Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?