.

Katika system, RC wamekuwa bora zaidi na ndio maana inawaumini wengi duniani.

Mamambo mengi ya madhehebu ya Kikristo yameanzishwa na hao RC, eg Jumuiya ndogondogo.

Tafsiri za Biblia zimekuwa na mikanganyiko tofauti kutokana na mapokeo, Eg Matumizi ya Sanamu. Kama unakumbuka Sanamu la nyoka lilotumika kuwaokoa wana wa Israel, (Hii alama ya nyoka imebaki kuwa alama kuu ya matibabu, ndio mana vyuo vinavyofundisha Madaktari, katika nembo zao, lazima alama ya Nyoka iwepo).

Unaposema kuifahamu Biblia, na ukajiridhisha kuwa Wakatoliki hawafahamu, hii ni kujitekenya mwenyewe!; wao ndio kama waanzilishi wa Biblia hii unayosema ww unaifaham zaidi kuliko wao.

Kila mtu ashinde mechi zake, huku tukifahamu duniani tuko huru kufuata kile tunachoona kinafaa.

Hakuna anayelazimishwa kuwa Mkatoliki.
Hujui historia vizuri. wakatolik waliua watu wengi sana , infact mamilioni wakiwalazimisha kuwa wakatolik na kuwazuia kusoma biblia
Martin Luther ,huyu wa Lutheran alinusurika kuuuawa baada ya kuasi ukatolik na sasa hivi wana mkakati wa kulazimisha watu wote kuwa wakatolik.
soma kitabu cha ufunuo 13 yote , hicho kinachoelezwa kwenye ufunuo 13 ni marekani na ukatoliki vitaungana kulazimisha ibada ya uongo wakisaidiwa na ibilisi
 
Kwasababu wasabato ndo pekee wanasoma biblia??
Kama nilichoandika ni neno unakimbiliaje kwenye majina ya madhehebu.
Hutakuwa na chakujitetea ukweli ni huo
Kama sio nionyeshe kwenye biblia mungu alipodeal na umati mkubwa

Kasome habari za gideon
Kasoma wooote mikaya eliya elisha musa, mpaka yesu mwenyewe na mitume wote
Uone kama alishawah kufanya kazi na kundi kubwa la watu.
Mungu hajali wingi, anajali watu wanaoshika neno lake atakama watano tu dunia nzima.
Ao wengine hana time nao
Mwisho wa siku itapendeza ukimtafuta Mungu zaidi kuliko kutafuta kanisa lipi linafanya sahihi kuliko lingine.

Sidhani kama hicho kitakufanya kuwa mwenye haki mbele za Mungu , Kuliko wengine. Mungu atakuhumu wewe kama wewe.

Hivyo , Ni bora uishi maisha ya upendo , yenye kumpendeza Mungu na kutohukumu wengine kwa utaofauti wao .

Wafundishe watu kuhusu upendo, dhambi na nk , jamii inahitaji zaidi mafundisho hayo.......
 
Kwa hiyo Petro ndiye Ukatoliki? Hebu acheni ulaghai wa mchana kwenye masuala ya wokovu!

Kanisa la Mungu halijawahi kamwe kuwekwa chini ya mwanadamu yeyote awe kichwa cha kanisa; Wakristu wote ni watumishi wa Mungu wenye hadhi sawa, tangu viongozi waaminifu wa kiroho hadi muumini wa kawaida.

Kristu ndiye kichwa cha kanisa la Mungu. Efeso 5:23. Kristu ndiye Mwamba, Jiwe Kuu la Pembeni.
Unapingana na Yesu?.Km Ndivyo basi wewe ni Mpinga Kristo.Fullstop

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hebu fikiria kama Yesu leo angesema kwamba makabaha wanaweza kupokelewa kanisani na hata kuwa walezi wa kiroho!

Wadhambi wote aliowapokea, Kristu aliwasamehe matendo ya maovu na wakaishi maisha mapya chini ya neema ya Mungu.

Yohana 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.

Yohana 8:11
Yesu akamwambia, Wala Mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Je, ushoga ndivyo unavyokemewa leo na taasisi ya Ukatoliki?

