Abrahamic Religion zinafuata Mungu mmoja, kuna Utofauti baina yao ila vitu vingi ni sawa.Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Nature ya Dini yenyewe ilivyo shuka ni Monotheist, kwenye Ukristo concept ya miungu mita tu ilikuja karne 3 baada ya kuondoka Yesu. Ndio maana unakuta Wakristo wa Zamani kama Newton walikua Monotheist na walipinga Concept ya Athanasius, scholars wengi wa kikristo pia huwa wanakubali hili. So dini sio tatizo, tatizo ni kile wanachomezeshwa waumini.Nadhani mnachanganya vitu kwa makusudi..
Mungu ni mmja tu yule "MUUMBAJI" wote wanaamini dini wanaamini Kuna MUUMBAJI mmoja tu.
Shida Mungu alifahamika na Kila jamii kwa jina tofauti na sifa tofauti!
Mfano Christians wanajinasibisha na Mungu wa Israel! Lakini ukiwauliza Jews wenyewe Mungu wao monotheistic! Hana mtoto Wala rafiki yake katika utendaji kazi!
Swali wakristo na Mayahudi wanaabudu Mungu mmoja?
Jibu langu Mungu ni Mmoja "MUUMBAJI" majina ya Mungu yako mengi, na WAABUDIWA wako wengi Wakina Yesu na Krishna ..
Mungu aliwaumba binadamu wote ni mmojaNimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Mungu wa Waislamu ni wa kipekee; ona vitu anavyovipenda ni viwill kule Khaba Mecca na milingoti ya msikiti. Maana vyote vinaingianaNimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Mungu aliwaumba binadamu wote ni mmoja
Ila Mungu anayeabudiwa na binadamu wote sio mmoja
A) sifa za Mungu anayeabudiwa na waislam
1) Ni Mungu mmoja wa pekee
2) Hajazaa Wala hajazaliwa
3) Vitu na viumbe vyote vimeumbwa na yeye
4) Hali chakula Wala hanywi maji
5) Halali Wala asinzii
6) Sio mwanaume Wala sio mwanamke
7) Hajawahi kuonekana na binadamu yoyote
8) Hajafa na hatokufa milele
B) Sifa za Mungu anayeabudiwa na wakristo
1) Amegawanyika sehemu 3
2) Kuna wakati alizaliwa hapa Duniani
3) Alikuwa na mama yake hapa Duniani
4) Alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
5) Alikuwa anatumwa dukani na mama yake akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa
6) Alikuwa fundi seremala akichonga vitanda na makabati Ili ajipatie ridhiki yake
7) Ana dada zake aliyozaliwa nao tumbo Moja
8) Alitahiriwa akiwa na siku 8
9) wenyewe wanasema Kuna siku alikufa
10) Alikuwa anakula mikate na samaki alafu anaenda chooni kunya
Huyo ni Mmoja katika wale 3
Yani very complicated story
Unataka kutuambia Muhammad alivyo copy jina la Israel na kuweka kwenye koran yake hukujua maana yake?Mungu wa wakrito si wa waislam,
Mungu wa wakrito alipigana na kiumbe alichokiumba, usiku kucha, mpak akaona kunakucha,
Ikabidi amuulize kwani shida nini , jamaa akamwambia sikuachi hadi unibariki, akaambiwa kuanzia leo utaitwa Israel, ndo akaachiwa.
Ajabu sana.
Allah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au houris6) Sio mwanaume Wala sio mwanamke
Hii mijitu mipumbavu kweli, kwenye hiyo nukuu yake inadhihirika fika kuwa Jacob alikuwa akipigana mieleka na Malaika wa Mungu, lenyewe linakomaa tu itakuaje Mungu apigane mieleka na mwanadamu. Imekalia kukariri tu QuranUnataka kutuambia Muhammad alivyo copy jina la Israel na kuweka kwenye koran yake hukujua maana yake?
Hilo ni swali anawauliza makafiri wanaosema Mungu ana mtoto na hapo ndio mjue kuwa mmepotea mpaka Leo hilo swali hamjalijibuAllah anauwezo wa kubebesha mimba , sema amesema hana mke , ila akitaka anachukua malaika au houris
- Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
- Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
- Sasa ujibu kama Allah anasema hana mke huyu Allah ni jinsia Gani?
Allah Hana mtoto kwa sababu hana mke ? Kituko hikiQuran 6:101
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.
Mungu tofauti ila shetani alla ndio mmojaNimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Kwahy watu wanaoabudu sanamu au ng'ombe au miti hapo hawaabudu Mungu?Abrahamic Religion zinafuata Mungu mmoja, kuna Utofauti baina yao ila vitu vingi ni sawa.
Budha na wahindu na Dini nyengine za Folks huko Asia ni tofauti kabisa concept ya Mungu.
Huko ndio kuna Concept za Dao, kwamba Binadamu anameditate na kuwa Enlighted mpaka kuja kuwa Mungu, ukiangalia Gautama (Budha) alikua ni Binadamu na hata Miungu ya Kihindu kama Shiva, Krishna, Hanuman etc wana characteristic za kibinadamu.
Concept ya Mungu ya East ndio sawa wanayotumia Ulaya sasa hivi unakuta Mtu kama Messi anacheza sana Mpira anaitwa God of Football.
Kwao Mungu sio beginning and end, kwa. Imani zao hata wewe waweza kuwa Mungu, una practice, unakuwa enlighted, ukiwa enlighted unaondoka ulimwengu wetu huu unaenda ulimwengu mwengine, ukifa unaingia kwenye circle na kuzaliwa tena, wanaamini vitu kama Karma, Samsara, devas etc.Kwahy watu wanaoabudu sanamu au ng'ombe au miti hapo hawaabudu Mungu?
Haya nambie Mungu n nnKwao Mungu sio beginning and end, kwa. Imani zao hata wewe waweza kuwa Mungu, una practice, unakuwa enlighted, ukiwa enlighted unaondoka ulimwengu wetu huu unaenda ulimwengu mwengine, ukifa unaingia kwenye circle na kuzaliwa tena, wanaamini vitu kama Karma, Samsara, devas etc.