Au si kwamba mashoga wanakaribishwa ndani ya mfumo wa Ukatoliki ili wawe sehemu yake na waendeleze uchuro wao?

Isisahaulike kwamba Sodoma na Gomora ziliangamia kwa sababu ya dhambi, mojawapo kuu ikiwa ni ushoga.
Unashangaa hiyo?,Hebu acha unafiki,Mbona Mtume Paulo alikuwa muuaji lkn baada ya kuongoka ndiye Mtume pekee aliyeandika vitabu vingi na wewe unavisoma na kuviamini sasa utashindwaje kumwamini mdhambi aliyebadilishwa na Mungu kuwa hata Mlezi wa Kiroho?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tuambie chanzo cha uhai na maisha apa duniani
Ama binadamu alianzia wap.
Na vitu vyote kukaa kwenye mpangilio viliwekwa na nani?

Unajidanganya na kujipumbaza
Na kama mpaka leo hujaonana na mungu mtafute kwa bidii sana
Point ya muhimu kabisa kuelewa ni hii. Tunaweza kujua jibu fulani si sahihi, hata kama hatujui jibu sahihi ni lipi.

Halafu, kuanzia hapo, tunaweza kutafuta jibu sahihi kwa kufuatisha elimination method itakayotuondoa kwenye majibu yasiyo sahihi na kutupeleka kwenye majibu yaliyo sahihi.

Mtu kutokujua chanzo cha uhai haimaanishi chanzo ni Mungu.

Mtu kutokujua jibu la swali, haimaanishi kwamba hawezi kujua jibu fulani si sahihi.

Nitakupa mifano miwili.

Ukijua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, halafu mtu akakuambia square root ya 2 ni 10, unaweza kujua hili jibu la 10 si sahihi, bila hata kujua square root ya 2 ni nini. Kwa sababu ushajua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2. Na 10 ukii sqiare unapata 100, si 2.

Hapo utakuwa ushajua kwamba 10 si square root ya 2, bila hata kujua square root ya 2 ni nini. Katika kutafuta square root ya 2, utazitoa namba zote kubwa kuliko 2, by elimination method.

Mfano mwingine.

Kukiwa na mwanamme Juma mwenye umri wa miaka 30 leo, na binti mchanga Jeni mwenye umri wa miezi 6 leo, halafu tukaambiwa huyu binti Jeni mwenye umri wa miezi 6 leo ndiye mama mzazi wa kibaiolojia wa huyu mwanamme Juma mwenye miaka 30 leo, tutajua habari hii ina uongo, si sahihi.

Tutajuaje? Tutajua hivyo kwa sababu mantiki ya timeline hairuhusu mtoto mchanga mwenye miezi 6 leo kuwa mama mzazi wa kibaiolojia wa mwanamme mwenye umri wa miaka 30 leo.

Kwa hivyo, tunaweza kujua huyu binti mchanga Jeni mwenye miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa huyu mwanamme Juma mwenye miaka 30 leo, kwa kutumia mantiki tu, bila hata ya kujua mama yake mzazi halisi Juma ni nani.

Sasa, unachofanya hapa ni hiki.

Mimi nakwambia hovii, Jane mwenye umri wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama yake mzazi wa kibaiolojia Juma mwenye umri wa miaka 30 leo. Kwa sababu mantiki hairuhusu kitu hiki.

Wewe unapinga, unasema lazima binti Jane mwenye umri wa miezi 6 leo ndiye mama mzazi wa kibaiolojia wa Juma mwenye miaka 30 leo, kama napinga, nikuoneshe mama yake Juma ni nani.

Hukubali kwamba, bila hata kumjua mama yake Juma ni nani, tunaweza kujua kuwa, Juma, mwanamme mwenye miaka 30 leo, mama yake hawezi kuwa Jane, binti mwenye umri wa miezi 6 leo.

Nakwambia hivi, 10 haiwezi kuwa square root ya 2. Naweza kukuambia hilo hata bila ya kujua square root ya 2 ni ipi, kwa sababu najua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Wewe unanijibu, sqiare root ya 2 ni lazima iwe 10, kama si 10, square root ya 2 ni ipi?

Hujaelewa kwamba tunaweza kujua jibu fulani si sahihi hata kabla hatujajua jibu sahihi ni lipi.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, watu wanaoelewa mambo wameshamtoa kwa elimination method.

Wamebakia watu wanaolazimisha awepo tu, ambao, ukiwautaka wathibitishe Mungu yupo, hawawezi.

Wanakupa hoja za logical non sequitur fallacy tu kama "uwepo wako ni uthibitisho Mungu yupo".

Au wanakupa hoja inayothibitisha M7ngu hayupo, huku wakifikiri wanakupa hoja inayotetea uwepo wa Mungu.

Mtu anasema kama Mungu hayupo, hii complexity ya ulimwengu imetokeaje?

Akiwa hajui kwamba, ikiwa kweli complexity haiwezi kutokea bila kuumbwa, hata huyo Mungu mwenyewe naye atahitaji muumba wake, na muumba wake atahitaji muumba wake, ad infinitum, ad nauseam.

Katika ulimwengu ambao hauna Mungu.

Hoja hii kwa juu juu inaonesha mtu anatetea uwepo wa Mungu, lak8ni, ukiipima kwa kina, ni hoja inayoonesha Mungu muumba vyote hawezi kuwepo.

Lakini, sitegemei kila mtu aelewe ninachoandika.

Kwa sababu watu wana uwezo tofauti kufikiri, historia tofauti, umri tofauti, upeo tofauti, elimu tofauti, etc.

Ningependq zaidi kujibizana na watu ambao angalau wanaelewa hoja zangu na wanaweza kuzijibu.

Sio wale wa "Mungu yupo, uwepo wako unathibitisha hilo". Au wale wa "Kama Mungu hayupo, haya mambo ya ulimwengu yote yanajiendeshaje yenyewe. Yamejiumbabyenyewe? Lazima yameumbwa na Mungu"
 
Zaburi 14:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
 
jana papa katangaza kwamba mashoga wana haki ya kubatizwa na kusimamia ndoa,,,kimsingi ushoga ni ruksa kwa katoliki
Endelea kuota na magazeti yako ya uchochoroni.Msimamo wa kanisa " Ushoga ni dhambi lakini si uhalifu" hawapaswi kutengwa bali wanapaswa kusaidiwa kisaikolojia ili waiache hiyo dhambi.
 
Kama huwezi kuamini mambo mepesi kama hayo utaamini kubadilishwa kwa mwili wa sara kikongwe wa miaka 75 kupata mtotl uzeeni kama binti kijana
Mpaka mfalme akamtamani
Mungu huwez kumpata kwenye akili za kisayansi
Naili umuone inabidi uwe kwenye kiwango kingine
 
Miaka elfu nne iliopita mungu alijua kuna watu wa mtindo wako wataibuka
Akamwambia daudi anene kinabii

Zaburi 14:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
(To the chief Musician, A Psalm of David.) The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.

Utakapokufa ndo utaelewa kama yupo ama ni stori tu
Nakama izo square roots zitaikomboa nafsi yako
 
Sijadili imani, nakutaka utoe uthibitisho Mungu yupo.

Imani unaruhusiwa kuamini unavyotaka. Hii ni haki yako ya kikatiba.

Unaruhusiwa kuamini uongo pia, in fact kwenye kuamini hakuna kutenganisha uongo na ukweli, unaamini tu.

Kwenye kutafuta ukweli, hapo ndip9 tunatakiwa kuthibitisha mambo, kuondoka kwenye imani isiyo na uthibitisho.

Wewe umejikita katika imani isiyo na uthibitisho.

Unahubiri imani hiyo.

Nikikuambia uthibitishe Mungu yupo, mpaka sasa huwezi.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Miaka elfu nne iliopita mungu alijua kuna watu wa mtindo wako wataibuka
Akamwambia daudi anene kinabii

Zaburi 14:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
(To the chief Musician, A Psalm of David.) The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.

Utakapokufa ndo utaelewa kama yupo ama ni stori tu
Nakama izo square roots zitaikomboa nafsi yako
Bado unahubiri dini.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo, sihitaji mahubiri ya dini.
 
Back
Top Bottom